1 / 24

MAELEZO YA UTANGULIZI KUHUSU MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA: DAR RAPID TRANSIT (DART)

MAELEZO YA UTANGULIZI KUHUSU MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA: DAR RAPID TRANSIT (DART). CHANGAMOTO KUU ZA USAFIRI JIJINI DAR ES SALAAM. Msongamano wa magari. Usimamizi duni wa mwenendo wa magari. Uchafuzi wa hewa. TAKWIMU ZA MATUMIZI YA USAFIRI JIJINI.

kiaria
Download Presentation

MAELEZO YA UTANGULIZI KUHUSU MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA: DAR RAPID TRANSIT (DART)

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. MAELEZO YA UTANGULIZI KUHUSU MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA: DAR RAPID TRANSIT (DART)

  2. CHANGAMOTO KUU ZA USAFIRI JIJINI DAR ES SALAAM Msongamanowamagari Usimamiziduniwamwenendowamagari Uchafuziwahewa

  3. TAKWIMU ZA MATUMIZI YA USAFIRI JIJINI Zaidiyaasilimia 90 yawakazi Dar es Salaam, wanatembea, wanatumiabaiskeli au daladalakwendakazini: - 56% Wanaotembea - 41% UsafiriwaummahususanDaladala - 3% Wanatumiamagaribinafsi • Mijiminginemikubwanchininayoikokatikahalihiyoingawajehaijafikiakiwango cha Dar es Salaam.

  4. DIRA YA DART Kuwa na mfumo wa usafiri wa umma wa gharama nafuu kwa watumiaji, unaowaingizia waendeshaji faida, ukitumia mabasi makubwa ya kisasa, yanayokidhi viwango vya ubora wa huduma, uhifadhi wa mazingira na utumiaji wa njia maalum na kupunguza muda wa safari.

  5. DHIMA YA MRADI WA DART Kutoa huduma bora inayopatikana kirahisi na ya gharama nafuu kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ambayoitachangia: • kuondoa au kupunguza umaskini, • kuinua hali ya maisha, • kuleta ukuaji wa uchumi endelevu katika Jiji na • kuwa kichocheo cha ushirikiano baina ya sekta ya umma na sekta binafsi katika nyanja ya usafirishaji Jijini.

  6. 6 1 5 4 • 137+ km of DART corridors • 18+ terminals • 228+ stations 5 3 2 MAONO YA MFUMO WA DART: Awamu 3 muhimu za DART zinakutana Kariakoo ? Mfumo wa DART unatekelezwa katika Awamu sita

  7. AWAMU SITA (6) ZA UTEKELEZAJI

  8. VIGEZO VILIVYOTUMIKA KUAMUA AWAMU ZA UTEKELEZAJI Mahitaji ya Usafiri(51.7%) Urahisi wa Kujenga (27.7%) Manufaa kwenye Mazingira(20.6%) Easiness for construction (34.3%) Qty of Demolitions (24,4%) Current demand in the public transport corridor (48.5%) Air and sound pollution (22.4%) Financial viability (30.0%) Servicing low income areas (26.1%) Promote development urban areas (31.7%) Qty daladala routes cancelled (20.4%) Travel time impact (25.4%) Gen. costs benefits (15.2%) Impact during construction (21.5%) 23

  9. AWAMU YA KWANZA YA DART Key Awamu ya kwanza ina:- Urefu km.20.9, Vituo 27, Vituo mlisho 6, Karakana 2 na Vituo Vikuu 5. Inatarajiwa kuwa na uwezo wa kubeba abiria 460,000 kwa siku kwa kutumia Mabasi Makubwa 145, mabasi madogo118. Depot Feeder Station

  10. MIUNDOMBINU YA MFUMO WA DART • NjiazaPekeezaMabasi • MabasiMakubwayaKisasa • Vituovilivyofunikwa • Vituovikubwa, boranavyakisasa • Maegesho/Karakanakaribunanjiakuu • Njiazawaendeshabaisikelikwenyemfumowa DART • Njianzurizawatembeakwamiguu

