110 likes | 341 Views
Raia Mwema na Ulipaji wa Kodi : Je Kuna Uhalali. Mada Iliyotolewa katika Semina ya UCHOCHEAJI WA MAENDELEO KWA WANANCHI NA TAIFA, ndani ya Hoteli ya JB Belmont, Mwanza , Septemba 9, 2014. Muneja , Mussa PhD. Kodi ni Nini. Kodi ni ushuru unaolipwa kwa mamlaka Fulani iliyoko kisheria
E N D
RaiaMwemanaUlipajiwaKodi: Je Kuna Uhalali MadaIliyotolewakatikaSeminayaUCHOCHEAJI WA MAENDELEO KWA WANANCHI NA TAIFA, ndaniyaHoteliya JB Belmont, Mwanza, Septemba9, 2014. Muneja, Mussa PhD
KodiniNini • Kodiniushuruunaolipwakwamamlaka Fulani iliyokokisheria • Kodiimekuwepotangusikunyingizanyuma. • MamlakazetuhapaAfrikazakiasilizilitozakodiwatuwatu wake • Katikabibliakodiimezungumzwa
AinazaKodiKatikaBiblia • KodiyaHekalu (Math 17:24) Ilimhusukilamyahudimwanaumemwenyemiaka 20 nakuendelea nailitolewamaramojakwamwaka. Madhumuniyakeilikuwani kusaidiauendeshajiwashughulizahekalukamaulinzi, ununuziwa vifaambalimbalivyaibadan.k (Kutoka 30:11-16)
2. KodikwaSerikali • Hiiilitolewakwaajiliyaserikaliiliiwezekuendeshashughulizake. WakatiYesualipoulizwa, Je nihalalikulipakodikwaKaisari? Lilikuwaniswali la mtegokwamakundimawili. • Kwanza kundi la mafarisayo, angesemandio, ingemaanishaanasalitiwayahudiwenzakeambaowalikuwawanatawaliwanawarumi. Kwahiowangepatasababuyakumuua
Kundiyapilililikuwa la Waherodia, kamaangesemahapana, basiwangemshitakikwakaisarikwambaanagomeshawatuwasilipekodihatimayeauwawe!
YotekwayotebaadaeYesubadoalisingiziwakuzuiawatukulipakodi (luka 23:2) • YumkiniYesualiandikiwakufakwaajiliyawanadamukwasababuyoyoteile. • LakinitunajifunzakwaYesuumuhimuwakulipakodihatakwaserikalidhalimu. Itakuwanisuala la wakatitu, serikaliinayojali utu wawatuitaingiamadarakani
YesuKielelezo cha UlipaKodi • KatikaMathayo 17:24-27 • Yesuanamuuliza Petro, “Je wafalmewaulimwenguhuuhupokeakodikwawatugani? Je nikwaraia au wageni. Akajibu, wageni. Kwamaanahioraiawakohuru! • Hatahivonendanendabaharini,utupendoananasamakiwa kwanza atakayetokakwanza,utakapomfunguakinywautakutakipande cha fedha, kichukueukajilipiewewenamimi (MUUJIZA)
YesuAliwatizamaje TRA waKarneya Kwanza • Kulikuwanamakundimbalimabliambayoyalichukiwana ‘wachaMungu’ wakarneya kwanza. • Kulikuwepomasikini, makahaba, watuwamataifa, wakomanawatozaushuru. • UsomajiwaBibliakwamakinihuashiriakundi la watozaushuru/kodililichukiwasana(Luka 15)
LakiniYesualiwapendahataakawatoleamifanokatikamafundishoyake • Yesualiwapendahataakalachakulapamojanaopamojanalawamazote (Zakayo [Luka 19:1-10]) • Yesualiwapendahataakamfanyammojawaokuwamwanafunzi (Mathayo [Luka 5:27-32])
Sababu 7 zaKulipaKodi • 1. Ni kuigakielelezo cha Yesu (Luka 17:24) • 2. Ni kutiimamlakazilizowekwanaMungu (Warumi 13:7) • 3. Ni kuonyeshamoyowakujalikusaidiawanadamuwengine • 4. Ni kuhimizawatuwasibweteke, ilawafanyekazi • 5. Ni kujengamahusianomazurinaserikalinakwajinsihiokuwezakufanyashughulizetuzaibadanaujasiriamlikwauzuri • 6. Ni kuzibamwanyakwamaaduizetukwambahatunanianjemanaserikali • 7. Ni kuipatiaserikalimapatokwaajiliyamaendeleo