3.79k likes | 4.51k Views
NGUVU YA UPENDO ‘ Matokeo ya Kukua katika Uhusiano na Mungu na Kufanyika Mwana. ’. Mwl. Mgisa Mtebe +255 – 713 – 497 – 654 www.mgisamtebe.org. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO. Waefeso 4:11-15
E N D
NGUVU YA UPENDO‘Matokeo ya Kukua katika Uhusiano na Mungu na Kufanyika Mwana.’ Mwl. Mgisa Mtebe +255 – 713 – 497 – 654 www.mgisamtebe.org
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Waefeso 4:11-15 15 Lakini tuishike kweli katika upendo na kukua(katika upendo)hata tumfikie yeye katika yote, yeye aliye kichwa, yaani Kristo Yesu.
NGUVU YA UPENDO UpendowaMungu Yohana 3:16 Yohana 14:23,21
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Tafakari Neno Upendo katika mistari ifuatayo; Yohana Yohana 3:16 14:21,23
AINA ZA UPENDO Yyoh 3:16 ; Yoh 14:23,21 Upendo wa Mungu unaotajwa katika Yoh 3:16 ni tofauti na Upendo wa Mungu unaotajwa ktk Yoh 14:21-23 Kumbe kuna aina tofauti za Upendo wa Mungu.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Tafakari Neno Upendo katika mistari ifuatayo; Yoh 3:16 Yoh 14:21-23 Upendo Upendo Usio na Wenye Masharti Masharti
AINA ZA UPENDO Yoh 3:16, Rum 1:28-32/5:5-8 Kwa maana jinsi hii, Mungu aliupenda ulimwengu wa watu waovu na wenye ubaya wa kila namna, akamtoa Mwanaye wa pekee Yesu Kristo, kufa kwa ajili yao.
AINA ZA UPENDO Yohana 14:23,21 Yesu alisema, ‘mtu akinipenda, atapendwa na Baba yangu, nami nitampenda; nasi tutakuja kufanya makao kwake, na kujifunua kwake’.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Tafakari Neno Upendo katika mistari ifuatayo; Yoh 3:16 Yoh 14:21-23 Upendo Upendo Usio na Wenye Masharti Masharti
AINA ZA UPENDO Yyoh 3:16 ; Yoh 14:23,21Upendo wa Mungu kwa wanadamu, hauko katika ngazi moja,haufanani. Mungu anatupenda kitofauti-tofauti.
AINA ZA UPENDO Yyoh 3:16 ; Yoh 14:23,21 Mungu anatupenda wanadamu kwa aina tofauti-tofauti za Upendo. Hii ina maana kwamba, kuna aina mbalimbali za Upendo.
NGUVU YA UPENDO AinazaUpendo. • AGAPE(Godly Love) • STORGE (Family Love) • PHILEO (Friendship Love) • EROS (Romantic Love)
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Waefeso 4:11-15 15 Lakini tuishike kweli katika upendo na kukua(katika upendo)hata tumfikie yeye katika yote, yeye aliye kichwa, yaani Kristo Yesu.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Warumi 8:28-30 28 Nasi twajua ya kuwa, katika mambo yote, Mungu hufanya kazi pamoja na wale wanaompenda, katika kuwapatia mema.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Warumi 8:28-30 Kiwango cha utendajikaziwaNguvuza Mungumaishanimwako, kitategemeasanakiwango cha Upendowakokwa Mungu.
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo … Kiwango cha = Kiwango cha Upendo Nguvu
KUZIDI KUONGEZEKA KATIKA UTUKUFU WA MUNGU 2 Wakorintho 3:18 Kiwango cha = Kiwango cha UpendoNguvu
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Warumi 8:28-30 Kiwango cha utendajikaziwaNguvuza Mungumaishanimwako, kitategemeasanakiwango cha Upendowakokwa Mungu.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Yoh 3:16-18, Yoh 14:23,21 Munguanapokupenda kwanza kwaUpendowa Agape, atasubirikuonakamautaupokeanakuitikiakwakumrudishiaUpendo.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Yohana 3:16-18, Warumi 5:5-8 AGAPE / STORGE
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Yoh 3:16-18, Yoh 14:23,21 Mtu anapoitikiakwakumpendaMungukwavigezoambavyoMunguanataka, ndipoMunguhufunguliaUpendomwingine, wangaziyapili, UpendowaKirafiki (Phileo)tofautinaAgape.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Yohana 14:23,21 Mithali 8:17 PHILEO AGAPE / STORGE
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Yoh 3:16-18, Yoh 14:23,21 Mtu aliyependwanaMunguKirafiki (Phileo),akiitikiaupendohuokwakumpendaMungukwazaidisana, ndipoMungunayehufunguliaUpendomzito (Eros),UpendowaNgaziya Kwanza.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Yohana 15:1-15, Yohana 10:30 EROS PHILEO AGAPE / STORGE
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Yohana 15:1-15 (Masharti)Mkizishikaamrizangu, ndipomtawezakukaakatikaPendolangu (Eros);kama vile miminilivyozishikaamriza Baba yangu, nakukaakatikaPendo lake (Eros).
