1 / 68

Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007. Kuwa chapu. Yaliyomo ya kozi. Muhtasari: Toleo jipya la Outlook Funzo la 1: Pata kujua Utepe Funzo la 2: Pata amri za kila siku Funzo la 3: Tuma na pokea viambatisho na picha.

havily
Download Presentation

Mafunzo ya Microsoft ® Office Outlook ® 2007

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. MafunzoyaMicrosoft®OfficeOutlook®2007 Kuwachapu

  2. Yaliyomoyakozi • Muhtasari:ToleojipyalaOutlook • Funzola1:PatakujuaUtepe • Funzola2:Pataamrizakilasiku • Funzola3:Tumanapokeaviambatishonapicha Kilafunzolinajumuishaorodhayakazizilizopendekezwanajozilamaswaliyajaribio.

  3. Muhtasari:ToleojipyalaOutlook Tazama!KunatoleojipyalaOutlook Muundompyanandunichachezinakusaidiakutimizavyemanakwaurahisikaziambazounafanyakilasiku.

  4. Malengoyakozi • JifahamishenaOutlook2007. • PataamrikwenyeUtepenafanyavituunavyofanyakilasiku:somanatumabaruapepe,fanyakazinamiadinamikutano,natumiawawasilianiwako. • Tumanapokeapichanaviambatisho.Hakikishakwambawapokeziwatawezakufunguamajaladayaliyoambatishwaambayoyanatumiamaumbizomapyayautoajiya2007MicrosoftOffice.

  5. Funzola1 PatakujuaUtepe

  6. PatakujuaUtepe MarayakwanzaunapoundaujumbekatikaOutlook2007(aufunguaileunayopokea),utaona Utepe. Niukandakotejuuyadirisha. Utepe Kalenda Wawasiliani Upau-wa-Kufanya Ikohapokukusaidiakufanyavitukwaurahisinahatuachache.

  7. KutambulishaUtepe Hapakunaujumbempyawabaruapepe.Utepeukojuuyadirisha. UtepeunaonekanakilawakatiunapoundaaukuharirikitukatikaOutlook. Maskani Chopeka Chaguo UmbizaMatini Kata Nakili KitabuAnwani Bandika Mchoraji Umbizo MatiniMsingi Kwa... Nk… Tuma Mada: MicrosoftilitafitikwaumakinijinsiwatuhutumiaamrikatikaOutlook. Kamamatokeoyautafiti,baadhiyaamrizaOutlooknimuhimu,naamrizinazojulikanahuangazishwanakukundishwakatikanjiaambazohuzifanyaziwerahisikupatanakutumia.

  8. MtazamowakaribuwaUtepe KukusaidiakujifunzazaidijinsiyakutumiaUtepe,hapakunamwongozokwampangowamsingi. Maskani Chopeka Chaguo UmbizaMatini Kata Nakili KitabuAnwani Bandika Mchoraji Umbizo Majina UbaoKlipu MatiniMsingi Kwa... Nk… Tuma Mada: Vichupo:Utepeunavichupotofauti,kilamojainahusishanaainamahsusizakaziunazofanyakatikaOutlook. Vikundi:Kilakichupokinavikundianuwaiambavyohuoneshavipengeehusikapamoja. Amri:Kitufechaamri,kikashachakuingizahabari,kwenyemenyu.

  9. Utepehuoneshaunachohitaji Tena,utakutananaUtepewakatiunafanyamaagizofulanikamakuundaujumbe,maingizoyakalenda,auwawasiliani. Utepehuoneshaamrizavichupovinavyofaaunachofanya. Hiyoni,vichupokwenyeUtepevitatofautianakulingananaeneolaOutlookunalofanyiakazi.

  10. Utepehuoneshaunachohitaji Pichahuoneshabaadhiyatofautihizi. UjumbemojahuoneshavichupovyaUjumbenaChaguo. MiadimpyahuoneshakichupochaMiadi. Mwasilianimpyahuoneshakichupocha Mwasiliani.

  11. Kunazaidiyaunavyofikiria Safuulalondogosehemuyajuuyakundilinamaanishakunazaidiyaunayotakakuona. KitufehikikinaitwaKizinduaKikashaOngezi. Maskani Chopeka Chaguo UmbizaMatini Kata Nakili KitabuAnwani Bandika Mchoraji Umbizo MatiniMsingi UbaoKlipu Fonti Tuma KibamboNafasi Fonti Pichainaoneshakwambakuonaorodhanzimayachaguozafonti,utabofyakishalekaribunakundilaMatiniMsingikwenyekichupochaUjumbewaujumbempyawabaruapepe.

