1 / 38

MAAMUZI YAKO YANATENGENEZA MAISHA YAKO

MAAMUZI YAKO YANATENGENEZA MAISHA YAKO. Raphael Joachim Lyela Youth Kingdom Ministries Dodoma-Tanzania 0787110003 annointedkaka@yahoo.com www.gospelcorner.wordpress.com. MAONO YETU.

nascha
Download Presentation

MAAMUZI YAKO YANATENGENEZA MAISHA YAKO

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. MAAMUZI YAKO YANATENGENEZA MAISHA YAKO Raphael Joachim Lyela Youth Kingdom Ministries Dodoma-Tanzania 0787110003 annointedkaka@yahoo.com www.gospelcorner.wordpress.com

  2. MAONO YETU “KuwafanyavijanakuwawanafunziwaYesuKristokwakuwafundishaKweliyaNeno la MunguiliwapateUfahamusahihiutakaowasaidiakatikamaishayaoyasasanayajayo”

  3. JengaUfahamu • Maamuzinimsimamowandaniwamtuanaoufanyakatikamaishayakenamaishayawatuwengine • Kilamaamuziunayoyafanyayanagharamayake2 Wafalme7:1-20 • Kilaunapofanyamaamuzitambuakuwaunatengenezamaishayako

  4. MAANA YA MAAMUZI • Maamuziniuchaguziwahiariambaomtuanafanyatokakatikavitumbalimbalivilivyombeleyakekwakadriyauelewa au ufahamualionao • Maamuzinihaliyakuchukuamsimamothabitijuuyajambofulani • Ni uwezowakuchukuahatuayakufanyajambofulanibaadayakulichinguzakwaumakiniwakutosha

  5. Maishayamtu, katikahaliyakawaidahayawezikuwanjeyamaamuziyake • Usifanyemaamuzibilakuwanaufahamuwakutoshajuuyajambounalotakakulifanyiamaamuzi • Usifanyemaamuziukiwananjaasana, ukiwanafurahasana, ukiwanahuzunisana au ukiwaumeshibasana

  6. “Huwezikuyajalimashayakokamahujuithamaniyake, huwezikujuathamaniyamaishayakokamahujajitambuakwaNeno la Mungu, huwezikuwanamaishayamafanikiokamamaamuziyakohayatengenezimafanikio, hatausipoamuamaishayakoyataendeleakamakawaida”

  7. Uhaiulionaoniwamaananawathamanisana • Ukifaunapotezasifazotezakimaishanahatakimaamuzinandiomaanauwezowakowakuamuaunamaanaukiwabadounaishiduniani • Mtuyoyoteanaependamaishayakehawezikufanyamaamuzikiholelatumaanaanajuamaamuzihayoyatamgharimu • Unaoutashiuliopewakukusaidiakufanyamaamuzibilakulazimishwa, hakunamtuatakuwana cha kujiteteakatikamaishayake

  8. “Kuna uhusianokatiyamtukuijuathamaniyamaishayake (kujitambua) nauborawakiwango cha maamuzianachofanyajuuyamaishayake, kamahujajuathamaniyamaishayakonivigumusanakufanyamaamuziyanayojalimaishayako au utafanyamaamuziyakokwakiwango cha ufahamuwakojuuyathamaniyamaishayako”

  9. THAMANI YA MAISHA YAKO “Huwezikujuathamaniyakitupasipokumuulizaaliyetengeneza au anayeuza, thamaniyakituinatokananagharamailiyotumikakukitengenezakituchenyewe, Je thamaniyakoninini?”

  10. “Ukwelinikwambamaishayakoniyathamani (yanaubora au maana) hatakamahujui au hutaki, kiwango cha maishatunayoishikinategemeasanaufahamuwetujuuyauelewatulionaokuhusuthamaniyamaishayetu, kamaunajuathamaniyamaishayakohuwezikuyachezea au kumpamtunafasiyakuchezeamaishayako”

  11. Thamani…mtazamowaulimwengu • Watuhutoathamanikwakuangalia, kufahamiana, kusaidiana, upendeleo • Ni kamathamaniyaulimwenguimefungwakatikavitukamapesa

  12. MtizamowaUfalmewaMungu “MwanadamundiokiumbepekeealiumbwakwasuranamfanohalisiwaMungumwenyewe(roho) kwasababuhiyothamaniyako(au ubora au gharama) kwaMungunikubwakulikoviumbevinginenakwasababuhiyomtuawayeyoteasikudharauwalausimtengenezeemazingirayakukudharaukwaniweweniwathamanisanakwakiwango cha Mungumwenyewe”

  13. MtizamowaUfalmewaMungu “Ukitakakujuathamaniyamwanadamu au thamaniyakijanautafanyeje?”

  14. MtizamowaUfalmewaMungu Mungukasemaninijuuyako: • Mwanzo 1:26-27 • Mhubiri 12:1 • I Timothy 4:12 • Daniel 1:1-20 • Yohana 15:16 • Mwanzo 37-50 • 1Korintho 1:26-31 • 1Yohana 2:12-14

  15. JIULIZE… • Niliumbwakwaajiliyanini? Na je nalitimizalengo la Mungukuniumba? • Ni ninilengokuu la Mungukuniwekahaileo? • Je ninaishikwafaidayaMungu? • Thamaniyamaishayanguninini?

