180 likes | 984 Views
KISWAHILI TEACHING METHODS ED 204. AZIMIO LA KAZI. Nini azimio la kazi. Ni buku maalum la mwalimu ambalo linaonesha namna mada mbali mbali kuu kutoka katika muhtasari zilivyovunjwa na namna zitakavyosomeshwa.
E N D
KISWAHILI TEACHING METHODSED 204 AZIMIO LA KAZI
Niniazimio la kazi • Ni buku maalum la mwalimu ambalo linaonesha namna mada mbali mbali kuu kutoka katika muhtasari zilivyovunjwa na namna zitakavyosomeshwa. • Linaonyesha mada ndogo ndogo vipi zitasomeshwa, malengo gani yanatakiwa kufikiwa kwa mada hizo,vipindi vingapi vitatumika, rejea gani na vifaa gani vya kufundishia vitatumika. • Ni buku linalovunja mada kuu na kuonesha vipi zitasomeshwa kwa wiki au muhula.
Mwanzomwaazimio la kaziyajitokezeyafuatayo: • muhula, • idadi ya wiki • tarehe inayoanzia na ya kumalizia muhula • Darasa • somo
Katikajadweli la azimio la kazi • Wiki na tarehe • Mada • Mada ndogo
Inaend. • Malengo (yaelezwekwauwazinayaoneshekitendo/vitendoambavyomwanafunzianatarajiwakuvifikiakwakusomeshwamadahiyo, viwenivitendoambavyovinapimikamfanokusoma, kuandika, kutunga, kueleza, kutaja, kuchambua, nk, siokujua, kuelewa). • Vitendo (nivitendovinavyooneshawanafunziwatafanyanini, navipiwatashirikishwakatikasomo). • Idadiyavipindikwakilasomo (mwalimuaandikeatatumiavipindivingapikwamadahiyo). • Rejeanavifaavyakufundishia. (kituchochoteambachokitamsaidiamwanafunzikatikakujifunza, vikiwemovitabunavifaavyengine). • Maelezo (mwalimuaelezeikiwasomolilisomeshwa au halikusomeshwa,ikiwahalikusomeshwanikwanini, nalinilitasomeshwa).
Muundowazimio la kazi • Muhula: wa kwanza • Darasa: kidato cha kwanza • Idadi ya wiki:4 • 28TH MARCH-22ND APRIL, 2011 • Somo: Kiswahili
Mjadala • Kwa kuzingatia mambo yanayojitokeza katika azimio la kazi unahisi kuna umuhimu gani kuwepo azimio la kazi kwa mwalimu na kwa zoezi zima la ufundishaji?
Andalio la somo • Nini andalio la somo?
Inaend. • Ni jumla ya matayarisho anayoyafanya mwalimu kwa ajili ya kufundisha. • Ni matayarisho yanayoonesha hatua kwa hatua ya namna mwalimu atakavyolisomesha somo lake, ikiwemo malengo mahsusi anayotarajia wanafunzi kuyafikia, mbinu atakazotumia, namna atakavyotathmini na kazi atakayowapa wanafunzi kupima ufikiwaji wa malengo.
Mambo muhimuyakuzingatiakatikautayarishajiwaandalio la somo • Unafikiri ni mambo gani ya lazima kujitokeza katika utayarishaji wa andalio la somo?
Kuna taratibunyinginatofautikuhusunamnayakuandikaandalio la kazilakini mambo muhimuyanayotakiwayawemoni: • Mada ndogo • Malengo mahsusi • Utangulizi • Vifaa vya kufundishia • Hatua za usomeshaji pamoja na vitendo atakavyofanya mwalimu na wanafunzi • Tathmini • Kazi • Kujisahihisha.
mjadala • Kwa kuzingatia mambo yanayojitokeza katika andalio la somo unahisi kuna umuhimu gani kuwepo andalio la somo kwa mwalimu na kwa zoezi zima la ufundishaji?