2.48k likes | 3.46k Views
NAFASI YA MWANAUME KATIKA ULIMWENGU WA UTANDAWAZI. Mwl . Mgisa Mtebe +255 713 497 654 www.mgisamtebe.org. MBINU ZA MAISHA BORA KATIKA MISINGI YA NENO LA MUNGU. ( Jamii , Uchumi na ) Maendeleo. Jamii , Uchumi na Maendeleo. Utandawazi ni nini ?. Nafasi ya Mwanaume katika Jamii.
E N D
NAFASI YAMWANAUMEKATIKA ULIMWENGU WA UTANDAWAZI Mwl. MgisaMtebe +255 713 497 654 www.mgisamtebe.org
MBINU ZA MAISHA BORA KATIKA MISINGI YA NENO LA MUNGU ( Jamii, Uchumina ) Maendeleo
Jamii, UchuminaMaendeleo Utandawazi ninini?
Nafasi yaMwanaumekatikaJamii Utandawazi ninini? Ni mfumowamaishayajamiiyaulimwengumzimakuingilianakatikanamnayakuwakamajamiimoja.
Nafasi yaMwanaumekatikaJamii Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatikamifumoyakimaishainayohusu; Jamii, Siasa, ElimunaUchumi (Social-Political Economy)
Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatika; Ongezekokubwa la Maarifa MsukumompyaKisiasa Mabadiliko ya Sera zauchumi 4. UhuruwaMipakayanchi 5. MwingilianowaKitamaduni
Utandawazi Utandawazi ninini? Daniel 10:4 “Lakiniwewe Daniel, yafungemanenohaya, ukakitiemuhurikitabu, hatawakatiwamwisho…”
Utandawazi Utandawazi ninini? Daniel 10:4 “… (kwamaana) wengiwatakwendambiohukunahuko, namaarifa (duniani)yataongezeka.”
Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatika; 1. Ongezekokubwa la Maarifa. Ndaniyamiaka 300 yamwisho, mwanadamuamefanyauvumbuzimkubwakitaalamu, kulikokatikamiaka 1900 aliyoishikatikakalendampya.
Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatika; 1. Ongezekokubwa la Maarifa. Kasikubwazaidiyamaendeleo, imefanyikakatikamiaka 100 yamwisho (1900-2000), ambapomwanadamuamefanyauvumbuzimkubwasanaduniani.
Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatika; 1. Ongezekokubwa la Maarifa. Mashinezakazi (operation Machine) Usafiri; MelinaNdege (Ships & Jets) Umememdogozaidi (electronics) Mialeyaumememdogo (laser beams) Mawasilianoyamawimbi (tele-www)
Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatika; Ongezekokubwa la Maarifa 2. MsukumompyaKisiasa
Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatika; 2. MsukumompyaKisiasa Kuangukakwaukomunistikatikajamiinyingizakimataifa, kulitianguvusanamfumowakibepariwamataifayamagharibikuingiakatikajamiimbalimbali.
Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatika; Ongezekokubwa la Maarifa MsukumompyaKisiasa 3. Mabadilikoya Sera zauchumi
Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatika; 3. Mabadiliko ya Sera zaUchumi. Mataifamengikupokeamifumoyauchumiiliyozingatiazaidiuchumiwakibinafsi, uhuruwakibiashara, ushindaniwakitaaluma, umojawasoko, n.k.
Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatika; Ongezekokubwa la Maarifa MsukumompyaKisiasa Mabadiliko ya Sera zauchumi 4. UhuruwaMipakayanchi
Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatika; 4. UhuruwaMipakayaNchi. Mataifayalidaikubadilishwakwa sera zamipakayakitaifanakutakauhuruzaidiwamataifakuingilianakatikahalizakisiasa, kiutamaduninakibiashara.
Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatika; Ongezekokubwa la Maarifa MsukumompyaKisiasa Mabadiliko ya Sera zauchumi UhuruwaMipakayanchi 5. MwingilianowaKitamaduni
Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatika; 5. MwingilianowaKitamaduni. Ongezekokubwa la maarifanaUhuruwamipaka, viliwezeshasana, mwingilianowakimataifanakuathirisanatamadunizajamii, vizurinavibaya (+ve/-ve).
Jamii, UchuminaMaendeleo Uchumininini?
Uchumi na Maendeleo Uchumini namna (maarifa) ya mtu kutumia rasilimali zilizopo kwa madhumuni ya kutimiza mahitajina matakwa yake kwa njia nafuu /bora zaidi.
Uchumi na Maendeleo Mahitaji Rasilimali Matakwa
UchuminaMaendeleo Maendeleoni hali ya mtu kutoka katika kiwango cha maisha duni na kupiga hatua kuishi katika kiwango cha maisha bora zaidi.
UchuminaMaendeleo Maisha Duni Sana
UchuminaMaendeleo Maisha Duni Maisha Duni Sana
UchuminaMaendeleo Maisha Wastani Maisha Duni Maisha Duni Sana
UchuminaMaendeleo Maisha Bora Maisha Wastani Maisha Duni Maisha Duni Sana
UchuminaMaendeleo Maisha Bora Zaidi Maisha Bora Maisha Wastani Maisha Duni Maisha Duni Sana
UchuminaMaendeleo Maisha Bora Zaidi Maisha Bora Maisha Wastani Maisha Duni Maisha Duni Sana
Misingi yaKijamii (Kifamilia) Misingi yaKijamii (Kifamilia) Mwanzo 1:26-28
Misingi yaKijamii (Kifamilia) Mwanzo 1:26-28 ‘Tufanyemtukwasurayetunamfanowetu, wakatawalesamakiwabaharini, ndegewaandaninakilakiumbekilichoumbwa, kiendachojuuyausowadunia.’