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Yohana 15:1-15 Mimi ndaniya Baba, na Baba ndaniyangu; namindaniyenu, nanyindaniyangu. (Erotic/Romantic Love) Yohana 10:38, 30
AINA ZA UPENDO UPENDO WA KIRAFIKI Kwa Mfano; Yesu na Uhsiano wake na Wanafunzi wake. Luka 6:13-16
1 (Math 26:36-41)(Yoh 213(Math 17:1-9) 12(Luka 6:12-15) 70(Luka 10:1,17) 120(Mdo 1:15) 500(1Kor 15:3-8) UmatiwaWanafunzi NGAZI ZA WANAFUNZI WA YESU
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Warumi 8:28-30 Kiwango cha utendajikaziwaNguvuza Mungumaishanimwako, kitategemeasanakiwango cha Upendowakokwa Mungu.
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo … Kiwango cha = Kiwango cha Upendo Nguvu
KUZIDI KUONGEZEKA KATIKA UTUKUFU WA MUNGU 2 Wakorintho 3:18 Kiwango cha = Kiwango cha UpendoNguvu
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Warumi 8:28-30 Kiwango cha utendajikaziwaNguvuza Mungumaishanimwako, kitategemeasanakiwango cha Upendowakokwa Mungu.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Warumi 8:28-30 28 Nasi twajua ya kuwa, katika mambo yote, Mungu hufanya kazi pamoja na wale wanaompenda, katika kuwapatia mema.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Waefeso 4:11-15 15 Lakini tuishike kweli katika upendo na kukua(katika upendo)hata tumfikie yeye katika yote, yeye aliye kichwa, yaani Kristo Yesu.
1 (Math 26:36-41)(Yoh 213(Math 17:1-9) 12(Luka 6:12-15) 70(Luka 10:1,17) 120(Mdo 1:15) 500(1Kor 15:3-8) UmatiwaWanafunzi NGAZI ZA WANAFUNZI WA YESU
KUSUDI LA MUNGU KukuanaKufikiaUanawaMungu 2Petro 1:3-4 Warumi 8:19-23
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Waefeso 4:11-15 15Lakinituishikekwelikatikaupendonakukua(katikaupendo)hatatumfikieyeyekatikayote, yeyealiyekichwa, yaaniKristoYesu.
KUSUDI LA MUNGU 2Petro 1:3-4 Basi, Munguametukirimiauweza wakewaUungu, ilikutushirikishatabiaza Ki-Mungu, zitakazotuwezeshakuokolewanauharibifuuliokoduniani, kwasababuyatamaa.
KUSUDI LA MUNGU Warumi 8:19-23, 28-30 Viumbevyotevinauguanakulia, vikitakakufunuliwakwaWanawa Mungu,iliviwekwehurukutokakatikauharibifuuliokoduniani.
KUSUDI LA MUNGU Warumi 8:19-23, 28-30 Nasipia, (watotowa Mungu) tunauguakatikanafsizetu, tukitazamiakufanyikaWanawa Mungu, yaaniukomboziwamwiliwetu.
KUSUDI LA MUNGU Warumi 8:19-23, 28-30 Kumbe, kunatofautiya; • Mtotowa Mungu na • Mwanawa Mungu. Si kilaMtotowa Mungu niMwanawa Mungu.
KUSUDI LA MUNGU Yohana 1:12 Bali wotewaliomwamininakumpokeaYesuKristomaishanimwao, Mungu aliwapauwezowakufanyikaWanawa Mungu.
KUSUDI LA MUNGU Yohana 1:12 Hiiinamaanakwamba, kulekufanyikaMwanawa Mungu, kunategemeasanajitihadazaMtotowa Mungukujibidiishailikufikiacheohicho.
KUSUDI LA MUNGU Yohana 1:12, Warumi 8:23 Na nimapenzinamakusudiya Mungu, kwambasisiwatoto wake, tukuenakuongezekaki-imani, mpakatufikiecheo cha Uanawa Mungu.
KUSUDI LA MUNGU Yohana 1:12, Warumi 8:23 Na mtuakimwaminiYesuKristo, anafanyikaMtotowa Mungu, nakupewauwezowahatimayekujakufanyikaMwanaMungu. (kuufikiaUanawa Mungu).
KUSUDI LA MUNGU Warumi 8:19-23, 28-30 KuwaMwanawa Mungu, nicheonasiojinsia. Ni hatimayakufikiwa (Graduation) Waefeso 4:11-15 Warumi 8:29
KUSUDI LA MUNGU Warumi 8:19-23, 28-30 Mwanawa Mungu, nicheoambachomtuhuaminiwanakukabidhiwamajukumumuhimuna Baba yake. (Kwaisharazawazi)
KUSUDI LA MUNGU Warumi 8:19-23, 28-30 Si kilaMtotowa MunguniMwanawa Mungu. KuwaMwanawa Mungu, nicheonasiojinsia. Ni hatimayakufikiwa (Graduation)
KUSUDI LA MUNGU KukuanaKufikiaUanawaMungu Kutoka 24:1-18 Kutoka 33:7-11 Joshua 1:6-9, 3, 5
7. Ngazi (Level) ya Wito Kutoka 24:1-18 ^ 1st Class ^^^ 2nd Class ^^^^^^^^^^ 3rd Class