4.79k likes | 5.25k Views
KUMPENDA MUNGU ‘ Faida na Nguvu zilizopo katika Kukua na Kuongezeka katika Kumpenda Mungu. ’. +255 – 713 – 497 – 654 mgisamtebe@yahoo.com www.mgisamtebe.org. NGUVU YA UPENDO. Upendo wa Mungu Yohana 3:16 Yohana 14:23,21. AINA ZA UPENDO. Yoh 3:16, Rum 1:28-32/5:5-8
E N D
KUMPENDA MUNGU‘Faida na Nguvu zilizopo katika Kukua na Kuongezeka katika Kumpenda Mungu.’ +255 – 713 – 497 – 654 mgisamtebe@yahoo.com www.mgisamtebe.org
NGUVU YA UPENDO UpendowaMungu Yohana 3:16 Yohana 14:23,21
AINA ZA UPENDO Yoh 3:16, Rum 1:28-32/5:5-8 Kwa maana jinsi hii, Mungu aliupenda ulimwengu wa watu waovu na wenye ubaya wa kila namna, akamtoa Mwanaye wa pekee Yesu Kristo, kufa kwa ajili yao.
AINA ZA UPENDO Yohana 14:23,21 Yesu alisema, ‘mtu akinipenda, atapendwa na Baba yangu, nami nitampenda; nasi tutakuja kufanya makao kwake, na kujifunua kwake’.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Tafakari Neno Upendo katika mistari ifuatayo; Yohana Yohana 3:16 14:21,23
AINA ZA UPENDO Yyoh 3:16 ; Yoh 14:23,21 Upendo wa Mungu unaotajwa katika Yoh 3:16 ni tofauti na Upendo wa Mungu unaotajwa ktk Yoh 14:21-23 Kumbe kuna aina tofauti za Upendo wa Mungu.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Tafakari Neno Upendo katika mistari ifuatayo; Yoh 3:16 Yoh 14:21-23 Upendo Upendo Usio na Wenye Masharti Masharti
AINA ZA UPENDO Yyoh 3:16 ; Yoh 14:23,21Upendo wa Mungu kwa wanadamu, hauko katika ngazi moja,haufanani. Mungu anatupenda kitofauti-tofauti.
AINA ZA UPENDO Yyoh 3:16 ; Yoh 14:23,21 Mungu anatupenda wanadamu kwa aina tofauti-tofauti za Upendo. Hii ina maana kwamba, kuna aina mbalimbali za Upendo.
NGUVU YA UPENDO AinazaUpendo Yohana 3:16 Yohana 14:23,21
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 1. AGAPE (Godly Love) UPENDO WA MUNGU Rum 5:8 Yoh 3:16
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO SifaKuu (4) zaUpendo - Agape. • Hauangaliihali ya mtu ya nje. • Haunamashartiyoyote. • Haunakipimoaukiwango. • Haunamwisho au kikomo.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 1. AGAPE (Godly Love) UPENDO WA MUNGU Mfano; Upendo wa Mungu kwa Wanadamu/Ulimwengu. (Yohana 3:16, Rum 1:28-32)
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 1. AGAPE (Godly Love) UPENDO WA MUNGU Mfano; Upendo wa Msamaria mwema. (Luka 10:29-37)
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 2. STORGE (Family Love) UPENDO WA KINDUGU Luka 15:11-32 (Upendo wa Baba kwa Mwana Mpotevu)
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 2. Storge (Family Love) UPENDO WA KINDUGU Mfano; Upendo wa Musa kwa Waebrania. (Kutoka 2:11-12)
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO SifaKuu (4) zaUpendo - Storge. • Hauangaliihali ya mtu ya nje. • Haunamashartiyoyote. • Haunakipimoaukiwango. • Haunamwisho au kikomo.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 3. PHILEO (Friendship) UPENDO WA KIRAFIKI Mithali 18:24, Yakobo 2:23.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO SifaKuu (4) zaUpendo - Phileo. • Huangaliahali ya mtu ya nje. • Una mashartifulani-fulani. • Una kipimoaukiwango. • Unamwisho au kikomo.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 3. Phileo (Friendship Love) UPENDO WA KIRAFIKI Mfano; Upendo wa Jonathan na Daudi. (1Samwel 18:1-5)
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 3. Phileo (Friendship Love) UPENDO WA KIRAFIKI Mfano; Upendo wa Yesu kwa Martha, Mariam na Lazaro. (Yahano 11:1-5)
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Kama binadamu wanavyoweza kupendana katika urafiki wa karibu sana, vivyo hivyo, Mungu ana watu walimpenda sana hata kujenga uhusiano wa karibu sana wa kirafiki. (Mathayo 22:37-38)
