1 / 12

S HETANI NA WASHIRIKA WAKE

S HETANI NA WASHIRIKA WAKE. Somo la 9 kwa ajili ya Machi 2, 2019.

careyn
Download Presentation

S HETANI NA WASHIRIKA WAKE

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. SHETANI NA WASHIRIKA WAKE Somo la 9 kwaajiliyaMachi 2, 2019

  2. “Jokaakamkasirikiayulemwanamke, akaendazakeafanye vita juu ya wazao wake waliosalia, wazishikaoamri za Mungu, na kuwa na ushuhuda wa Yesu; nayeakasimama juu ya mchanga wa bahari.” (Ufunuo 12:17, SUV)

  3. Joka ameonyesha chuki yake yote kwa masalia. Halafu anasimama juu ya mchanga wa bahari. Katika Ufunuo 13, mkakati wa Shetani wa kushambulia kanisa la Mungu umeonyeshwa kwa Yohana, kutoka wakati wake hadi pambano la mwisho dhidi ya masalia. Joka anatumia nguvu tatu za kisiasa/kidini kubeba mpango wake.

  4. MNYAMA KUTOKA BAHARINI UFUNUO SIMBA DUBU CHUI MNYAMA MWENYE PEMBE 10 DANIELI “Na yulemnyamaniliyemwonaalikuwamfanowachui, namiguuyakeilikuwakamamiguuyadubu, nakinywachakekamakinywa cha simba, yulejokaakampanguvuzakenakitichake cha enzinauwezamwingi”(Ufunuo 13:2) MnyamaanaonekanambeleyaYohana. Ni mchanganyikowawanyamawannewaDanieli 7. Danielialiishikatikakipindi cha simba (Babeli). Yohanaalikuwaakiishikatikakipindi cha mnyamawanne (Rumikatikaawamumbili: KisiasanaKidini). Ndotoimelengakatikakaziyakewakatiwamiezi 42 (katiya 538 BC na 1798 BC), hivyohuyumnyamaniupapanajukumu lake kamanguvuyakidiniyamauaji. Amepokeakitichake cha enzi—mjiwenyemilimasaba (angaliaUfunuo 17:9)—nanguvuyakekutokakwaJoka.

  5. MIEZI 42 YA MAMLAKA “Nayeakapewakinywa cha kunenamanenomakuu, yamakufuru. Akapewauwezowakufanyakaziyakemieziarobaininamiwili.”(Ufunuo13:5) Ni linimiezi 42, jeraha la mautinakuponakwakevilitokea? 1,260 siku/miaka Jeraha la mauti Kuponakwajeraha

  6. MIEZI 42 YA MAMLAKA “Nayeakapewakinywa cha kunenamanenomakuu, yamakufuru. Akapewauwezowakufanyakaziyakemieziarobaininamiwili.”(Ufunuo13:5) Danieli 7:24-25 Ufunuo 13:5-7 • ZilePembe 10 niwafalme 10 ambaowatatokakatikaufalmehuu. Na mwingineataondokabaadayahao; nayeatakuwambalinahaowa kwanza, nayeatawashushawafalmewatatu • Nayeakapewakinywa cha kunenamanenomakuunayamakufuru • Nayeakapewauwezawakufanyakaziyakemiezi 42 • Nayeatanenamanenokinyumechakealiyejuu • AkafunuakinywachakeamtukaneMungu, nakulitukanajina lake, namaskaniyake, nahaowakaaombinguni • Nayeatawadhoofishawatakatifu wake aliyejuu • Nayeataazimukubadilimajiranasheria • Tenaakapewakufanya vita nawatakatifunakuwashinda • Na watakatifuwatatiwamikononimwakekwawakati, nanyakatimbili, nanusuwakati • Akapewauwezojuuyakilakabilanajamaanalughanataifa

  7. MIEZI 42 YA MAMLAKA “AkafunuakinywachakeamtukaneMungu, nakulitukanajina lake, namaskaniyake, naowakaaombinguni.”(Ufunuo 13:6) TunapoilinganishaUfunuo 13:5-7 kwa Daniel 7:24-25, tunahitimishakuwamnyamaananenakuhusukubadilisheriailikuruhusu: (1) kuabudusanamu; na (2) kubadilisikuyaibada, kutokaSabatokwendaJumapili. KufurudhidiyaMunguniManenokinyumechakealiyejuu. HiyoinahusukubadilishahudumayaYesuyaMaombezikatikaHekalu la Mbinguninakuwayauombeziwakibinadamu, nakubadilikafaramojanayapekeeyaYesukwakafarazilezilezakilasiku (Waebrania 10:10-12). Wale waliopingawaliuawakikatili. Nguvuyakeyoteitarejeshwaupya, naulimwenguutamwabudutena.