  16. Je! Maishayanguyanawasaidiawenginekupatatumainikatikawitowalioitiwa? • Je! Ni kituganikinachonizuiakuishisawanampangowaMungu? • Je ninamruhusuMungukunitumia au namzuiakwajinsinilivyo? • Je ninamudawakutoshakuutafakarimwishowangu?

  17. Munguanatakaninikwenyemaishayangu? • Je maishayanguyanamchangowowotekatikajamiikatikakuujengaufalmewaMungu. • Je! ninafanyika Baraka mbelezaMungunawatuwanaonizunguka? • Ni kituganikinaniongozakwenyemaishayangu?

  18. Je! Nina sifazakutumiwanakristo! Kama chombochenyeheshima? • Je? Ni vituganivinawezakuchocheazaidiwitouliokondaniyangu? • Na je! Ni vituganivinawezakuharibuwitonilionao? • Je nimejitoakwaMungukwajinsianavyotaka?

  19. MAMBO YA MSINGI YA KUZINGATIA UNAPOFANYA MAAMUZI 1. Hakikishaunaufahamuwakutoshanauliosahihiwajambounalotakakulifanyiamaamuzi, eg, kamaunatakakufanyabiashara au unatakakuwekezafanyautafitiwakutosha, ulizataarifanaupatehabarizitakazowezakukusaidiakufanyamaamuzihayo, usikurupukekuamuakwaharakaingawayapomaamuziyakuamuakwaharakakutegemeananamazingiranawakati

  20. 2. Unahitajihekimayakukuongozakufanyamaamuzihayonanamnayakuyasema au kuyawasilisha, unawezaukawanamaamuzimazurikabisalakiniukishindwakujua the how au namnayakuyafanya au kuyasema au kuyachukuliahatuautafanya vibaya-1 Falme 12:1-7,12-18

  21. 3. MaamuzimazuriyanahitajimudawakujipangaegRehoboamalihitajisiku 3, hiiinakupafursayakujiridhishajuumaamuzihayoikiwanipamojanakutafutaushaurinakuyaombeamaamuzihayo,

  22. 4. Iponafasiyamaombikwamaamuziyaliyonamatokeomazuri, maombikwaMungu,muombeMunguiliakusaidiekuyathibitishamaamuziyako, mkabidhi Bwana njiazakoiliayathibitishemawazoyako,kumbukamaamuziyanatokandaniyamawazo au fikrazako, Zaburi 19:14

  23. 5. Kama unaaminiMunguanayathaminimaishayakobasiujuepiakuwaanajalimaamuziyakokwahiyofahamukuwaiponafasiyaMungukatikamaamuziyako, usiingiekwenyemtegowakuamuapekeyako, ni bora usiendevitanikamahunahakikaMunguyukonawe, tambuanafasiyaNeno lake, 1 Falme 11:26-39, Mithali 16:1-4

  24. 6. Maamuzinimsimamowandani au commitment, unapofanyamaamuziusifikiriunafanyajambojepesi au rahisi, matokeoyamaamuziunayofanyayanawezakukuharibiakabisamaishayako au yakakuleteamatokeomazuriyamaishayako, usikurupuke, maamuzini vita nandiomaanaulipoamuakufanyamaamuzifulanindipoulipowajuahatamaaduizakoeg, kuokoka, kubadilitabia

  25. 7. Yapimemawazoyakovizurikablahujaamuakuamuakwaniniwazomojatulinawezakukuharibia au kukutengenezeamaisha, mfano 1Falme 12:26-30, Mwanzo 8:15-22, Nuhualimjengea Bwana madhabahunaharufuyailesadakaikamlazimuMunguakawekaahadi, unayapimajemawazoyako? Kwamaombi, soma sanaNeno la Mungu,Zaburi 19:14

