1 / 27

NAFASI YA SACCOS KATIKA KUWAKWAMUA WAISLAM KIUCHUMI

NAFASI YA SACCOS KATIKA KUWAKWAMUA WAISLAM KIUCHUMI. NA: PAZI MWINYIMVUA . KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA WATAALAM WA KIISLAM TANZANIA (TAMPRO) MADA ILIYOTOLEWA KATIKA MSIKITI WA ARUSHA, DSM SIMU: 0655 654900,, 2011. Email: tampro1997@yahoo.co.uk ; Website: tampro.org.com. 2.

burton
Download Presentation

NAFASI YA SACCOS KATIKA KUWAKWAMUA WAISLAM KIUCHUMI

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. NAFASI YA SACCOS KATIKA KUWAKWAMUA WAISLAM KIUCHUMI

  2. NA: PAZI MWINYIMVUA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA WATAALAM WA KIISLAM TANZANIA (TAMPRO) MADA ILIYOTOLEWA KATIKA MSIKITI WA ARUSHA, DSM SIMU: 0655 654900,, 2011 Email: tampro1997@yahoo.co.uk; Website: tampro.org.com 2

  3. HALI YA WAISLAM KIUCHUMI • HALI NI MBAYA WAISLAM WAZIKANA BILA YA SANDA • WANANCHI WA KIJIJI CHA NDAPATA, WILAYA YA LIWALE, MKOA WA LINDI • TATIZO KUBWA NI UFUKARA NA ELIMU NDOGO YA DINI (ANNUR, JUNI 25, 2010)

  4. ZANA KUU ZA JIHADI FIISABILILLAH • NI MALI NA NAFSI • NAFSI ITAKUWA SAWA IKIPATA ELIMU SAHIHI YA UISLAM • MALI HAITAPATIKANA BILA MIKAKATI YA KUIZALISHA • ELIMU YA UJASILIAMALI • MITAJI

  5. MTUME (S.A.W) AKIWA MADINA • MTUME (S.A.W) ALISHUGHULIKIA SHIDA ZA MASWAHABA ZA KIMAISHA BAADA YA KUJENGA MSIKITI NABII • ALIUNGA UDUGU BAINA YA MUHAJIRINA NA ANSWAR • ALIFANYA FUND RAISING NA KUWAPA MITAJI MASWAHABA • ALIHIMIZA WATU KUFANYA KAZI

  6. Kuandaa Nguvu Basi waandalieni nguvu kama muwezavyo, na kwa farasi walio fungwa tayari-tayari, ili kuwatishia maadui wa Mwenyezi Mungu na maadui zenu, na wengineo ambao hamwajui, lakini Mwenyezi Mungu anawajua. Na mkitoa chochote katika Njia ya Mwenyezi Mungu mtarudishiwa, na wala nyinyi hamtadhulumiwa. (8.60) 6

  7. ILI SACCOS/TAASISI IENDELEE • WATENDAJI WENYE ELIMU NA UJUZI, WACHAPAKAZI NA WAAMINIFU • MFUMO WA BARAZA NA UONGOZI • MIUNDOMBINU (OFISI, VIPANDO, KOMPUTA, SIMU, MAJI, UMEME, N.K) • FEDHA

  8. NJIA ZA KUWAKWAMUA WATU KIUCHUMI • KUWAPA ELIMU WANANCHI • KUGAWA RASILIMALI ZA NCHI KWA UADILIFU – ZAKA, WAKFU, SADAKA • KUWA NA TAASISI ZA KIFEDHA ZITAKAZOTOWA MITAJI KWA NJIA YA MIKOPO • BENKI, SACCOS, N.K

  9. NAFASI YA SACCOS KATIKA KUWAKWAMUA WAISLAM KIUCHUMI

  10. SACCOS NI KUWAIGA WAKRISTO ? • MSIMAMO WA WANACHUONI WALIOPITA KAMA ALIVYOSEMA SHEIKH SULEIMAN KILEMILE • CHUKUWA KWA ADUI ZURI LAKE, MWACHIE BAYA LAKE

  11. SACCOS NI NINI ? • SACCOS NI KIREFU CHA: • SAVINGS AND CREDIT COOPERATIVE SOCIETY • MAANA YAKE: CHAMA CHA USHIRIKA WA AKIBA NA MIKOPO • SACCOS NI ASASI NDOGO YA FEDHA INAYOTOA MIKOPO YA KIUCHUMI NA KIJAMII

  12. SACCOS NI NINI ?..2 • SACCOS NI MUUNGANO WA WATU WALIYOUNGANA KWA HIYARI KUANZISHA MFUKO WA KUKOPESHANA ENDAPO MMOJA ANASHIDA YA KIJAMII AU KIUCHUMI • LENGO KUU LA SACCOS NI KUWAHUDUMIA MASIKINI KWA KUPITIA UANACHAMA

  13. UISLAM NA USHIRIKA • '……NA HAKIKA WASHIRIKA WENGI HUDHULUMIANA WAO KWA WAO, ISIPOKUWA WALIOAMINI NA WAKATENDA MEMA. NA HAO NI WACHACHE’ (SURAT S’AAD: 38:24)

