1 / 72

UTANGULIZI WA FASIHI YA KISWAHILI KF 102

UTANGULIZI WA FASIHI YA KISWAHILI KF 102. Prof. Aldin K. Mutembei (PhD) Ofisi # 317 Jengo la Kiswahili Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, CKD. LENGO KUU na MUHIMU Kuhusu Usomaji katika CKD. Kuwajibika na Kuondoa woga. Mambo ya Jumla kuhusu Maisha ya Chuo Kikuu.

rashadl
Download Presentation

UTANGULIZI WA FASIHI YA KISWAHILI KF 102

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. UTANGULIZI WA FASIHI YA KISWAHILIKF 102 Prof. Aldin K. Mutembei(PhD) Ofisi # 317 Jengo la Kiswahili TaasisiyaTaaluma za Kiswahili, CKD

  2. LENGO KUU na MUHIMUKuhusuUsomajikatika CKD KuwajibikanaKuondoawoga

  3. Mambo yaJumlakuhusuMaishaya Chuo Kikuu • WajibuwakokamaMwanafunzi • KUSOMA: • Usomajiwabinafsi; • NguvuyaMakundi; • KujisomeaMaktaba (Majengo); • Maktaba za Mkondoni.

  4. Maishaya Chuo… • ZINGATIA UMUHIMU HUU: • Andikavizuri, kwauwazi, namojakwamoja • UwenamwonekanotofautikamaMwanachuo • Kuna MtuwaMitaani (lugha, mavazi, ujengajihoja), naMwana CKD • HuwezikusomakwamakinihadiUjisake: WeweniNani?

  5. Maisha…MTU MWENYEWE • Falsafaya Sufi Bayazid • Kujitambua, Kujithamini, Kujipenda(LUGHA, mavazina FIKRA) • Unajitambua? Unawezakumtambuamwingine. • Unajithamini? Unawezakumthaminimwingine. • Unajipenda? Unawezakumpendamwingine

  6. Maisha…TUNAVYOKUTARAJIA UWE • UmekujakusomanaKuelimika. • TunatakahatimayekuonamatundayaElimuYako • Umekujakuhesabikakuwamiongonimwawachachewenyebahati • Tunatakakuionabahatihiyo • Itumiebahatihiyobilakuichezea • UmekujaKusomanaKufaulu

  7. Maisha…CKD Kikujengee UZALENDO: • UzalendonaKupendanchiyako. KuwatayarikuipiganianaKuitetea • UzalendowaKupendayaliyomokatikanchiyako, kuyatangazanakuyasimamia. • Uzalendowakupendalughayako: kuitumianakuieneza. • Ikiwahuwezikujipenda, nakuwapendawengine, nivigumukupendanchiyako.

  8. Mihadharaya Chuo naUsomaji • HujengwakwaKUSIKILIZAnakuandikakilichozungumzwa • Siokunakilituyaliyoandikwa (notes) • Siokutoatunakala (photocopy) • Jenga, uwezowa • kusikiliza, kutambuakilichosemwa • Kuchukuaunachoonakinafaa • Kuandikayaleyatakayokukumbushakilichosemwa • Kamweusikariri. Ni makosamakubwasanakukariri, bilakuelewainachosemwa. Hakikishahutokinjeyadarasabilakuelewakilichosemwa.

  9. UHURU WA MAWAZO • Jengahaliyakujiamini. • Jengauwezowakutoahoja. • Anza taratibu, najizoezekutoahoja. • Usijiteteekamahuna cha kujitetea, ila • Usinyamazeikiwaunalo la kusema. • Kupingakwahojakwaniayakukuzamaarifanitabiainayotarajiwakwamsomi. • Msomimzurihutoamawazoyakebilawoganakuwatayarikukosolewa au kukosoawenzake.

  10. UhuruwaMawazo… • Mwalimusiadui, nirafikianayetakakupitiakwakeupandengazi, ufikejuu. Juusana. • Walimuwazurihuwaruhusuwanafunzikuwapita, nahujivuna pale wanapowaonawanafunziwaowakiwakatikanafasimbalimbali za juu: Kimasomo, Kimapato, Kimaishan.k • Ninawatiamoyonakuwakaribishakatika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. • Mmekujakusoma, kuelewanakufaulu!