  12. UpauzanaUfikioChapu UpauzanaUfikioChapuniupauzanamdogojuuyaUtepe. Ikohapokutengenezaamriambazounahitajinakutumianyingizilizokotayari. Maskani Chopeka Chaguo UmbizaMatini Kata Nakili KitabuAnwani Bandika Mchoraji Umbizo MatiniMsingi UbaoKlipu Kwa... Nk… Tuma Mada: NininiborakuhusuUpauzanaUfukioChapu?Nininikikohapokwakokutumia. Hiyoni,unawezaongezaamrizakounazopendakwakekwakubofya-kuliarahisi.

  13. UpauzanaUfikioChapu UtaonanakutumiaUpauzanaUfikioChapunyingikulingananaeneolaOutlookunalofanyiakazi. Maskani Chopeka Chaguo UmbizaMatini Kata Nakili KitabuAnwani Bandika Mchoraji Umbizo MatiniMsingi UbaoKlipu Kwa... Nk… Tuma Mada: Kwamfano,utanafsishajiambaounafanyakwaUpauzanaUfikioChapukwaujumbeutakaotumahautaonekanakwenyeUpauzanaUfikioChapukwaWawasiliani.

  14. Mengikuhusuchaguo KatikaOutlook2007,unasetichaguokutokakwamaeneotofauti. Kikashapokezi – Microsoft Outlook Jalada Hariri Mwoneko Nenda Zana Maagizo Saidia Ujumbe Chopeka Chaguo UmbizaMatini UndaKipengeekipyachaOutlook UjumbeMpyawaBarua UjumbewaBarua Miadi Akibisho OmbilaMkutano Funga ChaguozaKihariri Chaguozakuandikabaruapepe Ikiwaunatakakubadilimipangizoyakuandikabaruapepekwamfano,kufanyakihakikishitahajiakuachakupuuzamanenokatikaherufikubwaunafanyahivyokutokakwakikashaongezichaChaguozaKihariri.

  15. Mengikuhusuchaguo KatikaOutlook2007,unasetichaguokutokakwamaeneotofauti. Kikashapokezi – Microsoft Outlook Jalada Hariri Mwoneko Nenda Zana Maagizo Saidia Ujumbe Chopeka Chaguo UmbizaMatini UndaKipengeekipyachaOutlook UjumbeMpyawaBarua UjumbewaBarua Miadi Akibisho OmbilaMkutano Funga ChaguozaKihariri Anzakwakuundaujumbe,nakishafanyahii: BofyaKitufechaMicrosoftOffice. BofyaChaguozaKihariri.

  16. Mengikuhusuchaguo KatikaOutlook2007,unasetichaguokutokakwamaeneotofauti. Kikashapokezi – Microsoft Outlook Jalada Hariri Mwoneko Nenda Zana Maagizo Saidia Ujumbe Chopeka Chaguo UmbizaMatini UndaKipengeekipyachaOutlook UjumbeMpyawaBarua UjumbewaBarua Miadi Akibisho OmbilaMkutano Funga ChaguozaKihariri Chaguozakutumabaruapepe Unapotumaujumbewabaruapepe,unawezachaguajinsiujumbeulitumwa.UnasetichaguokutokakwavichupovinavyopatikanakwenyeUtepekwaujumbewazi.

  17. Zaidiambayonimpya:Upau-wa-Kufanya Inapatikanasehemuyamwishokuliamwadirisha,UpauwaKufanyaunaonekanawakatiwowoteunapofanyakazikatikaOutlook. Upau-wa-Kufanya Juni 2007 Pangiwa Na:Tarehe u… Charazakazimpya Leo Upauwa-Kufanyaupokukusaidiakufuatiliakazinamiadiinayokuja.

