110 likes | 263 Views
Ondoa Kitambaa na kishachimba mashimo kwa ajili ya fito. 11. 12. Pachika fito kwenye mashimo, hakikisha zimesimama imara. 13. Tumia kamba kufunga kitambaa kwenye fito. 14. Kishafunga kamba za juu za kitambaa kwenye fito. Hakikisha kitambaa hikijajuzungusha kwenye fito. Kama hivi.
E N D
Ondoa Kitambaa na kishachimba mashimo kwa ajili ya fito 11
12 Pachika fito kwenye mashimo, hakikisha zimesimama imara
13 Tumia kamba kufunga kitambaa kwenye fito
14 Kishafunga kamba za juu za kitambaa kwenye fito
Hakikisha kitambaa hikijajuzungusha kwenye fito Kama hivi na SIYO hivi J L 15
16 KAMA HIVI......
17 Hakikisha tundu dogo la chupa liko wazi Funga chupa yenye kivutio cha 'acetone' kwenye fito
Weka pakiti ya kuvutio kwenye mfuko wa kitambaa 18
19 Nyuivyizia dawa ya kuua ndorobo katika sehemu nyeusi ya kitambaa mpaka ilowe
20 Weka lebo, chukua rekodi zote
21 Kitambaa hiki kina uhalali wa kuuwa.... Ndorobo!!