  11. KaziyaNyumbani • Kila mtuasomenakutafakariMakalayamwaka 1971: Matumiziya Kiswahili Nchini, ShuleninaVyuoni (J.K. Kiimbila) KatikaKichocheo cha Uchunguziwa Kiswahili, uk. 60 -69. Makavazi. • Linganishamawazohayoyazaidiyamiaka 40 namawazoyasasa. Je kunakipikipya? • Novemba 21, 2018

  12. Mihadhara: UTANGULIZI… • Tunajifunzasomohiliilitugunduenini? • Sanaaninjiayamwanadamukujieleza • Fasihikamakioo cha jamii – kinaioneshajejamii? • Lughakamakioo cha fikra – kinazioneshafikrazipi • Lughakamakichukuzi cha mila – inachukuamilazipi

  13. MIHADHARA • FasihiniNini? • 1. HISI: Siotusuala la hisia, baliniuoneshajiwamahusianobainayawatu; nawatuna dunia yaokatikajamiikwanjiayakisanaa. • 2. KIOO CHA JAMII: Ni zaidiyaKioo. Haituoneshitu, balinimjadalawaharakati za mwanadamukatikakuyaingiamaisha, kuyatengeneza, kuyabadilisha, kuyaishinahatimayekuachananamaisha.

  14. Mihadhara… • FasihiniNini? • 3. MAJADILIANO: Hujadilimaishakwakipindifulani cha historia, historiayenyewe, chimbuko la jambonamustakabali wake. • 4. Zao la historia, huiitikahistoria, nahuchongwanahistoria. • 5. Ni sanaaambayohutengenezwakutokananamchakatowakihistorianakiharakatikatikamaishayajamii.

  15. Chimbuko la Fasihi • HiviFasihiilitokawapi? Na Je kila JamiiinaFasihi au Fasihinikwawachache? • Kuna Nadharia au Mitazamo 4 • 1. Chimbuko lake niMungu/Miungu(dhanifu) • Imekuwapodunianikamazawaditokakwamungukwawateulewachache • MungumwenyewenimsaniiMkuu • Nyimbo mf. Ooh Lulu

  16. Chimbuko …/ • 2. Chimbuko lake ninguvuyamiujiza au sihiri • Kujaribukukabiliananakuyashindamazingira. • Kuchora, Kuchonga, Kujengavijumbanakunuizia • (SIKU HIZI) Kuombeavitambaa au Kifaan.k • 3. ChimbukoniMwigo • Kuigamazingira, sauti, mwonekano, wanyama, ndege, nk • Kubunihaliyaufanano • Ushairiulichimbukakutokaktkkuiga • Mwanadamunikiumbewauigaji, tokea mtoto • Ni mwigoukimaanishauwakilishiwajambokwajingine. Ni taswirainayolengakuoneshajambo

  17. Chimbuko …/b • 4. ChimbukoniMabadilikoyaMwanadamu(Yakinifu) katikakuyadhibitimazingira • Marx na Engels wanaingaliaFasihikamazao la mabadilikokatikamaishayamwanadamuambayohutawaliwana • Mfumowauzalishajimali • Uhusianokatikauzalishajimali • MfumonaUhusianohutokeza MATABAKA • Fasihinizao la MatabakanaUhusianokatikauzalishajimali • Katikauhusianomwanadamualihitajilugha

  18. Dhimayafasihi • Swali la Fasihihufanyakazigani, hutegemeamwulizajianatokakatikatabakalipinakwakefasihininini. • Kuburudisha • KuhimizaKazinaKujengamoyowakazi • Kujengatabia: Kuonya, Kuasa, Kufunza • Kuelimisha • Kuhifadhikurithishaamali za Jamii (mila, desturi, thamanin.k) • KukuzanaKuhifadhilugha