  18. Zaidiambayonimpya:Upau-wa-Kufanya Inapatikanasehemuyamwishokuliamwadirisha,UpauwaKufanyaunaonekanawakatiwowoteunapofanyakazikatikaOutlook. Upau-wa-Kufanya Juni 2007 Pangiwa Na:Tarehe u… Charazakazimpya Leo Pichainaitaelementizakechachekuu: KiabiriTerehe Miadiinayokujayakalenda Mahaliunaingizakazimpyakwakucharaza Orodhayakoyakazi

  19. Surampyayakalenda MuundowakalendakatikaOutlook2007huifanyaiwerahisikuonaunachotaka. Kusogakwaurahisi, pia. Siku Wiki Mwezi Oneysha wikiya kazi Oneyshawiki kamili TafutizaKalenda Juni04-08,2007 Jumanne Jumatano Aalhamisi Jumatatu 9 am OneshaKazikwenye:TareheUkomo Kazi Pichainaoneshabaadhiyamifano: Vitufekubwahuifanyaiwerahisikubadilikatiyamionekoyakalendayakilasiku,wiki,namwezi. VitufevyaNyumanaMbelehukufanyauendeharakakwasikuijayo,wikiijayo,namweziujayokatikakalenda.

  20. Surampyayakalenda MuundowakalendakatikaOutlook2007huifanyaiwerahisikuonaunachotaka. Kusogakwaurahisi, pia. Siku Wiki Mwezi Oneysha wikiya kazi Oneyshawiki kamili TafutizaKalenda Juni04-08,2007 Jumanne Jumatano Aalhamisi Jumatatu 9 am OneshaKazikwenye:TareheUkomo Kazi Pichainaoneshabaadhiyamifano: EneolaKazihuoneshakazizakozasasanazinazokujanahufuatiliamafanikioyakopia.

  21. Surampyakwawawasiliani KatikaOutlook2007,KadiBiasharayaElektronikihufanyawawasilianirahisikuonanakushiriki. Wawasiliani Jörgensen,Gundrun Jordan,Katie KatieJordan GundrunJörgensen KidirishachaUabiri Tupy,Richard Lund,Katie PiaLund RichardTupy BofyaWawasilianikubadilikwendakwaeneolaOutlook. UnawezatumaKadiBiasharazaElektroniki.UnawezatakakujumuishaKadiBiasharayakomwenyeweyaElektronikikamasehemuyasainiyakoyabaruapepe.

  22. Surampyakwawawasiliani Gunduakwambakatikapichahii,Kidirishacauabirikimepunguzwakuoneshazaidikatikakidirishachauabiri. Wawasiliani Jörgensen,Gundrun Jordan,Katie KatieJordan GundrunJörgensen KidirishachaUabiri Tupy,Richard Lund,Katie PiaLund RichardTupy UnawezapunguzaKidirishachaUabirikutokaeneololotelaOutlookkwakubofyakitufechaPunguzaKidirishachaUabiri.

  23. Maonikwamazoezi • UndaujumbenatazamaUtepe. • FunguaujumbenatazamaUtepekwaujumbeuliopokewa. • Setichaguozaprogramu,chaguozakiharirichabaruapepe,nachaguozaujumbewabaruapepe. • ChunguzaUpau-wa-Chakufanyanatazamajinsiyakuutanafsisha. • AngaliakaribunakalendayakonatafutawawasilianikatikamwonekowaKadiBiashara(hiari).

  24. Jaribio1,swali1 • Utepeutaonekanasawanaujumbempyawabaruapepenaujumbeuliopokewa.(Chaguajibumoja.) • Kweli. • Uwongo.

  25. Jaribio1,swali1:Jibu • Uwongo. KilichokwenyeUtepekitakuwatofautikwasababumahitajiyakoyakushughulikanaujumbempyanailiyopokewanitofauti.

  26. Jaribio1,swali2 • Umebadilikwendakwakalednanatayariunachunguza.KutengenezanafasikatikadirishalaOutlookkuiona,unawezafanyayafuatayokutokaOutlook?(Chaguajibumoja.) • Tumiavitufevilivyojuukufichatondoti. • PunguzaKidirishachauabiri. • Badilimipangizoyakoyanadhirikwakiwamba.

  27. Jaribio1,swali2:Jibu • PunguzaKidirishachauabiri. KatikatoleohililaOutlook,unawezapunguzaKidirishachaUabirikwakubofyakitufechaPunguzaKidirishachaUabiri.

  28. Funzola2 Pataamrizakilasiku

  29. Pataamrizakilasiku Outlook2007imesanidiwanaumechukuawakatikujifunzakuhusubaadhiyanjiainatofautianakutokakwamatoleoyaawali. Sasaniwakatiwakufanyakazi. ItakuwarahisikufanyamambounayohitajikatikaOutlook? Funzohililitakuoneshakwambajibulakonindiyo.

