1 / 18

UFUNDISHAJI WA FASIHI

UFUNDISHAJI WA FASIHI. Nini fasihi ? Ni sanaa inayotumia lugha ambayo inamzungumzia binaadamu na mazingira yake . suali. Unafikiri kuna umuhimu gani kufundisha fasihi mashuleni ?. Umuhimu wa fasihi. Kuwawezesha wanafunzi kufichua ukweli na kupata maarifa yatokanayo na maisha ya wengine .

hina
Download Presentation

UFUNDISHAJI WA FASIHI

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. UFUNDISHAJI WA FASIHI Ninifasihi? Ni sanaainayotumialughaambayoinamzungumziabinaadamunamazingirayake.

  2. suali • Unafikirikunaumuhimuganikufundishafasihimashuleni?

  3. Umuhimuwafasihi • Kuwawezeshawanafunzikufichuaukwelinakupatamaarifayatokanayonamaishayawengine. • Kuamshahamunaudadisikatikakuwaelewawatuwenginenakujielewawaowenyewepia. • Kuendelezanakudumishautamaduni • Kuwapawanafunzimbinunamitindombalimbaliyakujieleza • Njiayakujiburudisha • Kujengamisimamomipyakatikamaisha

  4. suali • Unafikiri mambo ganimuhimuyanahitajikuchambuliwakatikausomeshajiwafasihi?

  5. Mambo yakuchambuakatikafasihi • Maudhui (lengo la msanii) • Fani (muundo, mtindo, wahusika, mandhari,lugha,…)

  6. Ufundishajiwariwayanatamthilia Mambo yakuchambuakatikariwayanatamthiliani : • kisa (jumlayamatendoyote) • mtindo (jinsiyamasimulizi) • wahusika (ainanahudumazao), • mandhari (mazingirakatikamasimulizi), • matumiziyalugha, • dhamira (kiini au chimbuko la kisa).

  7. Inaend. • Ufanisiutatokananamatayarishoyamwalimunavifaaalivyoviandaa • Wanafunzilazimawashirikishwekatikahatuazote.

  8. UFUNDISHAJI WA USHAIRI Hatuazaufundishaji • Hatuaya kwanza niKuchaguashairi • Pili,Kujuamadhumuniyakusomashairihilo (kutajalengo) • Tatu, Usikilizajiwashairi (shairilisomwemarambili au tatu, lisomwenamwanafunzi, mwalimu au kinasasauti.) Kablayauchambuzikuanzakuwenamazungumzoyajumlayanayohusumaudhuiyashairi)

  9. Inaend. • Hatuayanneniyauchambuziwashairikutokananamadhumuni/malengoyaufundishajiyaliyotolewa. Uchambuziwavipengelembalimbaliuendeleekwanjiayamjadala (Kuwenavipengelemahsusivinavyochambuliakulingananakiwango cha wanafunzi)

  10. Inaend. • Hatuayatanonayamwishoniyamazoeziambayoyataendasambambanamadhumuniyasomo. Mf wamazoeziwaandikeinshajuuyaumuhimuwa... (ikiwalengonikuelewadhamira), waigizesehemuyaushairi (ikiwalengonikuelewautamaduni, tabia, waandikeinsha au ushairikuhusu...(ikiwalengonikutunga au kueleza), Kuelezamaudhuiyashairi au ubetifulanikwalughayakawaida (ikiwalengonimaudhuiyashairi).

  11. Inaend. • (namnayakutathminiitategemeanamalengo, ikiwaniuchambuziwafaniunawezakuwapashairijenginewachambuelugha, fani, muundo, mtindo, nk)

  12. Ufundishaiwafasihisimulizi UFUNDISHAJI WA HADITHI • Hadithizifundishwekwanjiayakutambwa(masimulizindiomsingimkuuwafasihisimulizi) • Vifaaviwepokamavinasasauti au mwalimumwenyeweanawezakuwamsimulizihivyohuwaametumikakamanikifaa cha kufundishia. • Uchambuziufanywekwakuangaliauwasilishajiwenyewemfanowahusika, lugha, muundo, ujumbekilainapowezekana. • Mazoeziyafanywekwakuzingatiamalengo. Mf kuwatakawanafunzikukusanyanakutungahadithimbalimbalinakuzisimulia, kuigizahadithizilizosimuliwa, kuzibadilikuwamethali. (unawezakuwatakawatungehadithiinayoongozwanamethalifulani-tathminipiainategemeanalengo la ufundishaji).