  8. “Kishanikaonamnyamamwingine, akipandajuukutokakatikanchi; nayealikuwanapembembilimfanowaMwana-Kondoo, akanenakamajoka.”(Ufunuo 13:11) Tunawezakumtambuamnyamawapilikwatabiazinazofuata: Alitokeanchikavu, sehemuisiyokaliwanawatu. Ana mfanowaMwana-Kondoolakiniananenakamajoka. Ni taifa la amanimwanzoni, lakinilinatendakwahila. Anapewauwezobaadayajeraha la mauti la mnyamawa kwanza (1798 BC), nabado Ana mamlakabaadayakupona. Nayeafanyaisharakubwa. MNYAMA KUTOKA NCHI KAVU TaifapekeekwasasalinaloshabihiananamaelezohayaniMarekani.

  9. ISHARA KUU “Nayeatumiauwezowotewamnyamayulewa kwanza mbeleyake. Nayeaifanyadunianawotewakaaondaniyakewamsujudiemnyamawa kwanza, ambayejeraha lake la mautililipona.”(Ufunuo 13:12) Jokaalimpauwezamnyamakutokabaharini. Uwezahuohuounatumiwanamnyamahuyuwapili. Ndiyomaanaananenakamajoka. Marekanidaimahusikianakushauriwakatiwamigogoroyakidunia, kamaUpapaulivyokuwawakatiwa Zama za Kati. MawazonaMatendoyakehuathiriulimwengumzima. Uprotestantiulioasi—nimfanowaMarekani—atafanyamiujiza, akijidaikufanyayaliyomapenziyaMungu. Hiiitatikisadhamirinakuwaongozawatukuupokeauwezowamnyamawa kwanza (Upapa).

  10. SANAMU YA MNYAMA “Nayeawakosesha wale wakaaojuuyanchi, kwaisharazilealizopewakuzifanyambeleyahuyomnyama, akiwaambiawakaaojuuyanchikumfanyiasanamuyulemnyama, aliyekuwanajeraha la upanganayeakaaishi.”(Ufunuo 13:14) Wakatiulimwenguwoteutakapomwangaliamnyamawapili, atapendekezakumfanyiasanamumnyamawa kwanza. HiiniinahusishakutengenezamashirikayaKisiasanaKidiniambayoyanatumianguvuyakiraiakulazimishamaandikoyadini, kamaUpapaulivyofanyawakatiwa Zama za Giza. “Pale makanisakiongoziyaMarekani, yatakapounganajuuyamafundishowanayoaminikwapamoja, yatashawishitaifakulazimishatangazolaonakuendelezataasisizao, ndipoUprotestantiwaMarekaniutakuwaumefanyasanamuyauongoziwaRumi.” (E.G.W., GC 444).

  11. CHAPA YA MNYAMA “ Akafunua kinywa chake amtukane Mungu, na kulitukana jina lake, na maskani yake, nao wakaao mbinguni.”(Ufunuo 13:16) Chapa ya mnyama siyo kama kibanzi, njia au uataratibu fulani wa siri wa kuongoza watu. Ni suala la ibada. Ni aidha kukubali sheria ya Mungu au sheria ya Wanadamu. Ni nembo tofautishi inayowatenganisha watu katika makundi mawili mapema kabla ya marejeo ya pili ya Yesu. Ni uamuzi unaopaswa kuufanya, kwa sababu wokovu wako unategemea ni nani unaye mwabudu na kwanini. Katika Biblia, ni Usawa wa umoja katika tabia. Kwahiyo, 144,000 wanatiwa muhuri kwa tabia —jina—la Mungu (Ufu. 14:1), na wanaobaki wametiwa muhuri kwa tabia ya mnyama . Baadhi ya watu wanapokea chapa kwa maslahi tu (katika mkono wa kuume). • UNAPOKEA TABIA YA UNAYEMWABUDU

  12. “Ikiwa nuru ya ukweli imewasilishwa kwako, ikifunua Sabato ya amri ya nne, na ikionesha kuwa hakuna msingi wowote wa neno la Mungu kwa utunzaji wa Jumapili, na bado ukaendelea kushikamana na Sabato ya uongo, ukikataa kuitunza Sabato ambayo Mungu anaiita ‘Siku yangu takatifu,’ unapokea chapa ya mnyama. Ni lini hii inatokea? Ni pale unapotii tangazo linalokuzuia kufanya kazi siku ya Jumapili na kumwabudu Mungu, huku ukijua kwamba hakuna neno katika Biblia linaloionesha Jumapili kuwa tofauti na siku nyingine za kazi, unaridhia kupokea chapa ya mnyama, na unakataa muhuri wa Mungu.” E.G.W. (SDA Bible Commentary, onRevelation 13:16-17)

More Related