Misingi yaKijamii (Kifamilia) Mwanzo 1:26-28 ‘MunguakaumbaMwanaumenaMwanamke, akawawekakatikabustaninakuwabariki, akawaambia, Zaeninakuongezeka, nakuitiishadunia.
Misingi yaKijamii (Kifamilia) Mwanzo 1:26-28 ‘MunguakaumbaMwanaumenaMwanamke, akawawekakatikabustaninakuwabariki, akawaambia, Zaeninakuongezeka, nakuitiishadunia.
Misingi yaKijamii (Kifamilia) Mabadiliko yaKijamii
Mabadiliko katikaJamiizaDunia Ongezeko la UhalifunaUbaya Warumi 1:18-32 Warumi 3:10-18 2Timotheo 3:1-9 Mwanzo 6:1, 5-8 2Petro 2:4-22
Mabadiliko katikaJamiizaDunia Ongezeko la UhalifunaUbaya Tamaa, Uporaji, Ubakaji, Mauaji MagonjwayaZinaa/Yasiyotibika UkatiliwaKijinsia/Kifamilia KuvunjikakwaNyumba/Ndoa UwianowaWatotoVsFamilia
Mabadiliko yaKijamii: Mathayo 24:36-39 ‘Kwamaanakama vile ilivyokuwakatikasikuzaNuhu, ndivyoitakavyokuwasikuzakurudimwanawaAdamu’
Mabadiliko yaKijamii: Mathayo 24:36-39 ‘Kwamaanawatuwalikuwawakilanakunywa, wakioanakuoana; hatasikuileNuhualipoingiakatikaSafina; nawaowasitambue, hatagharikaikawakuta, wakachukiliwawote.
Mabadiliko yaKijamii: HistoriayaSodomanaGomora, yajirudiaduniani. Mmomonyokowamaadiliwakirithiri, ukichocheazaidimgongano au janga la kijinsia, katiyaWanaumenaWanawake. (Male-Female/Gender Crisis)
Nafasi yaMwanaumekatika Utandawazi Mabadiliko yaKijamii: Habarihalisi (facts) zinathibitishakwamba; Jamiiyetuinajanga (mgongano) mkubwawakijinsia(Male-Cause)katikamaswalaya; Jamii, Imanina Mila/Utamaduni. (Social, Believes and Culture Crisis)
Mabadiliko yaKijamii. Serikalizotezadunia, zimekirikufelikwauwezowa sera, kanuninafikra (theory) juu ‘binadamu’ (humanity) katikakubadilitabianakuzitiisha, ikiwanijuhudizakujaribukuletaustawinausalamazaidi.
Mabadiliko yaKijamii Ukweliusiopingika (Facts) unaonyeshawazikwamba, Wanaumewamechangiakwakiasikikubwakatikakuyumbakwaulimwengu, kijamiinakisiasanakiuchumi. (Global Social-Political Instability)
Mabadiliko yaKijamii Asilimia 97% yawaliofungwajelaleokwamakosambalimbali, niwanaume. MakosayaUdanganyifu, Wizi, Mauaji, Ubakaji, Ukatili, n.k. ni mambo yanayofanywanawanaumezaidi. (Male dominant crimes)
Nafasi yaMwanaumekatika Utandawazi Mabadiliko yaKijamii: Habarihalisi (facts) zinathibitishakwamba; Jamiiyetuinajanga (mgongano) mkubwawakijinsia(Male-Cause)katikamaswalaya; Jamii, Imanina Mila/Utamaduni. (Social, Believes and Culture Crisis)
Nafasi yaMwanaumekatika Utandawazi Mabadiliko yaKijamii: Ni kwasababu; Mwanaumendiyealiyekichwa cha jamiizotezadunia. Vile Mwanaumeaendavyo, ndivyofamiliaiendavyo, ndivyojamiinadunianzimaitakavyokwenda.
Nafasi yaMwanaumekatika Utandawazi Mabadiliko yaKijamii: Kwahiyo; matatizomakubwaya Kifamilia Kijamiina Kitaifa ChanzoniMwanaumekiongozijamiihiyo.
Nafasi yaMwanaumekatika Utandawazi Taifa Jamii Familia Mwanaume
Mgongano waKijamii Mabadiliko yaKijamii: Ni mabadilikokatikamifumoyakimaishainayohusu; Jamii, Siasa, ElimunaUchumi (Social-Political Economy)
Mgongano waKijinsiaKijamii Mabadiliko yanayotokea: (i) Kijamii (Socially); Wanawakewanavyozidikukuakiidadinapiakatikakuongozafamilia.
Mgongano waKijinsiaKijamii Mabadiliko yanayotokea: (ii) Kijamii (Socially); Wanawakewanavyozidikukuakiidadi, katikakuongozafamilianangazizamaamuzikatikataasisi.