  19. Dhima…/ • Swali la Fasihihufanyakazigani, hutegemeamwulizajianatokakatikatabakalipinakwakeFasihininini. • KuendelezaharakatifulanikatikaJamii • UjenziwaUtaifa • KuletaUkombozi: Hasawakifikra, kisiasa, kiuchumi, kitabaka, kijinsia, n.k • Fasihinizao la Kitabaka. TabakahusaidiwanaitikadikatikaKujiimarisha • Itikadi: Mfumowamawazo, imanikuhusumahusianonamaongoziyawatuktkJamii

  20. Dhima za Fashiktkmaisha • UCHUMI • ITIKADI • SIASA • UTAMADUNI • FALSAFA • UJUMI

  21. Dhanayafasihiya Kiswahili • WaswahiliwenyehiiFasihini kina nani? • FasihihutambulishwakwaLugha: Kiswahili • Wenyejiwazungumzao Kiswahili katika Afrika Masharikina Kati naVisiwavyaBahariya Hindi katikaMwambaowa Afrika mashariki • InayoelezautamaduninamaishayaWaswahili • Rej. Mulokozi, 2017:Sura 3. FasihiyaWaswahili, Fasihiya Kiswahili naFasihikwa Kiswahili (30-33). • JeFasihiya Kiswahili naFasihiyaKitaifani Dhana ileile? (Mutembei, 2004: Mulika No. 26).

  22. MaendeleoyaFasihiKatikaMifumoMbalimbaliyaMaendeleoyaBinadamu • KwakuwatumezungumzakuwaFasihinichombo cha mabadilikoyaMwanadamu, tuyaangaliemabadilikohayo, tukijikitakatikaufafanuziwa Karl Marx naFriedrisch Engels. • Kuna Ujima • Utumwa • UmwinyinaUkabaila • Ubepari • Ujamaa • Uliberali

  23. Sanaa, lughanafasihiWakatiwaUjima • Kuwaunganishawatu • UmojanaUshirikianovilisisitizwa • Lughailikuwasichangamani • Fasihi – hasasimuliziikihusishamaudhuiyasiyochangamani. • WemadhidiyaUbaya • Wahusikawanaowakilishawatuhalisi • Wahusikanauhusikawaokatikajamii: miti, wanyamandegenk

  24. Kipindi cha Utumwa • Mabwanadhidiyawatumwa • Kupumbazawatumwanawaokuonekanakuwahiyonimajaaliwayao • Watumwakudaiukombozi • Udhibitiwakazi za kifasihi • Matokeoyaudhibiti: • Lughayamafumbo • Wahusikachangamani

  25. Kipindi cha UmwinyinaUkabaila • Mamwinyidhidiyawatwana • Kupumbazawatwananawaokuonekanakuwahiyonimajaaliwayao • Kustareheshamamwinyinamakabaila • Udhibitiwakazi za kifasihi • Harakati za ukombozi • Wahusikachangamani

  26. Kipindi cha Ubepari • Ubeparininini • Matabaka • MigogoroyawafanyakazidhidiyaMabepari • Migogoroviwandaninamashambani • Migomo • Ukombozi • Tafutenikazi za Kiswahili zinazoelezamaudhuihayo • Ni niniwajibuwamwandishiwakazikamahizo • Ni niniwajibuwakokamamhakiki

  27. Kipindi cha Ujamaa • UjamaaniNini • UjenziwaTaifaJipya • UjenziwaVijijivyaUjamaa • Ujenziwa Sera Mpya • UsawanaUshirikiano • Vita dhidiyaMakabailanaMamwinyi • Tafutenikazi za Kiswahili zinazoelezamaudhuihayo • Ni niniwajibuwamwandishiwakazikamahizo • Ni niniwajibuwakokamamhakiki

  28. Kipindi cha MfumowaUliberali • Maana • Ni mambo ganimapyayanayojitokezakatikakipindihiki • Sokohurianinininamaudhuiyakeniyepi? • Utandawazi au Utandawizi • Unajitokezajekatikafasihi • Uhuruwauandishinaathari za uhuruhuo • Tafutenikazi za Kiswahili zinazoelezamaudhuihayo • Ni niniwajibuwamwandishiwakazikamahizo • Ni niniwajibuwakokamamhakiki

