190 likes | 976 Views
KISWAHILI TEACHING METHODS ED 204. MBINU ZA KUFUNDISHA KUSOMA NA KUANDIKA. Nini kusoma ?. Ni uwezo wa kuelewa maana maandishi au maumbo yaliyoandikwa . Msomaji anatumia maumbo na kugundua taarifa katika kumbukumbu zake na kutumia taarifa hizi kujenga tafsiri ya ujumbe wa mwandishi .
E N D
KISWAHILI TEACHING METHODS ED 204 MBINU ZA KUFUNDISHA KUSOMA NA KUANDIKA
Ninikusoma? • Ni uwezowakuelewamaanamaandishi au maumboyaliyoandikwa. Msomajianatumiamaumbonakugunduataarifakatikakumbukumbuzakenakutumiataarifahizikujengatafsiriyaujumbewamwandishi. • (Mitchell 1982:1 katika Clapham Caroline,1993) • Usomajiunahusishwana process yakutambuamaumbonakuyapatiamaana/kuyafahamu • Kunahusishakuonakutamkanakupatamaana. (linear process) • Inahusishaakilinamwili(metal and physical activity)
Umuhimuwakusoma • Ni muhimukujifunzakusomakwasababukunapelekeauwezowakusomakwaharakanakwausahihi. • kusomakiusahihikunapelekeakupatataarifazauhakikakinyumechakekusomakimakosakunapelekeakupatataarifazisizosahihi. • Kusomaharakaharakakunaharakishakupatataarifanakidogokidogokunacheleweshakupatataarifa.
Ainazakusomakatikakufundisha • kusomakwakufahamu (lengonikuelewaujumbeunaokusudiwakatikahabari) • Kusomakwamazoezi (lengonikumpamwanafunzimazoeziyakusoma, uwezowakusomabilayakudodosanakwakuzingatiavituo)
KUSOMA KWA KUFAHAMU • ZIPO HATUA TATU ZA UFUNDISHAJI KUSOMA • Kablayakusoma (pre -reading) • Wakatiwakusoma (while reading) • Baadayakusoma (after reading)
Kablayakusoma • Kablayakusomahabarialiyoikusudiamwalimukwawanafunzi, mwalimuanatakiwaawaulizewanafunzimaswaliyajumlajuuyamadakwakuwawekatayarijuuyakinachokuja, nakuangaliamaarifayaomakongwekwaajiliyakuyaunganishanamaarifamapya. • Katikahatuahiipiamwalimuanawezakutumiapichainayohusiananamaudhuiyahabarinakuwaulizamaswaliwanafunzikuhusupichahio.
Inaend. • Lengonikuwajengeamaarifawanafunzijuuyamaudhuiyahabari. • Katikahatuahiimwalimuanawezakuulizamaswaliyanayohitajijawabuzamojakwamoja • Hikininini? Anafanyanini? Au yakuwatakawanafunziwafikirimf. unafikirininikuhusupichahii, ninimaanaya... faida...., unafikirininikinawezakufanywaili....
