1 / 7

قال النبي صلى الله عليه وسلم:

قال النبي صلى الله عليه وسلم:. Amesema Rasul (SAW):. اذا كان ابن آدم في سياق الموت بعث الله اليه خمسة من الملائكة:. Anapokuwa Binadamu yuko katika mauti. ALLAH anamletea mailaka watano. Ama Malaika wa kwanza anamuijia wakati roho yake iko kwenye koo. أما الملك الأول، فيأتيه وروحه في الحلقوم.

mayten
Download Presentation

قال النبي صلى الله عليه وسلم:

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. قال النبي صلى الله عليه وسلم: Amesema Rasul (SAW): اذا كان ابن آدم في سياق الموت بعث الله اليه خمسة من الملائكة: Anapokuwa Binadamu yuko katika mauti ALLAH anamletea mailaka watano

  2. Ama Malaika wa kwanza anamuijia wakati roho yake iko kwenye koo أما الملك الأول، فيأتيه وروحه في الحلقوم فيناديه: يا ابن آدم أين بدنك القوي؟ ما أضعفه اليوم؟ أين لسانك الفصيح؟ ما أسكته اليوم؟ أين أهلك وقرابتك؟ ما أوحشك منهم اليوم! Anamwita: Ewe Ibn Adam Uko wapi mwili wako wenye nguvu? Ni nani alieudhoofisha leo? Uko wapi ulimi wako fasihi? Nani alieunyamazisha leo? Wako wapi ndugu na jamaa zako? Nani aliekutengenisha nao leo?

  3. Anamuijia Malaika wapili inapotoka roho yake ويأتيه الملك الثاني اذا قبض روحه ونشر عليه الكفن، فيناديه: يا ابن آدم، أين ما أعددت من الغنى للفقر؟ أين ما أعددت من الخراب للعمران؟ أين ما أعددت من الأنس للوحشة؟ Na amesha wekewa sanda Anamwita: Ewe Ibn Adam Uko wapi utajiri uliojitengenezea? Yako wapi majumba uliojijengea? Wako wapi marafiki ulijijazia?

  4. Anamuijia Malaika watatu anapobebwa ويأتيه الملك الثالث اذا حمل على الأعناق Anamwita Ya Ibn Adam فيناديه: يا ابن آدم اليوم تسافر سفرا بعيدا لم تسافر سفرا أبعد منه اليوم تزور قوما لم تزورهم قبل هذا قط اليوم تدخل مدخلا ضيقا لم تدخل أضيق منه فطوبى لك ان فزت برضوان الله وويل لك ان رجعت بسخط الله Leo utasafiri safari ya mbali hujawahi kusafiri kabla Leo utawatembelea watu ulikuwa hujawatembelea kabisa Leo utaingia pahala padogo penye dhiki hujaingiapo kabla Bahati yako ukipata Ridha ya ALLAH Na yawail ikiwa utapata sakhat ya ALLAH

  5. Anamuijia Malaika wanne anapotiwa ktk mwana ndani ويأتيه الملك الرابع اذا ألحد في قبره Anamwita Ya Ibn Adam فيناديه: يا ابن آدم بالأمس كنت على ظهرها ماشيا واليوم صرت في بطنها مضطجعا بالأمس كنت على ظهرها ضاحكا واليوم أصبحت في بطنها باكيا بالأمس كنت على ظهرها مذنبا واليوم أمسيت في بطنها نادما Jana ulikuwa juu yake unatembea Leo uko ndani yake umefunikwa Jana ulikuwa juu yake ukicheka Na leo umekuwa ndani yake unalia Jana ulikuwa juu yake mudaniban Leo umelala ndani yake unajuta

  6. Anamuijia Malaika watano anapofukiwa na udongo ويأتيه الملك الخامس اذا سويّ عليه التراب Na wanapo muacha ndugu na majirani وانصرف عنه الأهل والجيران والأصحاب فيناديه: يا ابن آدم دفنوك وتركوك ولو أقاموا عندك ما نفعوك جمعت المال وتركته لغيرك اليوم تصير اما لجنة عالية أو الى نار حامية Anamwita Ya Ibn Adam Wamekuzika na wakakuacha Na hata kama watabaki nawe hawatokufaa kitu Umekusanya mali na umewaachia wengine Leo unakwenda ama ktk Janna ya juu Au ktk moto uliowaka

  7. أنشرها Kwa hisani yako itume kwa wenzako nao wanufaike والحمد لله رب العالمين والصلاة والسلام علي اشرف المرسلين

More Related