3.45k likes | 3.88k Views
MAFANIKIO KATIKA MASOMO KATIKA MTAZAMO WA KIBIBLIA ACADEMIC EXCELLENCE IN A BIBLICAL PERSPECTIVE. Mwl. Mgisa Mtebe mgisamtebe@yahoo.com +255-713-497-654. MAFANIKIO KATIKA MASOMO KATIKA MTAZAMO WA KIBIBLIA.
E N D
MAFANIKIO KATIKA MASOMOKATIKA MTAZAMO WA KIBIBLIAACADEMIC EXCELLENCEIN A BIBLICAL PERSPECTIVE Mwl. Mgisa Mtebe mgisamtebe@yahoo.com +255-713-497-654
MAFANIKIO KATIKA MASOMOKATIKA MTAZAMO WA KIBIBLIA Kujifunza namna Mungu anavyoweza kumpa mtu wake mafanikio, kwa lengo la kumwezesha kuishi ili kulitimiza kusudi lake.
KUSUDI KUU LA MUNGU Ni kuwawezesha watu wake, Kuimiliki na Kutawaladunia, ili binadamu aishi maisha mazuri, na kuwa chombo kizuri cha Ibada,ili kumsifu na kumwabudu Mungu aliye juu.
HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO 1Wakorintho 4:1-2 1 Basi, mtu na atuhesabu hivi, kwamba sisi niwatumishi wa Kristona mawakili wa siri za Mungu. 2 Na linalotakiwa ni watumishi na mawakili waonekane kuwa waaminifu.
HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO 1Wakorintho 4:1-2 Zingatia neno “Utumishi” ‘Kila mmoja wetu ana wito maalum duniani unaofanya kuwa mtumishi wa Mungu, katika eneo alilojaliwa zaidi kuliko wengine na kuliko maeneo mengine’.
HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO 1Wakorintho 4:1-2 Zingatia neno “Uaminifu” ‘Kila wito wa mtu, ni maalum’ (specific) katika; Kusudi, Mpango, Aina, Eneo, Uwezo, Kiasi, Muda, n.k
Huduma na Karama 1Wakorintho 12:4-11
Huduma na Karama 1Wakorintho 12:4-11 4Basikunaainambalimbalizakarama, lakiniRohoniyuleyule. 5Piakunahudumazaainambalimbali, lakini Bwana niyuleyule.
Huduma na Karama 1Wakorintho 12:4-11 6Kishakunatofautizakutendakazi, lakininiMunguyuleyuleatendayekazizotekwawatuwote.
Huduma na Karama 1Wakorintho 12:4-11 7BasikilammojahupewaufunuowaRohokwafaidayawote. 8MaanamtummojakwaRohohupewaneno la hekimanamwingineneno la maarifakwaRohohuyohuyo.
Huduma na Karama 1Wakorintho 12:4-11 9MtumwingineimanikwahuyoRohonamwinginekaramazakuponya. 10Kwamwinginematendoyamiujiza, kwamwingineunabiikwamwinginekupambanuaroho;
Huduma na Karama 1Wakorintho 12:4-11 10 … kwamwingineainambalimbalizalugha, kwamwinginetafsirizalugha. 11 HayayotehufanywanahuyohuyoRohommoja, Rohonayehumgawiakilamtu, kamaapendavyomwenyewe.
Huduma na Karama 1Wakorintho 12:4-11 10 … kwamwingineainambalimbalizalugha, kwamwinginetafsirizalugha. 11 HayayotehufanywanahuyohuyoRohommoja, Rohonayehumgawiakilamtu, kamaapendavyomwenyewe.
Huduma na Karama Warumi 12:3-8
Huduma na Karama Warumi 12:3-8 3 Kwaajiliyaneemaniliyopewanawaambiakilammojamiongonimwenu, asijidhiniekuwaborakulikoimpasavyo, baliafikirikwabusarakwakulingananakipimo cha imaniMungualiyompa.