  30. Undaujumbempya NiwakatiwakuandikanakutumaujumbewakowakwanzawabaruapepekutumuaOutlook. Unahitajikujuanini? Kikashapokezi Maskani Chopeka Chaguo UmbizaMatini Mpya Kata Barua Nakili Bandika Mchoraji Umbizo UbaoKlipu MatiniMsingi Kwa... Nk… Tuma Mada: Katikaujumbempya,kwanzajijulishenaUtepe.Kichupocha Ujumbekikojuu,naamriunazowezakutumiakilawakatiunapoundanakutumaujumbe.

  31. Undaujumbempya Kutumiavichupovingine Kikashapokezi Maskani Chopeka Chaguo UmbizaMatini Mpya Kata Barua Ikiwaunatatizokupataamriaukitufe,unawezahitajikutafutakichupokingine. Nakili Bandika Mchoraji Umbizo UbaoKlipu MatiniMsingi UbaoKlipu Kwa... Nk… Tuma Mada: Kwamfano,kuchopekapichailiionekanekatikamstariulionamatiniyaujumbewako(siokiambatishotofauti),utahitajikubadilikichupochaChopeka.

  32. TumiaKitabuAnwanikuongezawapokezi TumiaKitabuAnwanikuongezamajinakwaKwa,Nk,nanyugazaNf. Maskani Chopeka Chaguo UmbizaMatini Kata Nakili KitabuAnwani Bandika Mchoraji Umbizo MatiniMsingi UbaoKlipu Kwa... Nk… Tuma Mada: UtapataamriyaKitabuAnwani kwenyekichupocha Ujumbe.

  33. OneshaaufichaugawaBcc IkiwaunapendeleaugawaujumbewabaruapepemojakwamojakatikavikashavyaKwanaNkunawezapiatakakuoneshajinsiunawezaoneshaugawaNfiliuwezekucharazamajina,pia. Ujumbe Chopeka Chaguo UmbizaMatini OneshaBcc OneshaKutoka Nyuga Kwa... Nk… Tuma Nf… Mada: PichainaoneshaamriyaOneshaBcc. Unavyoona,utapatakichupochaChaguo.

  34. Jumusihasahihiyako UngependakutumiasahihibinafsiyabaruapepemwishowaujumbewakowaOutlook? Kwa Kwa Kwa Nk… Nk… Nk… Tuma Tuma Tuma Mada: Mada: Mada: Salamu: PIALUND MkurugenziwaUuzaji ContosoLtd. 612-555-0189(w) 612-555-1090(m) Hongera! Pia Wakomwaminifu, PiaLund Sahihizabaruapepezinawezafanyakazikatikakutoahabarizawawasiliani,kufanyakitambulishochakoauwashirikawazimaramoja,nakusaidiakufungaujumbenasautiinayofaa.

  35. Jumusihasahihiyako Unawezarekebishasahihizilzizokoaukuundampya,nakusetikamasahihikaidavilevile. Ujumbe Chopeka Chaguo UmbizaMatini Biashara Kadi KitabuAnwani KaguaMajina Ambatisha Jalada Fuata Juu Kalenda Saini Jumuisha MatiniMsingi Majina Biashara Binafsi Sahihi... AnzakwakubofyakishalechiniyaamriyaSaini. Pichahuoneshakinachofanyikabaadaye: Ikiwauliundasahihihapoawali,utazionakwenyeorodhahapa. Kuundasainimpya,setikamasainikaida,aurekebishasainizilizoko,bofya,Saini.

  36. Tumiavipepeanavikumbusho Vipepeanavikumbushovinawezakukusaidiawewenawemnginekufanyamambo. Ambatisha Jalada Fuata Juu Majina Jumuisha Leo Kesho Kwa... JumaHili Nk… Tuma Mada: Ongezakumbusho SafishaKipepea Peperushakwawapokezi Kikashapokezi Kuongezakipepea,kumbusho,auzotewakatiunaundaujumbe,anzakwakubofyaFuatakatikaChaguokundilaujumbe.