  26. 8. Tambuanafasiyamashaurinawashaurinauwemakinikuchukuaushauritokakwawatukwanihawatakuwepowakatiwakulipagharamayamaamuzi, kwamfano,Rehoboamalichukuaushauriwavijananaakaharibu, Yeroboamaliwazandaniyamoyo wake naakaharibu, yule mtuwaMungualipokeaushauriwamtumishimwenzienaakaharibu, Ahabualipataushauritokakwamanabii 400 naakaendakufiavitani, 2Nyakati 18, Zaburi 14:1

  27. 9. Kama unahakikayakuwamaamuziunayochukuayamepatakibalimbelezaMungu, enendazakonaukayafanyemaanahayahitajikikao cha kuyajadiliilakamahunahakikabasimwangalifu, usijeukamsingiziaMungu, yule mtuwaMungutokaYuda

  28. 10. Unapokubalikuamuakubalipiakuwajibika, uwetayarikulipagharamayamaamuziunayoyafanyausijeukajilaumu au ukamsingiziashetani au Mungu au mtumwingine, usifanyemaamuzikwahisia,

  29. “Hatausipoamuasiokwambautayasimamishamaishayasiendelee, maishayataendeleabilakujaliumeamua au la, kwasababunimuhimukuamuavizuribasijifunzekwanahekimailiufanyemaamuzisahihinamaishayakoyatakuwa bora kwakiwango cha maamuziyako”

  30. “maamuziyaliyobakindaniyamoyowamtu au nafsinimwakeyanamipakayake, maamuziyanapatanguvuzaidi pale yanapotamkika, yanapoandikika, ”

  31. MATOKEO YA MAAMUZI • Kifonitokeo la mwishokabisa la maamuzimabaya. • Matokeoyamaamuziyakoyanatokananajinsiulivyofanyamaamuzihapomwanzo. • Busara,hekimainatakiwaitumikekablayakufanyamaamuzi

  32. Matokeohayoyanawezakuwauzima ,mauti,baraka au laana(Kumbukumbu30:19) • Uzimanabarakaunatokananakufanyamaamuzisahihi..(Kumbukumbu28 :1-14) • Mautinalaanavinatokananakufanyamaamuzimabaya.(kumbukumbu 28:15……)

  33. Nguvuutakayoitumiakatikakutatuatatizolililotokananamaamuzimabayanikubwakulikoileambayoungeitumiakatikakuamuamaamuzisahihi. Mf. Mwanafunziuliyepatamimbaleohaliatakayoipitianingumusanakuliko vile ambavyoangefanyamaamuzisahihiyakutokukubaliananauzinzi. • Maamuzimabayayatakufanyaushindwekufikiakilele cha uborawamaishayako. • KabidhimaamuziyakoambayoyanamatokeomakubwasanakatikamaishayakokwaMungu(Mith 19;21)

  34. Wakatimwinginehuwatunawashirikishamarafikizetukatikamaamuzitunayoyafanyailasivizurisanakumwambiakilamtumatatizoyako,kunabaadhiyamarafikitulionaosimarafikiwazurikwaniwanawezakukukupelekeakufanyamaamuzimabaya,kukukatishatamaankWakatimwinginehuwatunawashirikishamarafikizetukatikamaamuzitunayoyafanyailasivizurisanakumwambiakilamtumatatizoyako,kunabaadhiyamarafikitulionaosimarafikiwazurikwaniwanawezakukukupelekeakufanyamaamuzimabaya,kukukatishatamaank

  35. AMANI YA KRISTO AmaniyaKristoinasaidiaKukuonyeshauamuzimbaya au uamuziuliohatarikwakonapiakukuonyeshanakukuongozakatikauamuziambaounamanufaakwakonakwawengine

  36. Kolosai 3:15-16 “Na amaniyaKristoiamuemioyonimwenu; ndiyomliyoitiwakatikamwilimmoja; tenaiweniwatuwashukrani. Na neno la Kristonalikaekwawingindaniyenukatikahekimayote, mkifundishananakuonyanakwazaburi, nanyimbo, natenzizarohoni; hukumkimwimbiaMungukwaneemamioyonimwenu”

  37. USHAURI WA HEKIMA • Ili kufanyamaamuzi ma mazurinayanayomtukuzaMungunimuhimusanakuanzisha, kujenganakuboreshauhusianowakonaMungukupitiakwadarajayaaniYesuKristo, usiwekemipakakwaMungu • God is interested in your decisions because He is interested with your life and so never limit or put God aside in whatever you do

  38. “Neemaya Bwana wetuYesuKristona Upendo waMungu Baba naUshirikawaRohoMtakatifuukawahifadhinafsizenukuanziasasanahatamilele, mkaiendeenjiaya Bwana MunguwenusikuzotezaujanawenunamkumbukeniMuumbawenusikuzaujanawenunamtuawayeyoteasikudharaukwasababuwewenikijanamdogo” Amen

More Related