  29. Tanzu za Fasihi • 3:1. Fasihisimulizi • 3:2. Fasihiandishi • 3:3. Kufanananakutofautianakwafasihisimulizinaandishi • 3:4. FaninaMaudhuikatikafasihisimulizinaandishi

  30. 3.1 FasihiSimulizi • Ni Sanaa yalughainayotungwanakubuniwakichwaninakuwasilishwakwahadhirakwanjiayamdomonavitendobilakutumiamaandishi (Mulokozi, 2017:38). • Ni tukiolinalofungamananamuktadha Fulani wakijamii. • Mulokozianatofautishakatiyafasihiganizinafasihisimulizi. • Hakikishaunajuatofautizadhanahizokwausahihi

  31. ChangamotokatikaMaanayaFasihiSimulizi • Jina: Simulizi (kusimulia: Oral) • Ganizi (inayoganiwa- narrative) • Ufafanuzi: • Kutungwakichwani • Kuwasilishwakwanjiayamdomonamatendo • Hakunamaandishi • Ufafanuzihuukatikaulimwenguwasasa • Usimulizikatika Radio na TV

  32. 3.2 FasihiAndishi • Ni Sanaa yalughainayotungwanakuwasilishwakwahadhirakwanjiayamaandishi (Mulokozi, 2017:40). • Hutegemeavipengelevitatu: mtunzi, msomajinamdhamini. • Suala la udhaminihutofautianakutegemeautanzuwafasihiandishiunaohusika • Katikamaandishikunajitokezachangamotoyaudhibiti • Ni muhimujamiiijihakikishiekushikiliwakwamaadiiambayoyameijengajamiihiyo.

  33. 3.3 KufanananaKutofautiana • Jefasihiandishihufananajenafasihisimulizi? • Matumiziyambinuzausimulizikatikauandishi • Matumiziyawahusikanalughazausimulizi • Ni wapizinakutananawapizinaachana? • Zotenisanaazalugha • Zotehujadilimigogoro, matatizonachangamotozamwanadamukatikakuyakabilimazingirayake • Hujadilimaanayakuwako, namahusianobainayamwandamu • Huoneshamasualayahusuyohisina Imani • Uchangamani wake hutofautiana

  34. 3.3 KufanananaKutofautiana/… • Mabadilikomakuukutokakatikakusikia • Macho naMasikioniviungovikuu • Kuingiakatikakuona • Macho yakawakiungokikuu • Mabadilikokutoka “neno” sauti, kuwa “kitu”- alamayamaandishi. Alfabetiikasimamakuwakiwakilishi cha sauti • Nenolilisikikatu, alamasasainaonekananakuwezakushikika (karatasi/Kitabu)

  35. FasihiSimulizi • Chimbuko la fasihisimulizi • Tuliangaliachimbuko la Fasihikwaujumla. • Jeunadhaninininichimbuko la fasihisimulizi? • Jefasihihiiilianzaje? • Jeilikuwapolini?

  36. 4:2. Maudhuinadhimayafasihisimulizi • Tofautikatiyamaudhuinadhimaninini? • TuliangaliadhimayaFasihikwaujumla. • Jeunadhaninininidhimayafasihisimulizi? • Ufafanuziwakouendanenavipindikatikamabadilikoyamaendeleoyamwandamu • Jedhimahubakiileile au hubadilika? Kwa vipi? Kwanini?

  37. 4:3. Faninamuktadhawautendajikatikafasihisimulizi • Ifafanuedhanayautendajikatikafasihisimulizi. • Uainishajiwafasihisimulizibadonichangamoto. • Je, igawanywekwakufuata: • UainishajiwaBalisidya, • UainishajiwaTaasisiyaElimu, • UainishajiwaawaliwaMulokozi, 1996. • UainishajiwaKobia, • UainishajimpyawaMulokozi, 2017:51- 62)

  38. 4:4. Uchambuziwatanzunachangamotozake • KutokananaUainishaji, nidhahirikuwauchambuziwatanzuzafasihisimuliziunachangamotokadha. • Ni muhimukuzifahamuchangamotohizo. • Ni muhimuzaidikuwanamsimamounaowezakuuteteanikwaniniunapendeleauchambuzimmojawatanzudhidiyamwingine.

