1 / 40

Imeandaliwa na Anna Masasi , LVEMP II September 201 4

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAJI Mada Iliyowasilishwa Kwenye Mkutano wa Kuchochea Maendeleo ya Wananchi na Taifa , 12 Septemba 2014, Mwanza Mazingira: Uharibifu wa Mazingira, Usimamizi na Uhifadhi Wa Mazingira . Imeandaliwa na Anna Masasi , LVEMP II September 201 4.

Download Presentation

Imeandaliwa na Anna Masasi , LVEMP II September 201 4

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAJIMadaIliyowasilishwaKwenyeMkutanowaKuchocheaMaendeleoyaWananchinaTaifa,12 Septemba 2014, MwanzaMazingira: Uharibifu wa Mazingira, Usimamizi na Uhifadhi Wa Mazingira  Imeandaliwana Anna Masasi, LVEMP II September 2014

  2. Mawasilisho • Maanayamazingira • Umuhimuwamazingirakatikamaishayakilasiku (Mazingira, MaendeleonaFamilia) • Haliyamazingirailivyokwasasaduniani • Haliyamazingirailivyo Tanzania • Shughulizinazochangiauharibifuwamazingiranaathari • JuhudizaSerikalikatikakupambanadhidiyauharibifuwamazingira • HaliyaMazingirayabonde la Ziwa Victoria • Changamoto

  3. Mazingira Neno Mazingira lina maana pana sana; linajumuisha hewa, ardhi na maji; uhai wa mimea na wanyama, hali za kijamii na kiuchumi, miundombinu, joto, sauti, harufu na mchanganyiko wa vyote hivi. Umuhimu wa mazigira • Mazingira yanaipatia nchi mahitaji yote ya msingi ya kijamii na kiuchumi. • Mazingira ndiyo makazi ya viumbe vyote – mimea na wanyama ambao ndiyo urithi usiokuwa na mbadala. • Mazingira ndio msingi katika kupunguza unyonge wa umaskini. • Mazingira ni chombo cha kuweka yale yasiyofaa. Ndiyo maana wote tunawajibika kuyatunza.

  4. Hali ya mazingira kwa sasa duniani - 1 Changamoto za mazingira duniani: Mabadiliko ya tabianchi duniani Ni mabadiliko ya hali ya hewa kama vile kubadilika kwa majira kwa mfano mvua kutonyesha kwa wakati, ongezeko la joto, mafuriko, ukame ongezeko la kina cha bahari, kupungua vya vina mito na maziwa, nk Kutoboka kwa utando wa ozone duniani Gesi chafu za viwandani zinazotoboa utando wa ozone na kusababisha mionzi ya jua ambayo si rafiki kwa afya ya wanaadamu na husababisha magonjwa kama vile saratani ya ngozi, ukuaji wa mimea, nk

  5. Hali ya mazingira kwa sasa duniani - 2 Kuongezeka kwa joto duniani Husabishwa na kukata miti hovyo, shughuli za viwanda zinazozalisha ukaa kwa wingi. Ongezeko hili la joto linachangia kuongezeka kwa magonjwa kama vile malaria, kupote kwa baadhi ya viumbe, kubadilika kwa mfumo wa ikolojia, kupungua kwa uzalishaji wa baadhi ya mazao k.m mahindi, mpunga au kupotea kabisa kwa aina ya jamii za mimea

  6. HALI YA MAZINGIRA ILIVYO TANZANIA UchambuziwakitaifaumebainishamatatizomakubwayaHaliyaMazingiraya Tanzania yanayohitajikutafutiwaufumbuziwaharaka, Matatizohayoni:- • UharibifuwaArdhi (land degradation); • Ukosefuwamajisafinasalamamijininavijijini (lack of accessible, good quality water for both urban and rural inhabitants); • UchafuziwaMazingira (Environmental pollution; • Kutowekakwamazaliayawanyamaporinabaianuai (loss of wildlife habitats and biodiversity;) • Uharibifuwamifumoyamajini (deterioration of aquatic systems); na • UkatajiwaMisitu (Deforestation)

