7.44k likes | 8.24k Views
KUSUDI LA KANISA LA KRISTO DUNIANI. Azania Front Cathedral Morning Glory Tarehe 3 – 7 January, 2011 Mwl . Mgisa Mtebe 0713 497 654. KANISA LA MUNGU DUNIANI. KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA MATHAYO 16:18-19. KUSUDI LA KANISA. Mathayo 16:18-19
E N D
KUSUDI LA KANISA LA KRISTO DUNIANI Azania Front Cathedral Morning Glory Tarehe 3 – 7 January, 2011 Mwl. MgisaMtebe 0713 497 654
KANISA LA MUNGU DUNIANI KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA MATHAYO 16:18-19
KUSUDI LA KANISA Mathayo 16:18-19 Ni Kanisaliwezekumilikinakutawaladunianamazingirayake, iliwanadamuwawezekuishimaishamazurinakuwavyombovizurivyakumsifunakumwabuduMungu.
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA MATHAYO 16:18-19 18 Nawe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu, nitalijenga kanisalangu; na milango ya kuzimu, haitaweza kulishinda.
UMOJA WA KANISA LA MUNGU MATHAYO 16:18-19 19 Na mambo yoyotemtakayoyafungaduniani, yatakuwayamefungwambinguni; na mambo yoyotemtakayoyafunguaduniani, yatakuwayamefunguliwambinguni.
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA MAANA YA KANISA
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA MAANA YA KANISA NyumbayaMungu Jengo (Hekalu) Makaoya …
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Waefeso 2:22 ‘Katika Yeye (Yesu) ninyi nanyi nyote mnajengwa pamoja ili mpate kuwa makao ambayo Mungu anaishi ndani yake kwa njia ya Roho Wake’.
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA MAANA YA KANISA NyumbayaMungu Kusanyiko la Mungu (kundi la Mungu)
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Maana ya Kanisa Kiebrania; ἐκκλησία
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Maana ya Kanisa Kiebrania; ἐκκλησία ekklēsia (ek-klay-see'-ah)
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Maana ya Kanisa ekklēsia (ek-klay-see'-ah) “a calling out, religious congregation or community or assembly, of members or saints (on earth or in heaven or both)”
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Maana ya Kanisa ekklēsia (ek-klay-see'-ah) “walioitwa, kusanyiko la kidini au jamii ya watu au kusanyiko la watu wa dini au watakatifu (walio duniani, au mbinguni au kote, duniani na mbinguni)”
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA NGAZI (LEVELS) ZA KANISA KANISA LA ULIMWENGU KANISA LA KITAIFA KANISA LA MAHALI KANISA LA NYUMBANI KANISA LA MTU BINAFSI
NGAZI (LEVELS) ZA KANISA 1. KANISA LA ULIMWENGU Ufunuo 5:8-10 ‘Kwadamuyako, umemnunuliaMunguwatuwakilakabila, kilajamaa, kilataifa; naweumewafanyaUkuhaniwaKifalme’
NGAZI (LEVELS) ZA KANISA 2. KANISA LA KITAIFA Ufunuo 5:8-10 ‘Kwadamuyako, umemnunuliaMunguwatuwakilakabila, kilajamaa, kilataifa; naweumewafanyaUkuhaniwaKifalme’
NGAZI (LEVELS) ZA KANISA KANISA LA MAHALI Ufunuo 2-3 KwaKanisa la Smirna KwaKanisa la Filadefia KwaKanisa la Sardi KwaKanisa la Laodikia
KANISA LA MAHALI Ufunuo 2-3 2:1 ‘‘Kwa malaikawakanisalililokoEfesoandika… 3:7 ‘‘Kwa malaikawakanisalililokoFiladelfiaandika… 3:14 ‘‘Kwa malaika wa kanisa lililokoLaodikia andika...
NGAZI (LEVELS) ZA KANISA KANISA LA MAHALI ‘Local Church’ KwaKanisa la Yerusalem KwaKanisa la Mbezi KwaKanisa la Mwenge KwaKanisa la Kawe
NGAZI (LEVELS) ZA KANISA KANISA LA NYUMBANI Matendo 2:43-47 42 Naowakawawanadumukatikamafundishoyamitume, katikaushirika, katikakumegamkatenakatikakusali.
NGAZI (LEVELS) ZA KANISA KANISA LA NYUMBANI Matendo 2:43-47 43 Kila mtu akaingiwa na hofu ya Mungu, nayo miujiza mingi na ishara zikafanywa na mitume.
NGAZI (LEVELS) ZA KANISA KANISA LA NYUMBANI Matendo 2:43-47 44 Walioamini wote walikuwa mahali pamoja nao, walikuwa na kila kitu shirika.
NGAZI (LEVELS) ZA KANISA KANISA LA NYUMBANI Matendo 2:43-47 45 Waliuza mali zao na vitu walivyokuwa navyo, wakamgawia kila mtu kwa kadiri alivyokuwa anahitaji.
NGAZI (LEVELS) ZA KANISA KANISA LA NYUMBANI Matendo 2:43-47 46 Sikuzotekwamoyommojawalikutana … wakimegamkatenyumbakwanyumba, wakilachakulachaokwafurahanamoyomweupe,
NGAZI (LEVELS) ZA KANISA KANISA LA NYUMBANI Matendo 2:43-47 47 wakimsifuMungunakuwapendezawatuwote. Kilasiku Bwana akaliongezakanisakwa wale watuwaliokuwawakiokolewa.