Huduma na Karama Warumi 12:3-8 4 Kama vile katikamwilimmojatulivyonaviungovingi, navyoviungovyotehavinakazimoja, 5vivyohivyonasisituliowengi, tumwilimmojakatikaKristo, nasikilammojanikiungo cha mwenzake.
Huduma na Karama Warumi 12:3-8 6 Tuna karamazilizotofautianakilammojakutokanananeematuliyopewa. Kama niunabiinatutoeunabiikwakadiriyaimani. 7 Kama nikuhudumunatuhudumu, mwenyekufundishanaafundishe,
Huduma na Karama Warumi 12:3-8 8 kamanikutiamoyonaatiemoyo, kamanikuchangiakwaajiliyamahitajiyawenginenaatoekwaukarimu, kamaniuongozinaaongozekwabidii, kamanikuhurumiawenginenaafanyehivyokwafuraha.
HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO Utumishi wetu kwa Mungu
HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO 1. Kilamtu(mmojammoja) katikaKanisaanawito wake (huduma/karama) 2. Witowamtu (HudumanaKaramayake) nimaalumusana (Very Specific)
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA KUSUDI LA KANISA Ni KanisaliwezekulimilikinaKutawaladunianamazingirayake, ilibinadamuawezekuishimaishamazurinakuwachombokizuri chaIbada, kumsifunakumwabuduMungualiyejuu.
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA KWANINI IBADA ?
SIFA NA IBADA KWA MUNGU Zab 22:3 IDABAndiokitu cha kwanza kabisakatikamoyowaMungu, kwasababu MUNGU ANAISHI KATIKA IBADAnaSIFA.
SIFA NA IBADA KWA MUNGU Zaburi 22:3 Wewe U Mtakatifu, nawe “UNAKETI”juuyasifaza Israel “Inhabit” “Unaishi”
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Yohana 4:23 Kwa maana Baba anawatafuta watu kama hao, ili wamwabudu; Na saa ipo na sasa saa imefika, ambapo waabuduo halisi,watamwabudu Baba katika roho na kweli;
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mungu anapokupa Nguvu zake, kwa ajili ya maisha yako duniani, anatafuta kukulinda wewe, ili pia kuilinda na ibada yake inayotoka katik maisha yako. (Yohana 4:23)
SIFA NA IBADA KWA MUNGU Mungu IbadaNchi Adam Zab22:3 Yoh 4:23-24 Kumb 8:6-18 Zab 150:6
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Ibadanzuri hutoka katika moyo uliotulia na pia maisha mazuri; na maisha mazuri huchangiwa sana na mazingira mazuri. Kumbukumbu 8:6-18
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Mazingira yakitibuka, maisha yanatibuka, na maisha yakitibuka, ibadakwa Mungu pia, inatibuka. Hivyo, Shetani anachotafuta ni kumpigabinadamu na mazingira yake, ili kumvurugia Mungu ibada, anayoitamani sana kutoka duniani.
HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO Huduma na Karama za Roho Mtakatifu ni uwezo na vipawa vya Mungundani ya watu wake, vinavyowawezesha kutenda kaziduniani kwa kulitimiza kusudi la Mungu.
SIFA NA IBADA KWA MUNGU Mungu IbadaNchi Adam Zab22:3 Yoh 4:23-24 Kumb 8:6-18 Zab 150:6
HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO Kila Mtu katika jamii ya watu wa Mungu ana Karama na Kipawafulani kilichowekwa na Roho Mtakatifu wa Mungu, kinavyochomwezesha kutenda kaziduniani ili kulitimiza kusudi la Mungu.
HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO Kipawa hicho, ndicho kinachotenda kazi ili mtu aweze kuishi na kuyatawala mazingira yake, hata kumwezesha mtu huyo kulitimiza kusudi la Mungu, yaani kuwa ‘chombo kizuri cha ibada’.
KARAMA ZA ROHO MTAKATIFU Kutoka 31:1-5 Bwana akamwambia Musa, kwaajiliyaufundiwavyombovyotevyahekalu, nimempakamafuta(uwezo) BezalelimwanawaHuri, kwaajiliyakazizotezakuchora, kuchonga, kukatanaufundiwotewafedhanadhahabu.
