180 likes | 494 Views
Bible Basics / MISINGI YA BIBLIA Study 7: The Origin Of Jesus. SOMO LA 7: Mwanzo wa Yesu. www.biblebasicsonline.com www.carelinks.net Email: info@carelinks.net. 7.1 Old Testament Prophecies Of Jesus. 7.1 Unabii unaomhusu Yesu kwenye Agano la Kale. Unabii ulio katika Agano la Kale
E N D
Bible Basics / MISINGI YA BIBLIAStudy 7: The Origin Of Jesus SOMO LA 7: MwanzowaYesu
www.biblebasicsonline.comwww.carelinks.netEmail: info@carelinks.net
7.1 Old Testament Prophecies Of Jesus 7.1 UnabiiunaomhusuYesukwenyeAgano la Kale
UnabiiuliokatikaAgano la Kale • “Munguwangu, Munguwangu, mbonaumeniacha ?"(Zaburi 22: 1) • “Laumuyawanadamu na mzahawawatu. wotewanionaohunichekasana, Hunifyonya, wakatikisavichwavyao; Husema, umtegemee (yaani, alimtegemea) Bwana; na amponye; na amwokoesasa, maanaapendezwanaye"(Zaburi 22: 6 -8). • "…. Ulimiwanguwaambatana na tayazangu; wamenizuiamikono na miguu"(Zab. 22:15,16) • “Wanagawanyanguozangu, na vazilanguwanalipigiakura"(Zab. 22: 18) • UmetimilikakwaKristo • HayayalikuwakabisanimanenoyaYesupalemsalabani(Math. 27: 46). • Israeli walimdharauYesunaowalimdhihaki(Luk. 23:35 8:53); walitikisavichwavyao(Math.27:39),walisemahayamanenoalipokuwamsalabani(Math. 27:43). • HuuulitimiaKristo)alipokuwa na kiumsalabani(Yn.19:28). Kuzuiwamikono na miguunitendo la kusulubiwaambalolimetajwa. • UtimilifukabisawahuuunapatikanakatikaMathayo. 27:35.
7.2 The Virgin Birth • Kuzaliwa na Bikira
The Conception of Jesus / MTUNGO WA MIMBA YA YESU • MalaikaGabrieliakamtokeaMariamu na ujumbekuwa"tazama, utachukuamimba na kuzaamtotomwanamume; na jina lake utamwitaYesu. HuyuatakuwaMkuu, ataitwamwanawaAliyejuu ……. MariamuakamwambiaMalaika, Litakuwajenenohili, maanasijuimume ? (Yaani, alikuwabikira). Malaikaakajibuakamwambia, RohoMtakatifuatakujiliajuuyako, na nguvuzakealiyejuuzitakufunikakamakivuli; kwasababuhiyohichokitakachozaliwakitaitwakitakatifu, MwanawaMungu"(Luk. 1: 31 -35)
No Pre-existence of Jesus • Yesualikuwani"Shina na mzaowaDaudi"(Uf. 22: 16), neno la Kigriki'genos’ linadokezakwambaYesu'alizaliwatoka’ kwaDaudi. • IkiwaYesualikuwa'mimba’ ndaniyatumbo la Mariamu(Lk. 1:31)niushahidikwambahakuwahikuishikimwilikablayawakatihuu.
The Humanity of Jesus • "Ni naniawezayekutoakitukilichosafikitokekatikakitukichafu ? Hapanaawezaye. Mwnadamunikituganihataakawasafi ? huyoaliyezaliwa na mwanamke, hataakawa na haki ? ……… au awezajekuwasafialiyezaliwa na mwanamke ?"(Ay. 14:4; 15:14; 25:4). • Mariamuakiwa "amezaliwa na mwanamke”, mwenyewazaziwanadamuwakawaida, ilibidialikuwa na uchafuwetu, Mwiliwamwanadamu, ambaonayeYesuakazaliwanao,"amezaliwa na mwanamke"(Gal 4:4).
7.3 Christ's Place In God's PlanNafasiyaKristokatikampangowaMungu
Warumi1:1-4 • …….. YesuKristo Bwana wetu, aliyezaliwakatikaukoowaDaudikwajinsiyamwili; na kudhihirishwakwauwezakuwaMwanawaMungu, kwajinsiyarohoyaUtakatifu, kwaufufuowawafu’ (Rum. 1:1 -4). • HiviunaelezaMuhutasariwahistoriayaKristo: - • AliahidiwakatikaAgano la Kale - yaani, katikampangowaMungu • Aliumbwaakiwamtualiye na mwilikwakuzaliwa na bikira, akiwanimzaowaDaudi; • Kwaajiliyatabiatimilifu(“rohoyaUtakatifu”), iliyoonekanawakatiwamaishayamwiliunaopatikana na mauti. • Alifufuliwa, na tenahadharanialielezewakuwaniMwanawaMungu na mitumewaliopewakipawa cha rohoyakuhubiri.
7.4 "In the beginning was the word“ / "HapoMwanzoKulikuwakoNeno”Yohana 1: 1-3.HapomwanzokulikuwakoNeno, nayeNenoalikuwakokwaMungu, nayeNenoalikuwaMungu. HuyomwanzoalikuwakokwaMungu. Vyotevilifanyikakwahuyo"(Yn. 1: 1-3).
-Aghalabulimetafsiriwakuwa"neno”, lakini vile vilekuwani: • MaelezoKusudi • KupashahabariElimu au Mafundisho • NiaKuhutubu • HojaMethali • Habari
The Logos Became Flesh • “HAPO MWANZO"
www.biblebasicsonline.comwww.carelinks.netEmail: info@carelinks.net
Somo La 7 : Maswali • AndikaorodhambilizaunabiiuliokwenyeAgano la Kale unaomhusuYesu. • Je ! KimwiliYesualiwahikuwakokablahajazaliwa ? • Ni katikamaanaganiYesuanawezakusemwaalikuwakokablayakuzaliwakwake? • AkiwaniMalaika / AkiwanisehemuyaUtatu / AkiwaRoho / Ni katikania na kusudi la Mungu. • Ni taarifazipizakwelikumhusuMariamu ? • Alikuwamkamilifu, Mwanamkeasiye na dhambi / AlikuwaniMwanamkewakawaida / AlipatamimbayaYesukwauwezoRohoMtakatifu / KwasasaanatoamaombiyetukwaYesu. • Je ! Yesualiumbanchi ? • Yohana 1:1-3 unaielewaje ?"HapoMwanzokulikowakoneno"kwaninihaimaanishi • Kwasababuganiunadhaninimuhimukuwa na hakikakumhusuYesuendapoalikuwakokimwilikablahajazaliwa ?
STUDY 7: Questions • 1. List two Old Testament prophecies concerning Jesus. • 2. Did Jesus physically exist before his birth? • Yes / No • 3. In what sense can Jesus be said to have existed before his birth? • As an Angel • As part of a trinity • As a spirit • Only in the mind and purpose of God. • 4. Which of the following statements are true about Mary? • She was a perfect, sinless woman • She was an ordinary woman • She was made pregnant with Jesus by the Holy Spirit • She now offers our prayers to Jesus. • 5. Did Jesus create the earth? • Yes • No • 6. What do you understand by John 1:1-3 "In the beginning was the word?" • What does it not mean? • 7. Why do you think it is important to be certain about whether Jesus existed physically before his birth?