80 likes | 288 Views
KANUNI za MUONGOZO- Muisilamu. Mtazamo wetu kwa watu:Kukubali kama Mtume alivyokubali (Surah 3:159).
E N D
KANUNI za MUONGOZO- Muisilamu Mtazamo wetu kwa watu:Kukubali kama Mtume alivyokubali (Surah 3:159)
Mtume Muhammad alisisitiza kuwa manasara wana haki ya kufuata dini yao pasina uoga.alisema, “Mimi nitakuwa mtetezi wao.kuzidisha aliandika moja ya kanuni za mwanzo kabisa iitwayo Mkataba wa Madina. Alipigania haki za wanawake katika mujtamaa wake.pia alipigania haki za mayatima,wajane na masikini.Aliwahimiza masahaba zake kukubali na kuelewa wengine hata wakati wa kushambuliwa
Khutba ya Mwisho ya Mtume Alitaja uhai na mali ya kila muisilamu kuwa amana tukufu.alimaliza desturi mbove za kushambuliana ..alieleza usimdhuru yeyote ili nawe usidhuriwe..kubukeni mtakutana na mola wenu.Ni kweli mna haki kwa wake zenu nao pia wana haki kwenu.Mwarabu hana kahi juu ya asiye kuwa muarabu vile vile asiyekuwa muarabu hana jhaki juu ya Muarabu-ila tu kwa uchaji Mungu na matendo mema”
Jukumu Letu:Kuvunja ukimwa kwa kuongea ukweli kwa upendo na hurumaSurah 2:263
Qur'an inataja kuwa Mitume Mitume wa Mungu walikuwa wazungumza ukweli kila mara wakati huo huo walizungumza kwa uaminifu na ukweli
Wale waliochukiaukweliwaMitumewa Allah walichuwachukianakuwashambulialakiniwalipokutananaukwelianakwaanawalinene au watakuwawenyekusema, “Mitumewalikizungumzaukweli.”
KANUNI ZA MUONGOZO – Waislamu • Kuvunja ukimwa kwa kuongea ukweli kwa huruma (Surah 2:263) • Kukubali kama Mtume alivyokubali (Surah 3:159) • Tunahitaji Hekima toka kwa Allah (Surah 2:269) • Sisi ni mabalozi wa Allah (Surah 6:165) • Tunasukumwa na upendo wetu kwa Allah (Surah 3:31) • Waumini ni ndugu moja (Surah 49:10) • Kumtumikia Allah kwa matendo ya upendo na huruma (Surah 2:177) • Kutetea thamani na heshima ya kila mwanadamu (Surah 30:22)