  7. SHUGHULI ZINAZOCHANGIA UHARIBIFU/UCHAFUZI WA MAZINGIRA Uchafuzi/uharibifu wa mazingira kwa asilimia kubwa huchangiwa na shughuli za binadamu za kila siku. Shughuli nyingi zinakiuka taratibu na kanuni za uhifadhi wa mazingira hivyo kusababisha uharibifu au uchafuzi. Baadhi ya shughuli hizo ni kama; • Shughuli za kilimo – kutozingatai kanuni bora • Ufugaji – kutozingatia kanuni bora • Shughuli za uvuvi • Shughuli za kimaendeleo kama vile ujenzi, biashara n.k • Uchimbaji na usafishaji madini, • Viwanda, usafirishaji, mahoteli

  8. Mambo yanayochangia uharibifu/uchafuzi wa mzingira • Umaskini – kutokuwa na njia mbadala wa kujipatia kipato • Ongezeko la idadi ya watu mijini na vjijini pia – matumizi makubwa ya rasilimali zilizopo (kugombania) • Jamii kutokuwa na elimu sahihi ya kuhifadhi mazingira na matumizi bora ya rasilimali (shamba kubwa mavuno kidogo) • Kutoweka uoto – kupanua mashamba na makazi • Matumizi ya maeneo tekechu (sensitive areas) kama kilimo kwenye miinuko, ardhi oevu, vyanzo vya maji n.k • Utupaji taka (taka maji na ngumu) ovyo • Usimamizi duni wa sheria na taratibu za kuhifadhi mazingira

  9. Athari za uharibifu wa mazingira Uharibifuhuuunapunguzauborawamazingirakwaujumla • Kupunguakwauborana kina cha majikwenyevyanzo • kupunguakwauborawahewanaudongo • matumiziyasiyoendelevuyamaliasili • mabadilikoyahaliyahewa Matatizohayayakimazingirayanaongezwanakuongezekakwaidadiyawatunahiiinasababishaushindaninamigonganokatikamatumiziyarasilimalizapamoja

  10. Kupungua kwa ubora wa maji Ongezeko la Tope: • Uharibifuwaardhinikisababishikikuu cha kujaa tope kwenyevyanzovyamaji • Kilimokwenyemiinuko, kingozamito, misitunaradhioevu • Ongezeko la idadiyawatupamojanaumaskinivinachangiakwenyeshughulizakilimokisichoendelevu • Ufugajimkubwakuzidiuwezowamaeneounachangiakuletammomonyokowaudongo • Mahitajimakubwayanishatiyamitiinachangiakuondoauotonahivyokusababishammomonyokowaudongo.

  11. Kupungua kwa ubora wa maji na udongo • Maji taka ambayohayakutibiwakwakiwangokinachotakiwatokaviwandaninamajumbani • Majimachafukutokamijini • Ukosefuwavyookwenyemakazinamaeneoyashughuli (kandokandoziwanafukwe) • Vichafuzivinavyokuwepokatika tope, k.m. Mbolea Uchafuzihuuunasababishakuingiavijiduduvyamagonjwakwabinadamu, upungufuwahewayaoksijeni, madinitembo, kuongezekambolea (nitrogen na phosphorus)

  12. Matumizi yasiyo endelevu ya maliasili - 1 Uvuvi usioendelevu wa kutumia njia na nyenzo zisizokubalika. Kupungua kwa wingi na aina za samaki, kuharibika kwa makazi ya viumbe Uharibifu wa ardhi kwa kutokufuata kanuni bora za kilimo na ufugaji Ardhi kukosa rutuba na hivyo uzalishaji duni, maporomoko na makorongo na kukosa ardhi nzuri ya kilimo na shughuli nyingine

  13. Matumizi yasiyo endelevu ya maliasili - 2 Uharibifu wa ardhi oevu • Uharibifu wa makimbilio na mazalia ya samaki • Kupoteza uwezo wake wa wa kuchuja uchafu kwenye maji, Ardhi oevu kando kando ya ziwa zimeharibiwa na kwa kubadilishwa kuwa maeneo ya kilimo, kuchimba udongo na mchanga na kutumika kama sehemu za kutupa taka. Inakadiriwa asilimia 75 ya ardhi oevu ya Ziwa Victoria imeharibiwa na karibu asilimia 13 zimeharibika kwa kiwango kikubwa.

