100 likes | 292 Views
Namna ya kupandikiza kitambaa cha kuua ndorobo. 1. 2. Chagua eneo ambalo kitambaa kitaonekana toka pande zote. 3. Fyeka majani na kuondoa vichaka vyote. 4. Eneo lililo chaguliwa na kufyekwa vizuri. 5. Kata fito 2 nene zilizonyooka. 6. Pungua urefu wa fito kufikia mita moja na nusu.
E N D
2 Chagua eneo ambalo kitambaa kitaonekana toka pande zote
3 Fyeka majani na kuondoa vichaka vyote
4 Eneo lililo chaguliwa na kufyekwa vizuri.
5 Kata fito 2 nene zilizonyooka
6 Pungua urefu wa fito kufikia mita moja na nusu
Hakikisha vitu hivi vyote vipo... Fito Vivutio Lebo Waya Kitambaa cha kuua ndorobo Vifaa 7
Jaribu uelekeo wa upepo kwa kurusha majani makavu Pandikiza kitambaa cha kuua ndorobo kuelekea upepo unakokwenda 8
10 Weka alama kwenye sehemu za kuchimba mashimo