90 likes | 270 Views
MKUTANO KUHUSIANA NA KUPUNGUZA MATATIZO NA VIFO VINAVYOTOKANA NA UZAZI KWA MAMA NA MTOTO KISARAWE, 31/08/2007. OVERVIEW OF THE PROGRAM AUGUST 31, 2007. FLEMAFA CBO ni nani?.
E N D
MKUTANO KUHUSIANA NA KUPUNGUZA MATATIZO NA VIFO VINAVYOTOKANA NA UZAZI KWA MAMA NA MTOTOKISARAWE, 31/08/2007
OVERVIEW OF THE PROGRAM AUGUST 31, 2007
FLEMAFA CBO ni nani? • FLEMAFA CBO (Fly But Manage Your Family) ni Asasi isiyo ya kiserikali ambayo ilianzishwa na wauguzi wakunga na kuandikishwa rasmi tarehe 23/10/2004. • Makao makuu ya FLEMAFA yapo Tandika mtaa wa Berege, Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam. • Madhumuni ya FLEMAFA ni: - • kuongeza upatikanaji wa huduma bora za afya ya uzazi kwa akina mama watoto na vijana katika maeneo ya vijijini. • Kuchangia katika kupunguza matatizo na vifo vinavyotokana na uzazi kwa mama na mtoto mchanga • Kutoa elimu ya afya ya uzazi
Nini kimeshafanyika mpaka sasa • Kuandika miradi mbalimbali ambayo imesambazwa kwa wahisani mbalimbali • Usaili wa awali kuhusu hali ya upatikanaji wa huduma bora za afya ya uzazi ya mama na mtoto mchanga katika Wilaya ya Kisarawe • Kutoa elimu ya afya ya uzazi katika maeneo ya Sungwi, Masanganya na Manerumango • Kutoa huduma za afya ya uzazi katika makao makuu ya FLEMAFA yaliyopo Tandika.
Goal: • To develop strategies for reducing maternal and newborn morbidity and mortality rate in Kisarawe District
Objectives: • Raise awareness regarding the issues contributing to maternal and newborn morbidity and mortality rate. • Share efforts underway to improve maternal and child health in: • Tanzania • Kisarawe • Other partners in Tanzania • Other countries
Objectives cont… • Identify ways to improve efforts done by the Government and other partners involved in reproductive and child health care in maternal and newborn morbidity and mortality. • Generate and share plan of action demonstrating the commitment of all participants to continue engagement (within the local community and among individuals and organizations participating in the conference) in Kisarawe District