  14. Matumizi yasiyo endelevu ya maliasili - 3 Uharibifu wa Misitu: • Hii inasababishwa na uvamizi kwa ajili ya kilimo, kuongezeka mahitaji ya bidhaa za misitu kama vile kuni, mkaa na magogo ya kujengea kutokana na ongezeko la watu. Kutoweka kwa uoto wa kudumu kumechangia kuongeza kwa mmomonyoko wa udongo na kutokea kwa makorongo makubwa.

  15. ATHARI ZA UCHAFUZI WA MAZINGIRA • Madhara Kiafya • magonjwa mbalimbal;Kansa,maradhi,kuhara,kipindu pindu n.k • Madhara kiuchumi • Matumizi yasiyo endelevu kwa rasilimali. • Uzalishaji duni • Kiikolojia • Kufa na kutoweka kwa viumbe mbalimbali hasa wale walegevu(flagile animals) • Kijamii • Migongano na kutoelewana kwa makundi, jamii au watu mbalimbali • Uhalibifu wa vyanzo vya maji na mabadiliko ya tabia nchi. Mwendakulima Mwime Chapulwa

  16. NINI KIFANYIKE KUDHIBITI UCHAFUZI Baadhiyanjiamuhimuzakupunguzauchafuzinipamojana; • Kutumiatekinolojiarafikiwamazingira – vikapu, mifukoyakaratasin.k • Upunguzajiwauzalishaji taka • Kutengenezamboleakwa taka zinazooza • Uchambuajiwa taka tokachanzo • Utupajiwa taka kulingananamatakwayautupaji taka kimazingira (kutibumaji taka) • Matumizimengineyo (re-use) naurejereshaji

  17. JITIHADA YA KUHIFADHI MAZINGIRA • Kupatambadalawanishatinamatumiziyamajikobanifu, bio gas • Ushirikishwajiwajamiikikamilifukatikamaoninahatamaamuzikwashughulizenyemwingilianonasuala la mazingira. • Elimuyamazingirakwamakundiyoteyajamiiilikuwanamtazamochanyakatikasuala la hifadhinausimamiziwamazingira. • Shughulizakimaendeleozifanyiwetathminiyaatharikwamazingira • Utashiwakisiasawahitajikakatikakutoamaamuziyenyekujendadhananzimayakuhifadhimazingira Kilamtuashirikikulindamazingira

  18. Juhudi za Serikali katika mapambano dhidi ya uharibifu wa mazingira - 1 Sera ya Taifa ya Mazingira ya Mwaka 1997. Madhumuni ya Sera; • Kuhakikisha udumishaji, usalama na matumizi sawa ya rasilimali kwa mahitaji ya msingi ya sasa na ya vizazi vijavyo bila kuharibu mazingira au kuhatarisha afya na usalama. • Kuzuia na kudhibiti uharibifu wa ardhi, maji, mimea na hewa ambayo ndiyo husaidia mfumo wa uhai wetu. • Kuhifadhi na kuendeleza urithi wetu na ule unaotengenezwa na binadamu, ikiwa ni pamoja na maisha ya viumbe wa aina mbalimbali na vya pekee nchini Tanzania. 

  19. Juhudi za Serikali… - 2 Madhumuni ya Sera… • Kurekebisha hali na uzalishaji wa maeneo yaliyoharibiwa pamoja na makazi ya watu mijini na vijijini ili watanzania wote waweze kuishi katika hali ya usalama, kiafya, kuzalisha bidhaa pamoja na kuishi katika mazingira mazuri yenye kuvutia. • Kung’amua na kufahamu mahusiano muhimu kati ya mazingira na maendeleo na kuhimiza ushirikiano wa mtu binafsi na jamii katika kuhifadhi mazingira. • Kuendeleza ushirikiano wa kimataifa kuhusu ajenda ya mazingira na kupanua ushiriki na mchango wetu kwa pande zote zinazohusika ikiwa zinahusu nchi jirani na mashirika na mipango ya ulimwengu pamoja na utekelezaji wa mikataba.