  39. Moduli ya 5: FasihiAndishi • 5:1. Fasilimbalimbali za fasihiandishi • 5:2. Chimbukonamaendeleoyafasihiandishiya Kiswahili • 5:3. Tanzunakumbo za fasihiandishiya Kiswahili • 5:4. Faninamaudhuikatikafasihiandishi

  40. 5.1. Fasilimbalimbali za fasihiandishi • Litteratura: Kitukilichonukuliwakwamaandishi. • Kazizakiubunifuzinazotumialughailikuwasilishawazo Fulani. • Kuwakilishadesturi, mila, utamaduniwajamiikwanjiayakisanaa

  41. 5:2. Chimbukonamaendeleoyafasihiandishiya Kiswahili • Kutokeakatikafasihisimulizi • Kazizamwanzozaushairikatikahatizakiarabu • Riwayaya Uhuru waWatumwa • Kazizatafsiri

  42. 5:3. Tanzunakumbo za fasihiandishiya Kiswahili • 5.3.1 Tamthilia • 5.3.2 Riwaya • 5.3.3 Ushairi

  43. 5.3.2 FasihiAndishi - Tamthilia • Msingiwasanaayoyoteileniuigaji. • Msaniihuangaliakituhalisi, kishahukiiganakukitoakwanjiafulani. Akifanyahivyo, usanii wake huwanikiwakilishitu. • Maishahuwanimwigo: Mf. Ktkdinitwaambiwamaishahalisiyatakuwambinguni. Unavyoishisasandivyoutakavyokuwahukojuu (yaanihapasisisiohalisi). “Tunapitatu” mahalikwetunipenginen.k • Matendoyamila, utanink, huwaniuigazi • Miviganashereheniuigaji

  44. Tamthiliamsingi wake niUigaji • Tamth.-andiko la kiuigizajilenyekuoneshamatendonamaneno. Ni igizo la kifasihilililokusudiwakutendwa (kuigizwa) jukwaanikwaajiliyahadhirafulani. • Istilahiyatamthiliainatokanananenomithali, (mithili) yaanimfano, au isharaambalomsingi wake niuigaji. Si kituhalisi. • Katikatamthilia, wahusika, matendoyaonanafasizaohumathilishawatu, matendo au nafasihalisikatikajamii. Wamathili

  45. Tamthilia/Onesho/Mchezo • Tamth.-andiko la kiuigizajilenyekuoneshamatendonamaneno • Mlama, 1983: Tamthilianisanaayamaonesho, ambayohuwasilishaanakwaanatukiofulanikwahadhirakwakutumiausaniiwautendaji (vitendo, uchezaji, ngoma, uimbajin.k) • Sanaa za MaoneshoniNini?

  46. MaanayaSanaa za Maonesho • AINA 3 za SANAA • Za Uonesho-:- Uzuriumokatikakuona= uchoraji, uchongaji, nk. • Za Ghibu-: uzuri wake umokatikakusikia. ushairi, upigajimuziki, • Za vitendo:-Uzuri wake umokatikakuonanakusikiavitendo. • Ainazinajadiliwakupitiakatika UZURI. Je kazi/dhima?

  47. S.M niSanaa za Vitendo • Kitendo cha sifa 4 • Mchezo • Mchezaji • Uwanjawakuchezea • Watazamaji

  48. Udhaifuwamtazamohuo • Mchezo • Sifa 4 tu • Tamth. Ni ya Kigeni. Je S.M za asili?

  49. MaanakwakuzingatiaUafrika: Ni tukio la kijamiilenyesifa: • DhanaInayotendeka • UwanjawaKutendea • Watendaji • Hadhira • Kusudio la Kisanaa • MuktadhawaKisanaa • Ubunifu (umathilishaji)

  50. SanaazaMaonesho za Kiafrika • Sherehe • Unyago/Jando, Kutoajina, kuotameno (hatuakwendanyingine) • Ngoma: (chombo,kitendo,sherehe) • Kusaliamizimu • Kupatikanamapachan.k

More Related