  37. Tumiavipepeanavikumbusho Fuatawewemwenyewe Ambatisha Jalada Fuata Juu Majina Jumuisha Leo Ikiwautatumabaruakwamfanyikazimwenzainayosema“Nitakufuatiliakesho”. Kesho Kwa... JumaHili Nk… Tuma Mada: Ongezakumbusho SafishaKipepea Peperushakwawapokezi Kikashapokezi KuhakikishakwambaunakumbukakufanyahivyopeperushaujumbewewemwenyewekwakubofyaFuatanakishabofyaKesho. UjumbehupeperushwanakuongezakwaOrodhayacha-kufanyakatikaKazi.InaoneshapiakamakipengeekatikaUpauzanawakowaChakufanya.

  38. Tumiavipepeanavikumbusho Fuatampokezi Ambatisha Jalada Fuata Juu Majina Unawezapiaambatishakipepeachafuatiliakwawapokeziwakokwakutumiaamriiliyodhulishwaya PeperushaWapokezikatikapicha. Jumuisha Leo Kesho Kwa... JumaHili Nk… Tuma Mada: Ongezakumbusho SafishaKipepea Peperushakwawapokezi Kikashapokezi Kablayakutumaujumbe,unabainishawakatiunatakampokezikukumbushwakufuatanawewe. Kamapichainavyoonesha,ujumbeuliopokewautajumuishakipepeanaikoniyakengele.BoratumpokeziatawekaujumbekatikakikashabaruachakechaOutlook,kumbushokitaangazishwawakatiuliobaini.

  39. JibuUjumbe Baruapepesiotukuhusukutuma... ...piasiokuhusukupokeanakujibu. Ujumbe ZuiaMtumaji Jibu Jibu kwaWote Pelekakwamwingine Futa SogezaFolda UndaSheria MaagizoMengine Jibu Maagizo BaruapepeTaka Kutokakwa: Kwa: Nk: Mada: Unapojibukutokakwaujumbewa,utatumiavitufevyakundilaJibukwenyekichupochaUjumbewaUtepe. UtagunduakwambakilichokwenyeUtepekatikaujumbeuliopokewanitofautinakilichokwaujumbempyawabarua.

  40. Lo!Unahitajikukumbukaujumbe? Umetumaujumbenaumegumduatondotikiininiinamakosa. Barua FoldaZotezaBarua VipengeevyotevyaBarua Ujumbe Kikashapokezi Kikashatoezi Vitumwa ZuiaMtumaji Futa Sogeakwenye Folda UndaSheria MaagizoMengine Maagizo BaruapepeTaka Vitumwa HaririUjumbe Kutoka: TafutizaVitumwa Kwa: KumbukaUjumbe Huu Nk: ImepangwaNa:Tarehe TumatenaUjumbeHuu Mada: AkibishaViambatisho IkiwaunatumiaSevayaMicrosoftExchangekwabaruaepepeyako,unawezakukumbukaujumbeambaoumetuma. Ukichukuahatuakablayampokezikusomaujumbe,kukumbukakutakuruhusukutumatoleolililorekebishwakwamtunakuepukaaibuzinazowezekana.

  41. Lo!Unahitajikukumbukaujumbe? Umetumaujumbenaumegumduatondotikiininiinamakosa. Barua FoldaZotezaBarua VipengeevyotevyaBarua Ujumbe Kikashapokezi Kikashatoezi Vitumwa ZuiaMtumaji Futa Sogeakwenye Folda UndaSheria MaagizoMengine Maagizo BaruapepeTaka Vitumwa HaririUjumbe Kutoka: TafutizaVitumwa Kwa: KumbukaUjumbe Huu Nk: ImepangwaNa:Tarehe TumatenaUjumbeHuu Mada: AkibishaViambatisho Hilindilolakufanya: KatikaKidirishachaUabiri,bofyaVitumwakubadilikwendakwafoldahiyo. KatikafoldayaVitumwabofyamarambiliujumbeunaotakakukumbukakuufungua.

  42. Lo!Unahitajikukumbukaujumbe? Umetumaujumbenaumegumduatondotikiininiinamakosa. Barua FoldaZotezaBarua VipengeevyotevyaBarua Ujumbe Kikashapokezi Kikashatoezi Vitumwa ZuiaMtumaji Futa Sogeakwenye Folda UndaSheria MaagizoMengine Maagizo BaruapepeTaka Vitumwa HaririUjumbe Kutoka: TafutizaVitumwa Kwa: KumbukaUjumbe Huu Nk: ImepangwaNa:Tarehe TumatenaUjumbeHuu Mada: AkibishaViambatisho Hilindilolakufanya: Katika MaagizoMengine katikakundilaMaagizobofyaKumbukaUjumbeHuu.

