180 likes | 368 Views
18. Kaza kamba ili ziweze kushikilia mtego kwa uimara zaidi. Epuka kuacha nafasi kama hizi chini ya mtego. Usibakize majani kama haya unaposafisha eneo lako. 19. 20. Sasa weka 'kikusanyio' cha ndorobo watakaovutwa na mtego. Weka kwanza faneli ya kikusanyio kwenye wavu wa mtego.
E N D
18 Kaza kamba ili ziweze kushikilia mtego kwa uimara zaidi
Epuka kuacha nafasi kama hizi chini ya mtego Usibakize majani kama haya unaposafisha eneo lako 19
20 Sasa weka 'kikusanyio' cha ndorobo watakaovutwa na mtego
Weka kwanza faneli ya kikusanyio kwenye wavu wa mtego Wavu uwe imara kama hivi utakapoweka kikusanyio 21
23 Funga vizuri na kamba nyembamba
24 Hakikisah hakuna na matunda makubwa kama haya
26 Usitumie kamba nzito kama hizi zitafanya baadhi ya ndorobo wasiingie kwenye kikusanyio
27 Funga mfuko wa nailoni kwenye kikusanyio
28 Weka kivutio kwenye mfuko wa mtego
30 Usitege mtego chini ya miti yenye kivuli
... na hakikisha mtego haujalegea kama hivi 31
33 Hakikisha vifaa vyote umerudisha..
34 Funga kwa kutumia mojawapo ya kamba za mtego
Mtego uko tayari kutumiwa siku nyingine 35