260 likes | 937 Views
E.B.D Humba:Director General National Health Insurance Fund. 1.0UTANGULIZI . Sheria ya uanzishwajiLengo la uanzishwaji. E.B.D Humba:Director General National Health Insurance Fund. 2.0 UANACHAMA. Watumishi wa Serikali Kuu (Civil Servants),Watumishi wa serikali za mitaa,Watumishi wa Mashi
E N D
1. E.B.D Humba:Director General National Health Insurance Fund WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
SEMINA ELEKEZI
UBORESHAJI WA MFUMO WA BIMA YA AFYA YA TAIFA
E.B.D. Humba
Mkurugenzi Mkuu
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
2-6 Oktoba 2006. Arusha
2. E.B.D Humba:Director General National Health Insurance Fund 1.0 UTANGULIZI
Sheria ya uanzishwaji
Lengo la uanzishwaji
3. E.B.D Humba:Director General National Health Insurance Fund 2.0 UANACHAMA
Watumishi wa Serikali Kuu (Civil Servants),
Watumishi wa serikali za mitaa,
Watumishi wa Mashirika ya Umma,
Maandalizi ya kujumuishwa: Polisi, Magereza, Uhamiaji na Zimamoto
4. E.B.D Humba:Director General National Health Insurance Fund 3.0 KUKUA KWA WANUFAIKA WA MFUKO
5. E.B.D Humba:Director General National Health Insurance Fund 4.0 VITAMBULISHO VYA WANACHAMA Mahitaji ya sasa ya vitambulisho 1,307,923
Vitambulisho vilivyotolewa ni 1,047,489
Hii ni asilimia 80 ya vitambulisho vyote vilivyotarajiwa kutolewa.
6. E.B.D Humba:Director General National Health Insurance Fund 5.0 CHANGAMOTO YA VITAMBULISHO Vyanzo vya tatizo la vitambulisho:
I. Mwanachama:
Ujazaji mbaya wa fomu.
II. Mwajiri
Kuchelewa kuwasilisha fomu
III. Mfuko
Kupatiwa anwani zisizo sahihi za waajiri
7. E.B.D Humba:Director General National Health Insurance Fund 6.0 USAJILI WA VITUO VYA MATIBABU
8. E.B.D Humba:Director General National Health Insurance Fund 7.0 MABORESHO YA MAFAO
9. E.B.D Humba:Director General National Health Insurance Fund .Maboresho Vipimo ( 9 54) Upasuaji (specialized surgeries) Orodha ya Madawa (445 555) Bei ya Madawa imepanda kwa 56% Miwani Mfuko umelipa 103,410,000/=. Uzibaji wa meno na Mazoezi ya viungo