Wakatiwakusoma • Hapamwalimuanawezakusomahabarikwasautimaramojatunabaadaekuwaachiawanafunziwasomewenyewekimyakimya( lengonikusomakwakufahamu , hivyohaipendelewikutoasauti) • Misamiatiiweimeshafafanuliwakablayahatuayakuanzakusomanaitolewemaanakwamahitajiyahabaritu. • Manenomapyayasizidimatatukwawanafunziwadogonasitakwawanafunziwakubwa
inaend • Katikahatuahiimwalimuawaulizewanafunzimaswaliyanayopimaufahamuwaowahabari • Maswaliyaanzekwakuangaliaufahamuwakilaaya. Mf ayaya kwanza inazungumzianini,wahusikagani, vitu,ganisehemu, nk (skanningquetions)
Baadayakusoma • Mwalimuaulizemaswaliyatakayotofautiananayamwanzo mf wamaswaliyanayohitajikufikiri, kuchambua, kutoamawazo, nk. • Mf unafikirikwaninialifanya..., kamaweweungefanyanini? Ungetoauamuzigani, unawashaurininiwatuwainahii...,unahisikwaniniserikaliilitoauamuzihuu ule...unafikirimwandishiwahabarihiiamekusudianini..nk (skimming questions)
Fikirianimaswaliganiunawezakuwaulizawanafunzikablayakuwapahabarihiikuisoma, au kuwasomea? MVUA KUBWA • Sikumojawakatiwamasika, baadayamvuakunyesha, sisisotetulikuwatukifanyakazikamakawaida. Mara tulisikiangurumoyakutishakutokaupandewamtiwetu. Tulishtukanakutazamana. Mara tulionamitimirefuiliyokuwakaribunasiikiangukammojammojakamamigombailiyoshindananaupepokwamudamrefu. Tulipigwanabumbuazi! • Katikapatashikahiyo, tulijikutatumefikamtoni. Loo! Mtoulikuwajito. Majiyaliyojaamatopeyalikuwayanakwendakwakasimithiliyaumeme. Yalichukuakilakitukilichokuwanjianimwake. Mitiminenesananamirefunayoikang’olewakwanguvuzamaji. Majabalimakubwayakaviringishwanakutupiliwambali. • Baadayahayoyotendipotulitanabahikuwatulikuwatumejitumbukizakatikahatari. Tulikimbiaharakanakuruditulikokuwamwanzoni. Hiiilikuwagharikaambayohatukujuachanzochake.
MBINU ZA KUFUNDISHA KUANDIKA • Kuandikanistadimuhimusanakatikastadizalugha. • Uandishiunampafursamwanafunziyakutumiastadimbalimbalializojifunza mf katikakutumiamisamiati, sarufi, taratíbuzauandishink • Unamwezeshamwanafunzikutumiaakilikatikakufikirinakupangahoja. • Hivyo, uwezowakuandikaunatambulishauwezowalughaalionaomwanafunzikatikakujielezanakueleweka.
Uandishiunawezakuwawa: • Ufunuo (niuandishiunaozungumziataarifazaukwelimf,jografia, historia,sayansi, lugha, nkn) • Ubunifu (niubunifuwatukio au jamboambalosi la kwelinakulifanyalionekane la kwelikwanamnayamatumiziyalughanaufundimwengine mf kazizafasihi) • Ushawishi ( niuandishiwakumvutiamsomaji mf barua, risala)
inaend • Mwalimuanawezakutumiambinuyavielelezokuwasaidiawanafunzikupatauwezowakuandika. • Vielelezovinawezakuwamfanowabarua, hotuba, insha, nk. • piauandishiunawezakufundiswakwakuzingatiakanunizakituamachokinafundishwamfanobaruarisala, insha. nk. • Mwalimukwakusaidiananawanafunzianawezakuwaulizamaswalijuuyamuundowauandishifulaninabaadaekuandikaubaoni. • Inategemewawanafunziwaonemuundohuoubaonibaadayamajadilianonamaswali.
mfano Anuani Tarehe Maamkizi (babampendwa) Salaamu (Nategemeaupo.... Taarifa (lengo la baruahiini... Kifungio ( nisalimie... Jina la mwandishi(mwanaompendwa...
Inaend. • Wanafunziwazionekanuniwaziwaziubaoninamfanowamatumiziyakanunihizo. • Mbinunyengineyakufundishauandishiniyakutumiamazingira • Hapamwanafunzianapewamazingirayakuandikakazinahivyokumfanyaagunduesheriamwenyewenakutengenezakielelezomwenyewe. • Mfanounawezakumpamazingirakuandikabaruayakuombakazimwambieyeyeninanianaombakwanani, anaombanini, anasifagani, n.k. • Au aandikehotubayeyeninani, anahutubianani, nini, anategemeanini. nk • Mbinuhiiinapendekezwazaidikwawanafunziwakubwa.
Inaend. • Mbinuyoyoteitakayotumikakuwenamudawawanafunzikufanyamazoeziyakuandikadarasani. • Wanafunziwapewekazinyenginejuuyaainayautungajiwaliousomanawaandikedarasani • Wanawezakuandikakwavikundi , au kilakikundinaayayake • baadaekazihizozisomwenakusahihishwakwapamojadarasani