171 likes | 604 Views
VIFAA VYA KUFUNDISHIA. Nini maana ya vifaa vya kufundishia ?. inandelea. Ni kitu chochote kinachotumiwa na mwalimu / mwanafunzi kwa ajili ya kushajihisha usomeshaji na kujifunza . Vipo vifaa ambavyo mwalimu ndio anatumia zaidi ( ubao , projector, nk )
E N D
VIFAA VYA KUFUNDISHIA Ninimaanayavifaavyakufundishia?
inandelea • Ni kituchochotekinachotumiwanamwalimu /mwanafunzikwaajiliyakushajihishausomeshajinakujifunza. • Vipovifaaambavyomwalimundioanatumiazaidi (ubao, projector, nk) • Vipoambavyomwalimunamwanafunziwanatumiakwapamoja (vitabuvyakiada)
Swali • UnafikirisifaganizinahitajikakwaKifaa cha kufundishiakilichoboranakitakachopelekealengo la kujifunzakufikiwa?
inaendelea • Angaliakwamakinivifaavifuatavyokishatoamaoniyako.
Zingatiamchorohuounasemajekamautatumikakusomeshevitenzi, mwanafunzianapatadhanagani?
Angaliakwamakinichatihiiikishatoamawazoyakokamaitatumikakamanikifaa cha kufundishiaainazamaneno
Zingatiachatiifuatayokishatoamaoni, inafaakutumikakamakifaa cha kufundishia?
Toa maoniyakokuhusuhabarihiiikitumikakamanikifaa cha kufundishia • FISI AADHIBIWA • HapozamanikatikambugayaRijeniwanyamawadogowalikutanakwasirikujadiliuovuwaFisi. WalikutanakwasirikwasababuwalijuawanyamakamaSimba, Chui naFisiwalikuwanahamukubwayakuwashambulianakuwala. Swalaalikuwakiongoziwamkutanonaakawaambiawenzake, “Jamani, uonevuumezidi. JumalililopitawatotowawiliwaKongoniwaliliwana Chui, tena Chui alisemahakushiba. AlitakasanaamshikeKongoniamle, lakiniKongonialiwahikukimbia. JuzimwananguAmeliwanaFisi. Nilimpigatekejichonilakiniakatakakunitafuna, nikakimbia, sasatufanyeje?” • Basiwanyamawalijadilikwauchungunakwamudamrefu. Wotewalitakasana Chui naFisiwauaweharaka. Tatizolaokubwalilikuwajinsiyakuwauwa. Wenginewalishauriwaovu wale wategewemitegoyakambabaadayewapofuliwe. Hatahivyoilionekananihataribado. Hatimaesunguraakatikisamasikioyakenakusema, “Kuwauwaniachienimimi. Nipenisikusabanitawaelezanakuwaoneshanitakachofanya.” BasimkutanoukafungwanakumkubaliaSunguraafanyekazihiyo. UsikuulipoingiaSunguraalikokamotonjeyanyumbayake. Moto ulipokoleavizuriakatiajiwemojandaniya ule moto. Jiwehilolilikuwanaukubwawampirawatenisi. SunguraakaongezakunimekonihalafuakaendakumtafutaFisipangonimwake. • Sunguraalipofikamlangonimwapangoakasema, “hodikwamzeeFisi!” Fisialifurahimoyoni, kwasababualijuailesautiyaSunguranaalijuakuwaSunguraangewezakuwachakulachake. Fisihakujibuharaka. KwahiyoSunguraakasogeamlangoninakubishatenahodi. HapondipoSunguraalipojikutamakuchanimwaFisi! Sunguraakaonakifowaziwazi .Sunguraakamwambia “rafikiyangumzeeFisivipileo? Nakuleteahabarinzurihalafuunanikamata!” Fisiakasemamimininanjaayasikunnehalafuunileteehabarinzurigani? “Wewenirafikiyangu” Sunguraakampoza , “hatakamautanilahutashiba. Mimi nimekujanikukaribishekwangu. Hukonyamanitele.” • FisialifurahinakuchekahukuakimwachiaSungura . “Hayaongozanjia. Tenauongezemwendo, sio ule mwendowakowasisimizi”. SunguranaFisiwalifikakwaSungurahuku mate yanamtokaFisimdomonikwahamuyanyama. HapoSunguraakapangavitimbivyakeakasema, “mzeefisinyamaziponyingilakinihizininyamazatambiko. Kwadesturizakwetumnofuwa kwanza nitakulishamimimwenyewe, mradiulalechalinaufumbe macho”. Baadayahaponyamanyengineutakulakwamikonoyako.” KablaSungurahajamalizaFisialikwishalalachali, nakufunguamdomonapiakufumba macho. • Sunguraalichekakimoyomoyoakatwaakibanio, akabanalilejiwe la motonakulitumbukizamdomonimwaFisi. KwakuwaFisialikuwaamejiandaakumezanyama , alilimezajiweharakasana. Looo! Fisialiunguakoo, kifuanatumbo. Fisialibiringikaakiliasananakujitupahukunahukohadiakakataroho. • (Kutoka, Kiswahili 2 - Kidato cha Pili,TaasisiyaElimu, Oxford University Press, Dar Es Salaam, 1996, uk 5-6.)
SIFA ZA VISAIDIZI / VIFAA VYA KUFUNDISHIA • Vifahamike • Visomeke • Visikike • Vionekane (viwevikubwavyakutosha) • Viwasilishedhanailiyokusudiwa • Viendanenamaadiliyajamii • Vilinganenaviwangovyawanafunzi
Inaend. • Visiwenaatharikwawanafunzi • Visimjengekhofumwanafunzi (kutokueleweka,nk) • Vimsaidiemwanafunzikujiamini,vimhamasishe • Visiwenatafsirinyingi/dhananyingikwawakatimmoja • Vizingatietofautiyawanafunzikatikaufahamu/ugumu • Vichorwevizurivivutie (attractive)
MIFANO YA VIFAA VYA KUFUNDISHIA • Pichazavituhalisi • Vituhalisi • Michoro (drawings) • Vivulivyamazungumzo au habari • Redionavinasasauti • Ramani • Chatinavielelezo
Inaend. • Kadizenyemalekezo • Vitabuvyakiada • Ubaonachaki • Vipandevyahabarivilivyotayarishwanamwalimu, kutokamagazetini, vitabuni,nk • Projecta • computer
UMUHIMU WA VIFAA VYA KUFUNDISHIA • Kurahisishaufahamukwawanafunzi • Kuwachangamshawanafunzi • Kuwashirikishawanafunzi ,kutumiaakilizaokwakuzalishamawazoyatokanayonavifaavinavyotumika • Kuhifadhimuda • VinapelekeaKumbukumbuyamudamrefu • Vinasaidiamaneno (support verbal instructions)
Inaend. • Vinapelekeakuifanyadhanakuonekana (verbal idea to be concrete)
Ref.Mbumda F. (1996)MbinuzaKufundishalughaya Kiswahili • Tomlison Brian (2004)Material development in language teaching