  43. Tafutawakatinakumbukakufanyavitu Outlooksiotukuhusubaruapepe. Pianikuhusukupangawakatiwako,ambayounafanyakatikakalenda. Miadi Chopeka UmbizaMatini OneshaKama Shughulini Miadi Uratibu AkibishanaFunga AlikaWahudhuria Dakika15 Kumbusho Hakuna Onesha Maagizo Dakika0 Dakika5 Mada: Dakika10 Mahali: Dakika15 Dakika30 Muda wauanza: Saa1 Saa yakutamatisha: Saa2 Saa3 Unapoundaaukufunguakipendeekatiakkalendayako,utaonakwambaUtepeunaoneshavikundinaamrizinazofaakukusaidiakusimamiawakatiwako.

  44. Tafutawakatinakumbukakufanyavitu Unapoundaainayoyoteyaingizolakalenda,kumbushohusetiwakioto. Miadi Chopeka UmbizaMatini OneshaKama Shughulini Miadi Uratibu AkibishanaFunga AlikaWahudhuria Dakika15 Kumbusho Hakuna Onesha Maagizo Dakika0 Dakika5 Mada: Dakika10 Mahali: Dakika15 Dakika30 Muda wauanza: Saa1 Saa yakutamatisha: Saa2 Saa3 Kubadiliwakatiwakumbushokwamiadi: KwenyekichupochaMiadibofyakishalekufunguaorodhayaKumbushonateuawakati. Ukishafanyabadiliko,bofyaAkibishanaFungakwenyekushotombalikwaUtepe.

  45. Unatakakuundamkutano?Alikawengine Miadiniyakotu. Wakatiwenginewanaalikwa,undamkutano. Miadi Chopeka UmbizaMatini OneshaKama: Shughulini Miadi AkibishanaFunga AlikaWahudhuria Uratibu Dakika15 Kumbusho Mkutano Chopeka UmbizaMatini Kalenda Futa Miadi KatishaMwaliko MkutanowaKazi Uratibu Mbele Onesha Maagizo Kwa KwenyekichupochaMiadibofya AlikaWahudhuria. AKwakitufenakikashahuonekana.CharazamajinamojakwamojakatikakikashaaubofyakitufechaKwakuongezawahudhuriwakwaorodha.

  46. Unatakakuundamkutano?Alikawengine Miadiniyakotu. Wakatiwenginewanaalikwa,undamkutano. Miadi Chopeka UmbizaMatini OneshaKama: Shughulini Miadi AkibishanaFunga AlikaWahudhuria Uratibu Dakika15 Kumbusho Mkutano Chopeka UmbizaMatini Kalenda Futa Miadi KatishaMwaliko MkutanowaKazi Uratibu Mbele Onesha Maagizo Kwa Ukishaingizatondotizotezamkutano,bofya Tumakutumamwalikokwawahusikawenginewamkutano.

  47. Fanyakazinawawasiliani Unapofunguaaukuhaririwawasiliani,utatumiavitufekatikakundilaOneshakuoneshaaukufichahabarizaidikuhusuwaasiliani. Mwasiliani Chopeka UmbizaMatini Jumla Vyeti NyugaZote Tondoti Shughuli JinaKamili... Kampuni CheochaKazi: Majalada: Tovuti Baruapepe... Kwamfano,ikiwaunatakakukumbukasikuyakuzaliwaauukumbushowamwasilsiani,bofyakituefchaTondoti nakishateuatareheinayofaakaribunaSikutakuzaliwaauUkumbusho.

  48. Maonikwamazoezi • TumiaKitabuAnwaninaNf. • Hakikishatahajianasarufi. • TazamaSaini. • Ongezakipepeakufuatilia. • Jibuujumbe;kumbukaujumbe(hiari). • Ratibishamiadinasetikumbusho. • Undamwasilianimpya. • Haririkadibiashara.

  49. Jaribio2,swali1 • Kuanzaujumbempya,unatumiaUtepe.(Chaguajibumoja.) • Kweli. • Uwongo.

  50. Jaribio2,swali1:Jibu • Uwongo. Unaundaujumetuunavyofanyakilawakati.

More Related