100 likes | 171 Views
TANZANIA SEED TRADE ASSOCIATION (TASTA). KUANZISHA USHIRIKA WA MASOKO YA NAFAKA ( Formation of Grain Marketing Association) By Bob Shuma – Executive Director. YALIYOMO. Changamoto ni nini?(Problem statement) Wadao wa Muungano (Members of the Association)
E N D
TANZANIA SEED TRADE ASSOCIATION (TASTA) KUANZISHA USHIRIKA WA MASOKO YA NAFAKA (Formation of Grain Marketing Association) By Bob Shuma – Executive Director
YALIYOMO • Changamoto ni nini?(Problem statement) • Wadao wa Muungano (Members of the Association) • Jina la Muungano(Name of the Association) • Kusudi la Muungano (Mission and Vision) • Katiba (Constitution) • Shughuli za Muungano (Activities of the Association) • Sekretariati ( Identity – Secretariat) • Hitimisho – Conclusion)
Changamoto ni nini? (Problem statement) • KWA NINI UMOJA? KUIMARISHA MFUMO • UMOJA NI NGUVU – UTENGANO UDHAIFU NJIA YA UTATUZI (SOLUTION) - KUWA NA JUKWAA LA MAJADILIANO na MIPANGO (Platform/Chama) • SAUTI yenye UWEZO na UWAKILISHI (VOICE)
Wadao wa Muungano (Members of the Association) • Wadau: SERIKALI – SEKTA BINAFSI /Wakulima • NGUVU YAO (Strength) - KATIBA - SHERIA - ARIDHI na MAZAO
Jina la Muungano (Association name) • WADAU KUKUTANISHWA NA KUCHAGUA JINA LAO • Katika kuchagua jina – kuzingatia vyama kama hivyo vilivyoko nchi za jumuia mbali mbali ili kujenga uhusiano kwa manufaa ya Umojahuu PARTNERSHIP katika :- • (EAC/SADC/AU/COMMONWEALTH/EU/etc
Kusudi la Muungano (Mission and Vision)Katiba (Constitution) • Kusudi la muungano liwe wazi ili kuwa msingi na dira ya kuunda KATIBA IE • Nichama cha kufanikisha biashara ya mazao kama :mahindi,mtama,mpunga,ngano,shairi… • Ni chama chenye uwanachama (Membership) • Kinathamini biashara halali/FAIDA(Fair trade) • Kinathamini ubora wa mazao (Quality) • Kina uongozi –Bodi/Mkurugenzi/watendaji
Katiba (Constitution) • CHAMA KIJITEGEMEE KUTOKA ADA ZA UANACHAMA NA VYANZO VINGINE. • KATIBA IONYESHE VIINGILIO VYA UANACHAMA • UTARATIBU WA MIKUTANO UWEKWE WAZI • UTUNZAJI WA FEDHA NA UKAGUZI WA MAHESABU KILA MWAKA UZINGATIWE • MIKUTANO YA WANACHAMA IPANGWE
Shughuli za Umoja (Activities of the Association) • Kufanya kazi na wadau wengine kuhakikisha mazao tajwa yanazalishwa kwa tija(FARMING IS RISKY but IT PAYS) • Kuhakikisha kuna mfumo wezeshi wa kufanya biashara (Facilitatating profitable business enviroment) • Kushiriki katika kuhakikisha nchi ina chakula cha kutosheleza (Food Security & Nutrition)
Sekretariati ( Identity – Secretariat) • Chama au Muungano uwe na Makao makuu yake na Matawi katika ngazi mbali mbali. • Ofisi hizi zisichukuliwe kwenya maofisi ya Serikali bali maeneo huru kutekeleza majukumu yake usiku na mchana.
Hitimisho (Conclusion) • KAZI KUBWA YA MUUNGANO NI KUFANYA KAZI NA SERIKALI NA KUWA MZALENDO kwa manufaa ya wadau wote na nchi. • SIYO CHAMA CHA SIASA. • JUKUMU SI KUPAMBANA NA SERIKALI BALI KUFANYA KAZI KAMA PARTNERS. (not to fight the government but to lobby and engage it in dialogue)