  20. Juhudi za Serikali…- 3 Sera ya Taifa ya mazingira ya 1997 ilisisitiza umuhimu wa kutunga sheria za mazingira na sheria za Sekta nyingine zinazohusiana na mazingira Katika kuimarisha utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Mazingira ya 1997, Sheria ya Usimamizi wa Mazingira imepitishwa na Bunge (Sheria Na. 20 ya mwaka 2004) na ilianza kufanya kazi tarehe 1 Julai 2005. Kila mtu anayeishi Tanzania atakuwa na haki ya kuwa na mazingira safi, salama na ya kiafya.

  21. Sheria ya mazingira ya mwaka 2004 • Madhumunuyasherianikuwekamuundowakisherianakitaasisikatikausimamiziendelevuwamazingira; • Kanunikadhaazimekwishaandaliwananyinginezikokatikamaandalizi • SheriahiiinatambuakuwepokwasherianyinginezakisektazinazohimizahifadhinaUsimamiziwamazingira. • Imetafsiriwakatikakiswahili

  22. ZIWA VICTORIA UmuhimuwaZiwa Victoria • Hifadhiyabaioanuai • Ziwanabonde lake linasaidiakutoamajikwamatumizimbalimbali (Majumbani, ViwandaninaKilimo) • Uvuviwasamakikwaajiliyamatumiziyandaniyanchinakuuzanjeyanchi • Usafirinausafirishaji • Utalii • Chanzo cha umeme (Mfano Uganda)

  23. Umuhimu wa Ziwa Victoria... • Linawezeshamaishayawatukaribumilioni 3 wanaoishikatikabonde la ziwa Victoria • Ajirakwawakaziwabonde • Linapokeamajiyaliyotumikaviwandaninamajumbaninapiamajiyenyemboleanaudongotokamashambaninamaeneoyaufugaji.

  24. Changamoto za Mazingira Ziwa V. Zikokwenyemaeneomakuu 4, ndaniyaziwa, kandokandoyaziwa, kwenyebondenanjeyamipakayabonde. Changamotohizikwapamojazinasababishauharibifuwamazingirayaziwa, kupunguzauwezo wake wakujirudishiahaliyakenakuchangiakwamatatizoyanayojitokezakuhusiananamatumiziyarasilimali

  25. Matatizo ndani ya ziwa • Uvuviusioendelevu • Uchafuzikatikaziwanavisiwakutokanana • kumwagikakwamafuta (melin.k), • taka ngumu • uchafuwamajiambayohayakusafishwakutokaviwandaninamajumbani. Uchafuzihuuunapunguzaainanawingiwasamakilakinipiaunaharibumaeneomuhimuyamazaliayasamaki

  26. Matatizo kando kando ya ziwa • Ni matokeoyakubadilishaardhioevuzilizokandoyaziwakwaajiliyakuendelezamijinakilimo. • Ujenzikandokandoyaziwanakilimobilakuchukuatahadharizamuhimuzakuhifadhimazingirakunaongezauingiajiwa taka majina taka ngumundaniyaziwa. • Ubadilishajiwaardhioevukwamakusuditajwahapojuuhusababishakupoteakwamakaziyaviumbevyamajininakupunguzauwezowauchujajinaulinziwaasiliwamazingira

  27. Construction and farming in shoreline Conversion of wetlands Poor solid wastes management Discharge of untreated effluent, Poor sanitation facilities Stresses on littoral zones

  28. Matatizo katika Bonde • kupunguakuingiakwamajikatikaziwa • Matumizimakubwayamajiyaziwa • kuingiakwagugumaji • kuongezekauharibifuwadakio la majiikiwanipamojanammomonyokowaudongonakupoteakwauotowaasili • kuongezekakwauchafuziwamajikutokaviwandani, maeneoyamifugo, kilimo, machimboyamadininamitiririkoyamajimijini. Hayahubadilishamfumowahaidrolojianaikolojianakusababishakushamirikwa algae ziwani, kuathiriuvuvinanjiazavyombovyamajinihivyokuchangiamatatizokatikamatumiziyarasilimali

