50 likes | 215 Views
Karibu katika mfumo huu mpya unaofanyiwa majaribio na watafiti wa picha za digital (DPI) kwa kushirikiana na kampuni ya SONY. Kupitia “software program” hii unaweza kujipiga picha ya rangi kwa kutumia monitor ya computer yako pasipo kuhitaji kuwa na kamera. Maelekezo:
E N D
Karibu katika mfumo huu mpya unaofanyiwa majaribio na watafiti wa picha za digital (DPI) kwa kushirikiana na kampuni ya SONY. Kupitia “software program” hii unaweza kujipiga picha ya rangi kwa kutumia monitor ya computer yako pasipo kuhitaji kuwa na kamera • Maelekezo: • - Kaa vizuri mbele ya monitor ya computer yako • - Agalia monitor pasipo kuyumba • - Click sehemu ilioandikwa “Take Picture”. • - Kumbuka kukaa vizuri pasipo kuzidi upande wowote!!!. Take Picture
Umeegemea zaidi upande wa kushoto, rudi kulia kidogo na uelekeze macho kwenye monitor, pia kumbuka kutabasamu kwa matokeo ya picha nzuri... Click Take Picture Take Picture
Picha yako iko tayari! File size ni 27KB, hivyo ni rahisi kuituma kwa marafiki kupitia Email au simu ya mkononi, kumbuka kuwajulisha rafiki zako kuhusu software hii ya SONY. Click “Show Picture” kuona picha 100% Completed Succsessfully Show Picture
Acha Ushamba wako!! Hivi ni kweli uliamini monitor inaweza kukupiga picha? Kwa taarifa yako teknolojia tuliyonayo sasa bado haijafikia hatua hiyo, Labda jaribu tena ifikapo mwaka 2010. Hebu bonyeza ”Esc” uendelee na kazi zako.