  14. MTUME (S.A.W) KAMA BENKI MAKA • MTUME (S.A.W) ALIKUWA NDIE AKIWEKA FEDHA NA MALI NYINGINE ZA WATU • KAZI HII KAIFANYA KABLA NA BAADA YA UTUME • BENKI DUNIANI ZILIANZA NA MTU MMOJA KUTUNZA FEDHA ZA WATU WENGINE • FAIDA YA KUTUNZA FEDHA ZAMA HIZI

  15. MADHUMUNI YA SACCOS • KUWAJENGEA WANACHAMA TABIA YA KUJIWEKEA AKIBA MARA KWA MARA • KUTOA MIKOPO KWA WANACHAMA WAKE KWA MASHARTI NAFUU KWA AJILI YA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA KIJAMII • KUTOA NAFASI ZA AJIRA KUPITIA SACCOS NA MIRADI YAKE MF.MASHAMBA

  16. MADHUMUNI YA SACCOS..3 • KUINUA HALI YA MAISHA YA WANACHAMA KWA KUWAPA MIKOPO YA UNUNUZI WA PEMBEJEO ZA KILIMO, UANZISHAJI WA BIASHARA, KUJENGA NYUMBA, ADA ZA SHULE, HUDUMA ZA AFYA, N.K • KUTOA HUDUMA ZA KIBENKI • KUJUWANA NA KUJENGA MTANDAO

  17. MADHUMUNI YA SACCOS..4 • SACCOS ZINAUNGANISHA WANANCHI WA KIPATO CHA CHINI NA BENKI • KUTOA ELIMU YA UJASILIAMALI, DAWAH, N.K

  18. WAPI ZILIPO SACCOS • SACCOS ZA KIJAMII AU KATIKA MTAA • SACCOS KWA WAFANYAKAZI MFANO WA SERIKALINI, MASHIRIKA, VIWANDA • SACCOS ZA WAKULIMA • SACCOS ZA KANISANI

  19. IDADI YA SACCOS TANZANIA • SACCOS ZIKO KARIBU 3469 • WAISLAM SACCOS ZAO (RIBA FREE) HAZIZIDI 5 TANZANIA NZIMA • MAGOMENI MAPIPA, DSM, KUNA SACCOS YA KANISA AMBAYO INA MATAWI KARIBU NCHI NZIMA NA KIWANGO CHA CHINI KUKOPA NI MILIONI THELATHINI (30,000,000)

  20. ATHARI YA SACCOS HAPA TANZANIA • WANAOKOPA WENGI WAO NI WAKRISTO • MATOKEO YAKE WANANGUVU KUBWA KIUCHUMI KULIKO WAISLAM TZ • WANANUNUA NYUMBA NA ARDHI ZA WAISLAM KWA BEI NDOGO • WAISLAM WANAAJILIWA KTK MIRADI YA MASHAMBA YA NGURUWE, BAR, ETC

  21. NAFASI YA SACCOS ZA KIISLAM • KUITAFASIRI QUR’AN NA SUNNA KIVITENDO • KUJIBU KILIO CHA WAISLAM KUHUSU MIKOPO YA RIBA • KUWAUNGANISHA WAISLAM WA KIPATO CHA CHINI NA BENKI ZA KIISLAM/WINDOW

  22. SACCOS ZA KIISLAM NA AJIRA KWA MABINTI WA KIISLAM • JIULIZE HAWA MABINTI WA KIISLAMU WANAOJIHIFADHI KWA MAVAZI NA UCHAFU WA ZINAA WATAPA KAZI? • TANZANIA SOTE TUNAJUWA TATIZO LA RUSHWA YA FEDHA NA YA NGONO • KAMA WAISLAMU TUKIFUNGUA MIRADI YA KIUCHUMI HUONI NDIO UISLAM WA VITENDO?

  23. MTAJI UNAOWEZA KUPATIKANA • JAALIA UNA WANACHAMA 1000 WA SACCOS MKOA WA MOROGORO • KILA MWEZI WATU 1000 @ 10,000/= • JUMLA KWA MWEZI 10,000,000/= • KWA MWAKA NI 120,000,000/=

  24. GHARAMA YA UENDESHAJI BILA RIBA • WAKFU • MICHANGO YA WANACHAMA • FAIDA • MIRADI YA SACCOS

  25. HOFU YA WAKRISTO TANZANIA • BAADHI YA WAKRISTO TANZANIA WANAHOFU NA ISLAMIC WINDOW NA ISLAMIC BANKS • KWANINI WANAHOFU?

  26. HUDUMA ZA SACCOS ZA KIISLAM • MUSHARIKA • MUDHARABA • MURABAHA • IJARA

  27. DUA • Ee Allah tufanyie ndoto yetu hii kuwa kweli na tughufilie dhambi zetu na tulipe pepo –Amin. • Allah Ndie Mjuzi Zaidi, • Wabillah Taufiq • Assalam Alaykum 27

More Related