  11. MAENEO YA UJENZI KULINGANA NA UPANA WA BARABARA Stch 7 Stch 6 Stch 8 Stch 5 Stch 9 Stch 4 Stch 1 Stch 3 Stch 10 Stch 2

  12. SEHEMU YA 1 Kituokikuu cha Kivukonimpaka DCC (Eneohililimebadilishwakutokanjiamojakwamagarimenginenakuwa 2) Hifadhiyabarabaranikatiyamita 25.5 mpaka 31, Nafasiyaziadakwawatembeakwamiguuinapatikana

  13. SEHEMU YA 2 Morogoro Rd, DCC mpakaBibititiHifadhiyabarabaranimita 11 ujenziunaofanyikanikwaNjiazawaendakwamiguuyenyeupanakatiyamita 2 – 4 nanjiambilizamabasi

  14. SEHEMU YA 3 PASIPO NA KITUO SEHEMU YA 3 MAENEO YA KITUO SEHEMU YA 3 Barabaraya Morogoro kutokaBibititimpakaUmojawaMataifana Swahili: Hifadhiyabarabaranikatiyamita 31 - 42

  15. Sehemu ya 4 & 5 pasipo na kituo Sehemu ya 4 & 5 maeneo ya kituo SEHEMU YA 4 - 5 BarabarayaUmojawaMataifampakaUbungoUpanawamita 55 paliponakituonamita 46.5 pasiponakituo

  16. UENDELEZAJI WA ENEO LA UBUNGO Water stream Bus depot Upcountry terminal Feeder terminal DART terminal

  17. HATMA YA MFUMO WA DALADALA DARCOBOA ni mjumbe kwenye Kamati ya Uongozi ya DART

  18. DESIGN YA DART AWAMU YA 2 & 3:(TAARIFA YA MWISHO INAANDALIWA) Awamuya 3 • Maktaba St. Bibi-Titi Rd., Nyerere Rd. • Pugu Rd., Uhuru St. • Urefu : 23.6 km • Vituo : 30 • VituoVikuu : 3 (pamojanakariakoo) Awamuya 2 • Gerezani St., Kilwa Rd., • Changombe Rd., Kawawa Rd. • Urefu : 19.3 km • Vituo : 26 • VituoVikuu : 3 (pamojanakariakoo)

  19. RUTI ZA AWAMU YA PILI

  20. RUTI ZA AWAMU YA TATU

  21. WADAU WAKUU KWENYE UJENZI WA MFUMO OFISI YA WAZIRI MKUU - TAMISEMI(PMO-RALG) WIZARA ZA UJENZI NA USAFIRISHAJI SUMATRA Surface and Marine Transport Regulatory Authority PUBLIC SECTOR H/JIJI LA DAR ES SALAAM (DCC) SEKTA YA UMMA WAKALA WA BARABARA (Tanzania National Roads Agency) WAKALA WA USAFIRI DAR ES SALAAM (Dar Rapid Transit: DART Agency) PRIVATE SECTOR KAMPUNI YA UKUSANYAJI NAULI (Fare Collection Services) UTUNZAJI FEDHA/ BENKI(Funds Administration) KAMPUNI ZA MABASI KWA NJIA KUU NA NDOGO (Bus Operators: Trunk and Feeder) SEKTA BINAFSI

  22. UENDESHAJI-OPERATIONAL SETUP DART AGENCY Planning, Management and Control • Bus Operation (Private) • Companies • Buses • Employees • Infrastructure (Public) • Corridors • Stations • Garages • Complementary Infrastructure • Billeting (Private) • Equipments • Smart Cards • Trust Fund

  23. DART AGENCY ESTABLISHMENT CONSTRUCTION OF THE INFRASTRUCTURE- 12-36 months PROCUREMENT OF BUSES AND OTHER BRT EQUIPMENT 9 -12Months before D-Day 25th May 2007 Inaugurated 16th June 2008 Julai 2015 Funds mobilization HUDUMA MAMBO MUHIMU YA KUFANIKISHA

More Related