  13. mwisho (KWA JUMLA) • Usimuliaji (story telling)namaigizondionjiazinazopendekezwakatikaufundishajiwafasihisimulizi. • Hatahivyo, mwalimuanawezakufundishatanzunyenginezafasihisimulizikamamethali, vitendawili, nyimbo, ngonjera, nkkwakufuatahatuazinazolingananaufundishajiwatanzunyengine, au katikahaliambayoanahisiitawashirikishawanafunzinakufikialengo. • Jambomuhimu la kuzingatianimalengo, uwasilishajinanamnayakutathmini.

  14. MFAnowahadithi FISI AADHIBIWA • HapozamanikatikambugayaRijeniwanyamawadogowalikutanakwasirikujadiliuovuwaFisi. WalikutanakwasirikwasababuwalijuawanyamakamaSimba, Chui naFisiwalikuwanahamukubwayakuwashambulianakuwala. Swalaalikuwakiongoziwamkutanonaakawaambiawenzake, “Jamani, uonevuumezidi. JumalililopitawatotowawiliwaKongoniwaliliwana Chui, tena Chui alisemahakushiba. AlitakasanaamshikeKongoniamle, lakiniKongonialiwahikukimbia. JuzimwananguAmeliwanaFisi. Nilimpigatekejichonilakiniakatakakunitafuna, nikakimbia, sasatufanyeje?”

  15. inaend • Basiwanyamawalijadilikwauchungunakwamudamrefu. Wotewalitakasana Chui naFisiwauaweharaka. Tatizolaokubwalilikuwajinsiyakuwauwa. Wenginewalishauriwaovu wale wategewemitegoyakambabaadayewapofuliwe. Hatahivyoilionekananihataribado. Hatimaesunguraakatikisamasikioyakenakusema, “Kuwauwaniachienimimi. Nipenisikusabanitawaelezanakuwaoneshanitakachofanya.” BasimkutanoukafungwanakumkubaliaSunguraafanyekazihiyo. UsikuulipoingiaSunguraalikokamotonjeyanyumbayake. Moto ulipokoleavizuriakatiajiwemojandaniya ule moto. Jiwehilolilikuwanaukubwawampirawatenisi. SunguraakaongezakunimekonihalafuakaendakumtafutaFisipangonimwake.

  16. inaend • Sunguraalipofikamlangonimwapangoakasema, “hodikwamzeeFisi!” Fisialifurahimoyoni, kwasababualijuailesautiyaSunguranaalijuakuwaSunguraangewezakuwachakulachake. Fisihakujibuharaka. KwahiyoSunguraakasogeamlangoninakubishatenahodi. HapondipoSunguraalipojikutamakuchanimwaFisi! Sunguraakaonakifowaziwazi .Sunguraakamwambia “rafikiyangumzeeFisivipileo? Nakuleteahabarinzurihalafuunanikamata!” Fisiakasemamimininanjaayasikunnehalafuunileteehabarinzurigani? “Wewenirafikiyangu” Sunguraakampoza , “hatakamautanilahutashiba. Mimi nimekujanikukaribishekwangu. Hukonyamanitele.”

  17. inaend • FisialifurahinakuchekahukuakimwachiaSungura . “Hayaongozanjia. Tenauongezemwendo, sio ule mwendowakowasisimizi”. SunguranaFisiwalifikakwaSungurahuku mate yanamtokaFisimdomonikwahamuyanyama. HapoSunguraakapangavitimbivyakeakasema, “mzeefisinyamaziponyingilakinihizininyamazatambiko. Kwadesturizakwetumnofuwa kwanza nitakulishamimimwenyewe, mradiulalechalinaufumbe macho”. Baadayahaponyamanyengineutakulakwamikonoyako.” KablaSungurahajamalizaFisialikwishalalachali, nakufunguamdomonapiakufumba macho.

  18. Inaend. • Sunguraalichekakimoyomoyoakatwaakibanio, akabanalilejiwe la motonakulitumbukizamdomonimwaFisi. KwakuwaFisialikuwaamejiandaakumezanyama , alilimezajiweharakasana. Looo! Fisialiunguakoo, kifuanatumbo. Fisialibiringikaakiliasananakujitupahukunahukohadiakakataroho. • (Kutoka, Kiswahili 2 - Kidato cha Pili,TaasisiyaElimu, Oxford University Press, Dar Es Salaam, 1996, uk 5-6.)

More Related