170 likes | 364 Views
NAMNA YA KUTEGA MTEGO WA NDOROBO AINA YA EPSILON. 1. 2. Kwanza: Chagua sehemu ya kutega mtego sehemu ilivyo na uwazi ili mtego uonekane kwa urahisi. Safisha eneo la kutega mtego wako kwa kuondoa vichaka na nyasi ili mtego uonekana kwa urahisi. 3. 4. Fungua mtego taratibu,
E N D
NAMNA YA KUTEGA MTEGO WA NDOROBO AINA YA EPSILON 1.
2 Kwanza: Chagua sehemu ya kutega mtego sehemu ilivyo na uwazi ili mtego uonekane kwa urahisi
Safisha eneo la kutega mtego wako kwa kuondoa vichaka na nyasi ili mtego uonekana kwa urahisi 3
4 Fungua mtego taratibu, vifaa vyote vinatakiwa viwe ndani....
5 Hakikisah vifaa vyote vimo - kama inavyoonekana hapa
Vilevile utahitaji makopo ya kufanya ndorobo wasitoke (Kikusanyio). 6
Vile vile unahitaji nyundo ama kitu chochote kinachoweza kutumika kugongea mambo za mtego 7
8 Kuna aina tatu za fimbo za mtego
Fimbo tatu ndefu huwekwa pembeni kwenye kona za mtego 9
10 Fimbo yenye ubapa mwishoni iwekwe kwenye kona ya mwisho ya mtego
11 Kwenye 'Mlango' wa mtego kuna mshono wenye tundu ndogo
Ingiza fimbo fupi kuliko zote kwenye tundu hilo 12
Jaribu upepo unaelekea upande gani kwa kupeperusha majani makavu 14
15 Pitisha kamba za mtego kwenye mshono wa ngozi kwenye kila kona za mtego
Weka mtego, kiasi kwamba 'mlango' uerekee upepo unakokwenda 16
Pigilia mambo za mtego chini ili kufanya kamba zivute kila kona ya mtego 17