1 / 7

KISWAHILI TEACHING METHODS

UFUNDISHAJI WA MSAMIATI. KISWAHILI TEACHING METHODS. Msamiati unajumuisha maneno katika maandishi au mazungumzo . Kuelewa msamiati ni njia moja ya kuendeleza kiwango cha lugha , ni sehemu ya ukuzaji wa lugha .

price-grant
Download Presentation

KISWAHILI TEACHING METHODS

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. UFUNDISHAJI WA MSAMIATI KISWAHILI TEACHING METHODS

  2. Msamiatiunajumuishamanenokatikamaandishi au mazungumzo. • Kuelewamsamiatininjiamojayakuendelezakiwango cha lugha, nisehemuyaukuzajiwalugha. • Ni kipengele cha lughakinachopelekeakukuzauwezowakuzungumza, kuandikanakusomakwaufasaha. • Ufundishajiwamsamiatiunategemeasanastadiyakusomakwaufahamu. • Katikaufundishajiwamsamiatiinazingatiwauwezowakutambuamaumboyamaandishinakupatamaanayake. • Lengokuu la kufundishamsamiatinikupatamaanayakenakutumiamaanahiyokatikamazingirambalimbali. Ninimaanayamsamiati

  3. Kupatamaanayanenokufuatanananenolilivyotumiwakatikasentensi au kifungukilichosomwa. • Kuangaliamaanayanenolilisomwakatikamazingiramenginembalimbali (nenomojalinawezakuwanamaanazaidiyamoja) • Maanayanenoinawezakutokananamuundo wake. Hivyokuchunguza au kuchambuamuundowanenonimuhimu. (kunabaadhiyamanenoyameundwakwakuambatanishamanenomawili mf mwanahewa, nyamafu,…nk) NJIA MBALI MBALI ZA KUPATA MAANA YA MSAMIATI

  4. Inaend. • Njiayamuambatano au kujirudiarudia mf polepole, barabara, chezacheza, nk • Uchambuziwashina la neno mf kata, katika, katisha, kateni, katwa,… • Kutumiapicha,kituhalisi, kuigiza, kuangaliakatikakamusi, kupataufafanuzi, • Kwakujuakinyume cha neno • Manenoyanayotokananalughayakigeni.

  5. Wanafunziwaonemsamiatiutakaofundishwakwakuorodheshwa au kwakusomasentensi au vifunguvyahabarivyenyemsamiatihuo. ( lengonikutambuamanenohayonakuonakiasiambachowanafunziwanayafahamu) • Kupatamaanayamanenokutokanananjiambalimbaliambazozinafaakwamazingirayawakatihuo.(unawezakutumianjiazaidiyamoja mf, kinyume, ufafanuzi, nkmfanoneno: ubora, ukakamavu, nk. • Kutoamifanokudhihirishamaanailiyopatikanapamojanamatumizimengineyamanenohayo . • Mazoezimbalimbaliyakupimauelewaji wake. Kuulizamaswali, kuwapasentensinyenginekuonawameelewavipi,nk. NAMNA YA KUFUNDISHA

  6. Mazoeziyakufundishamsamiatiuliomokatikahabariifuatayo Inaend.

  7. Sikumojawakatiwamasika, baadayamvuakunyesha, sisisotetulikuwatukifanyakazikamakawaida. Mara tulisikiangurumoyakutishakutokaupandewamtiwetu. Tulishtukanakutazamana. Mara tulionamitimirefuiliyokuwakaribunasiikiangukammojammojakamamigombailiyoshindananaupepokwamudamrefu. Tulipigwanabumbuazi! Katikapatashikahiyo, tulijikutatumefikamtoni. Loo! Mtoulikuwajito. Majiyaliyojaamatopeyalikuwayanakwendakwakasimithiliyaumeme. Yalichukuakilakitukilichokuwanjianimwake. Mitiminenesananamirefunayoikang’olewakwanguvuzamaji. Majabalimakubwayakaviringishwanakutupiliwambali. Baadayahayoyotendipotulitanabahikuwatulikuwatumejitumbukizakatikahatari. Tulikimbiaharakanakuruditulikokuwamwanzoni. Hiiilikuwagharikaambayohatukujuachanzochake. (Kutoka, Kiswahili 1, Kidato cha Kwanza,TaasisiyaElimu, Oxford University Press, Dar Es Salaam, 1996, uk 48.) MVUA KUBWA

More Related