1 / 10

Namna ya kupandikiza kitambaa cha kuua ndorobo

Namna ya kupandikiza kitambaa cha kuua ndorobo. 1. 2. Chagua eneo ambalo kitambaa kitaonekana toka pande zote. 3. Fyeka majani na kuondoa vichaka vyote. 4. Eneo lililo chaguliwa na kufyekwa vizuri. 5. Kata fito 2 nene zilizonyooka. 6. Pungua urefu wa fito kufikia mita moja na nusu.

chika
Download Presentation

Namna ya kupandikiza kitambaa cha kuua ndorobo

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. Namna ya kupandikiza kitambaa cha kuua ndorobo 1

  2. 2 Chagua eneo ambalo kitambaa kitaonekana toka pande zote

  3. 3 Fyeka majani na kuondoa vichaka vyote

  4. 4 Eneo lililo chaguliwa na kufyekwa vizuri.

  5. 5 Kata fito 2 nene zilizonyooka

  6. 6 Pungua urefu wa fito kufikia mita moja na nusu

  7. Hakikisha vitu hivi vyote vipo... Fito Vivutio Lebo Waya Kitambaa cha kuua ndorobo Vifaa 7

  8. Jaribu uelekeo wa upepo kwa kurusha majani makavu Pandikiza kitambaa cha kuua ndorobo kuelekea upepo unakokwenda 8

  9. Tumia kitambaa kupimia sehemu za kuchimbia fito 9

  10. 10 Weka alama kwenye sehemu za kuchimba mashimo

More Related