  29. Matatizo kutoka nje ya mipaka ya bonde • Kusafirishwakwamboleanachemikalinyinginekupitiaupepo • MahitajimakubwayasamakiainayaSangarakwaajiliyakuuzanjena • mabadilikoyatabianchi

  30. Mabadiliko ya tabianchi • Mabadiliko ya tabianchi yanasababishwa na shughuli za binadamu lakini pia shughuli za asili. • Maeneo ambayo yameathirika sana na mabadiliko ya tabianchi ni kama sekta za maji, afya, misitu na ardhioevu, nishati, wanyamapori, utalii pamoja na rasilimali za maji na ukanda wa pwani. • Katika sekta ya maji nchini mabadiliko ya tabianchi yamesababisha kupungua kwa mvua na hivyo kupungua kwa ujazo wa maji katika mabwawa,mito na maziwa kama ilivyo katika ziwa Victoria

  31. Mabadiliko ya tabianchi • Kuongezeka joto kunachangiakuyeyukakwathelujinabarafukwenyemzingowadunianamilimanihivyokuchangiakuongezekakwamajibaharini. • Yanachangiapiakuongezekakwawaduduwageninawenyeuwezomkubwawakuhimilidawakwakiwangokinachotumikasasa. • Halihiiinasababishamagonjwasugu, kuathirikipato cha jamiikutokananamagonjwa. Hivyo, mabadilikoyatabianchinijanga la kidunialinalohitajijuhudizakidunia(Global problems require global solutions)

  32. Mradi wa Hifadhi ya Mazingira ya Ziwa Victoria (LVEMP II) Mradiwapamojaunaotekelezwananchi 5 zaJumuiyaya Africa yaMashariki Dira - yaJumuiyaya Africa Mashariki “kuwanaZiwalenyeikolojiaimarainayokidhimahitajiyajamiikwachakula, kipato, majisafi, ajira, mazingiraborayasiyonamagonjwanakuhifadhiviumbehai”.

  33. Lengo la Mradi • Kuimarisha Usimamizi Shirikishi wa Rasilimali za Maji na Samaki • Kupunguza uchafuzi Ziwani • Kuinua Kipato cha Wananchi Wanaolizunguka Ziwa • Kupambana na changamoto mbalimbali zinazokabili ziwa Victoria

  34. Changamoto - 1 • Jamii kutokuwa tayari kuachana na matumizi mabaya ya rasilimali kwa kuhofia kupungua kipato • Kukosekana kwa uwajibikaji miongoni mwa viongozi na jamii husika • Watu kutoona umuhimu wa kufahamu na kufuata sheria • Utashi wa kisiasa • Ardhi iliyo mbali na vyanzo vya maji kutokuwa na rutuba

  35. Changamoto - 2 • Kukosekana kwa shughuli mbadala za kujipatia kipato • Ongezeko kubwa la idadi ya watu linalozidi raslimali iliyopo • Kukosa elimu ya mazingira • Ongezeko la uhitaji mkubwa wa malighafi kwa ajili ya viwanda vyenye masoko makubwa katika nchi zilizoendelea • Mabadiliko ya tabianchi

  36. Namna ya kukabili changamoto 1 • Elimu endelevu ya utunzaji mazingira itiliwe mkazo • Kurutubisha ardhi iliyo mbali na vyanzo vya maji ili iweze kufaa tena • Kuwajengea wananchi uwezo wa kuibua na kuanzisha njia mbadala za kuongeza kipato ili kunusuru rasilimali zinazoelekea kuisha • Kuhimiza uzazi wa mpango

  37. Namna ya kukabili changamoto 2 • Kuwajengea uwezo wanajamii wa dhana na mbinu za uwajibikaji wa kijamii • Kuhimiza usimamizi endelevu wa rasilimali miongoni mwa nchi zinazoendelea • Kuchukuwa hatua mbali mbali za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kama vile kuhimiza upandaji miti, kuwepo kwa mazao mbadala, kupunguza uzalishaji wa hewa ya ukaa

  38. Utunzajiwamazingiranijukumuletuwote, tuwesehemuyasuluhisho Asantenikunisikiliza

More Related