KANISA LA NYUMBANI 1Wakorintho 16:19 ‘Makanisa ya Asia wanawasalimu. Akila na Prisila, pamoja na kanisa lililoko nyumbani kwao wanawasalimu katika Bwana.’
KANISA LA NYUMBANI Warumi 16:5 ‘Lisalimuni pia kanisalinalokutana nyumbani mwao. Msalimuni rafiki yangu Epaineto, aliyekuwa mtu wa kwanza kumwamini Bwana Yesu Kristo huko Asia.’
NGAZI (LEVELS) ZA KANISA KANISA LA MTU BINAFSI 1Wakorintho 6:19-20 ‘Mwili wako ni hekalu la Roho Mtakatifu; ninyi si mali yenu wenyewe, mmenunuliwa kwa damu ya thamani’
KANISA LA MTU BINAFSI 1Wakorintho 6:19-20 19 Je, hamjui ya kwamba miili yenu nihekalula Roho Mtakatifu, akaaye ndani yenu, ambaye mmepewa na Mungu? Ninyi si mali yenu wenyewe;
KANISA LA MTU BINAFSI 1Wakorintho 6:19-20 20 kwa maana mmenunuliwa kwa gharama. Kwa hiyo mtukuzeni Mungu katika miili yenu na katika roho zenu ambazo ni mali ya Mungu.
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Summary KUSUDI LA KANISA – AWALI KUTAWALA KUABUDU
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mwanzo 1:26,28 26 Tufanye mtu kwa sura yetu na kwa mfano wetu wakatawale dunia na vyote tulivyoviumba juu ya uso wa dunia.
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mwanzo 1:26-18 28 Mungu akaumba Mwanaume na Mwanamke, akawaweka katika bustani ya dunia, akawaambia, zaeni mkaongezeke na kuitawala (kuitiisha) dunia.
KUSUDI LA KANISA Ufunuo 5:9-10 9 Weweunastahilikukitwaakitabunakuzivunjalakirizake, kwasababuulichinjwana kwa damu yako ukamnunulia Munguwatukutoka katika kila kabila, kila lugha, kila jamaa na kila taifa (kanisa).
KUSUDI LA KANISA Ufunuo 5:9-10 10Nawe umewafanya hawa wawe Ufalme na Makuhani wa kumtumikia Mungu wetu, nao wanamiliki dunia.’’
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Ufunuo 5:8-10 UfalmeMakuhani KutawalaIbada
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Ndiomaanatunapokumbukakuzaliwakwa Bwana Yesuduniani, (kamaAdam wapili), tunakumbushwakwamba, alizaliwa kwanza kamaMfalmenasioKuhani, ilikurudishamamlakayaMunguduniani.
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo, kusudi la awali la Mungu ni kumwezesha mwanadamu kuitawala dunia(pamoja na Mungu) ili mwanadamu awe na maisha mazuri yatakayomwezesha kuwa chombo kizuri cha ibada.
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Zaburi 8:4-8 Mwanadamuninanihataumemwangaliahivi? UmemfanyamdogokidogotukulikoMungu, ukamvikatajiyaUtukufunaheshima, ukamtawazajuuyakazizamikonoyako, ukavitiavituvyotechiniyamiguuyake…
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Zaburi 8:4-8 Hilo neno “juu ya” = (Over All) = Mkuu = Mtawala “Mashal” = Mfalme (Kiebrania) = Mwakilishi = Mungu
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Zaburi 115:16 Mbingu ni mbingu za Bwana, bali nchi amewapa wanadamu Isaya 45:11 … kwa habari ya kazi za mikono yangu, haya niagizeni (niamuruni)
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mathayo 16:18-19 19 Kwa maana nitawapa funguo za Ufalme, na mambo mtakayoyafunga (ninyi) yatakuwa yamefungwa (mbinguni), na mambo mtakayoyafungua (ninyi) yatakuwa yamefunguliwa (mbinguni)
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mathayo 16:18-19 18 Na milango ya kuzimu haitaweza kulishinda kanisa langu nitakalolijenga (kwa mfumo huu).
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Ili kumwezesha mwanadamu kuitawala dunia pamoja na Mungu, Mungu alimuumbia mfumo wa uungu katika utu wake wa ndani, ili atende kazi duniani kwa kutumia Nguvu za Mungu. (Mwanzo 1:26-28)
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Mwanzo 1:26-18 Kwanini ni lazima Kuitawala Dunia? (kuitiisha)
Kwanini ni lazima kuitawala Dunia? 1. Ili kusababisha Matokeo
Kwanini ni lazima kuitawala Dunia? Ili kusababisha Matokeo Mwanzo 2:5 ‘Miche ya mboga haikuota ardhini kwasababu mvua ilikuwa haijanyesha na pia hakuwepo mwanandamu wa kuilima ardhi’
KwanininilazimakuitawalaDunia? • 2. • Kuna kunaupinzani • waaduishetani • (vita namapambano)
KwanininilazimakuitawalaDunia? • Kwasababukuna vita • Mathayo 16:18-19 • Ndiomaana Bwana Yesualisema ‘NitalijengaKanisalangu, walamilangoyakuzimu (nguvuzagiza) haitawezakulishindakanisalangunitakalolijenga’
VITA VYA ROHONI Kwahiyo, ni lazima tutumie mamlaka ya Mungu duniani, kwasababu, kuna vita na upinzani(mashindano), kati ya shetani na watoto wa Mungu (kanisa la Bwana Yesu).” (Mathayo 16:18)