SIFA NA IBADA KWA MUNGU Mungu IbadaNchi Adam Zab22:3 Yoh 4:23-24 Kumb 8:6-18 Zab 150:6
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Kwahiyo,Shetani anachotafuta ni kumpigabinadamu na mazingira yake, ili kumvurugia Mungu ibada, anayoitamani sana kutoka duniani (kwa watoto wa Mungu). (Ufunuo 12:17)
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Hivyo, Nguvu za Mungu ni za lazima katika maisha, ili kumwezesha mwanadamu, kumshinda adui shetani na vizuizi vyake na kumwezesha kutawala maisha yake na mazingira yake. (Mwanzo 1:26-28; Zaburi 8:4-8)
VITA VYA ROHONI Ni kwamba, kuna mapambano, kuna vita na upinzani(mashindano), kati ya shetani na watoto wa Mungu (kanisa la Bwana Yesu Kristo).” (Mathayo 16:18-19)
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Hivyo, Mungu anapokupa Nguvu zake, kwa ajili ya maisha yako duniani, anatafuta kukulinda wewe, ili pia kuilinda na ibada yake inayotoka katika maisha yako (inayotoka duniani). (Yohana 4:23)
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA KUSUDI LA KANISA Ni KanisaliwezekulimilikinaKutawaladunianamazingirayake, ilibinadamuawezekuishimaishamazurinakuwachombokizuri chaIbada, kumsifunakumwabuduMungualiyejuu.
KARAMA NA HUDUMA ZA ROHO Kanisa la Mungu ni Ofisi ya Mungu na Ubalozi wa Mbinguni duniani. Hivyo Mungu anataka Kanisa lake (Ofisi yake) iwe na watendakazi waliobora zaidi na itoe hudumabora zaidikuliko taasisi zingine za duniani.
KARAMA NA HUDUMA ZA ROHO Mfano wa Kwanza; Kutumika chini ya Kiwango 1Wakorintho 3:10-15
HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO 1Wakorintho 3:10-15 10 KwaneemaMungualiyonipa, niliwekamsingikamamjenzistadinamtumwingineanajengajuuyahuomsingi. Lakinikilamtuinampasa awe mwangalifujinsianavyojengajuuyake.
HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO 1Wakorintho 3:10-15 12 Kama mtu ye yoteakijengajuuyamsingihuukwakutumiadhahabu, au kwafedha, au kwamaweyathamani, au kwamiti, au kwamajani au kwanyasi …
HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO 1Wakorintho 3:10-15 13 kaziyakeitaonekanakuwaikoje, kwakuwasikuileitaidhihirishakaziyake. Itadhihirishwakwamoto, naomotoutapimauborawakaziyakilamtu.
KARAMA NA HUDUMA ZA ROHO 14 Kama kile alichojenga kitabaki, atapokea thawabu. 15 Kama kazi ya mtu itateketea, atapata hasara, ila yeye mwenyewe ataokolewa, lakini kama mtu aliyenusurika kwenye moto.
KARAMA NA HUDUMA ZA ROHO Mfano wa Pili; Kutumika nje ya Wito Mathayo 25:14-30
Viashiria vya Wito wa Mtu Mathayo 25:14-30 14 “Tena, Ufalme wa Mbinguni ni kama mtu (Bwana) anayetaka kusafiri, akawaita watumishi wake na kuweka mali yake kwenye uangalizi wao (Uwakili) ili kuitunza na kuizalisha.
Viashiria vya Wito wa Mtu Mathayo 25:14-30 15Mmojaakampatalantatano(5) mwinginetalantambili(2) namwinginetalantamoja(1), kilammojaalipewakwakadiriyauwezo wake. Kishayeyeakasafirikwendambali.
Viashiria vya Wito wa Mtu Mathayo 25:14-30 19 “Baada ya muda mrefu yule bwana wa wale watumishi akarudi na kufanya hesabu nao.