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Math 22:37-38, Yoh 14:23,21 Kuna watu wamempenda Mungu sana kuliko wengine, nao wamepewa kiwango cha juu cha upendo wa Mungu, wamekuwa Marafiki wa Mungu Mwenyezi.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 3. Phileo (Friendship Love) UPENDO WA KIRAFIKI Mfano; Upendo wa Kirafiki kati ya Mungu na Henoko (Enock). (Mwanzo 5:21-24)
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 3. Phileo (Friendship Love) UPENDO WA KIRAFIKI Mfano; Upendo wa Kirafiki kati ya Mungu na Ibrahimu. (Yakobo 2:23)
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 3. Phileo (Friendship Love) UPENDO WA KIRAFIKI Mfano; Upendo wa Kirafiki kati ya Mungu na Musa. (Hes 12:5-10; Kut 33:9-23; )
UPENDO WA KIRAFIKI 3. Phileo (Friendship Love) UPENDO WA KIRAFIKI Mfano; Upendo wa Kirafiki kati ya Mungu na Mfalme Daudi. (Mathayo 12:1-8)
HEKALU la Mungu Patakatifu pa Patakatifu Patakatifu Uwanda wa Nje
UPENDO WA KIRAFIKI 3. Phileo (Friendship Love) UPENDO WA KIRAFIKI Mfano; Upendo wa Kirafiki kati ya Mungu na Mfalme Daudi. (1Sam 13:13-14, Mdo 13:21-22)
UPENDO WA KIRAFIKI 3. Phileo (Friendship Love) UPENDO WA KIRAFIKI Mfano; Upendo wa Kirafiki kati ya Yesu na Yohana. (Yohana 21:15-24)
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 4. EROS (Romantic) UPENDO WA MAHABA Efe 5:25; Mhu 9:8-9; Wimbo 7:1-10 / 4:1-7
Sifa Kuu (4) za Upendo - Eros. • Huangaliahali ya mtu ya nje. • Una mashartifulani-fulani. • Una kipimoaukiwango. • Unamwisho au kikomo. • Unaelekeakwamtu 1 tu. • Ni Mtu wajinsiatofautitu. • UnakuwanaAgano.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 4. Eros (Romantic Love) UPENDO WA MAHABA Mfano; Upendo wa Mahaba kati ya Isaka na Rebeca. (Mwanzo 26:11)
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 4. Eros (Romantic Love) UPENDO WA MAHABA Mfano; Upendo wa Mahaba kati ya Yakobo na Raheli. (Mwanzo 29:16-20 (10-30)
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 4. Eros (Romantic Love) Mfano; Upendo wa Bwana Yesu na Mungu Baba. Yoh 15:9-10, Yoh 10:38,30 Yoh 14:10-11, 20
MEASURE OF LOVE Kiwango cha Upendo Je UnampendaMunguKiasiGani? Yohana 21:15-17
NGUVU YA UPENDO Kiwango cha Upendo (Yesuna Petro) Yohana 21:15-17
NGUVU YA UPENDO Kiwango cha Upendo (MwanamkeKahaba) Luka 7:36-50
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Waefeso 4:11-15 15 Lakini tuishike kweli katika upendo na kukua(katika upendo)hata tumfikie yeye katika yote, yeye aliye kichwa, yaani Kristo Yesu.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Yoh 3:16-18, Yoh 14:23,21 Munguanapokupenda kwanza kwaUpendowa Agape, atasubirikuonakamautaupokeanakuitikiakwakumrudishiaUpendo.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Yohana 3:16-18, Warumi 5:5-8 AGAPE / STORGE
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Yoh 3:16-18, Yoh 14:23,21 Mtu anapoitikiakwakumpendaMungukwavigezoambavyoMunguanataka, ndipoMunguhufunguliaUpendomwingine, wangaziyapili, UpendowaKirafiki (Phileo)tofautinaAgape.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Yohana 14:23,21 Mithali 8:17 PHILEO AGAPE / STORGE
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Yoh 3:16-18, Yoh 14:23,21 Mtu aliyependwanaMunguKirafiki (Phileo),akiitikiaupendohuokwakumpendaMungukwazaidisana, ndipoMungunayehufunguliaUpendomzito (Eros),UpendowaNgaziya Kwanza.
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Yohana 15:1-15, Yohana 10:30 EROS PHILEO AGAPE / STORGE
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Yohana 15:1-15 (Condition)Mkizishikaamrizangu, ndipomtawezakukaakatikaPendolangu (Eros);kama vile miminilivyozishikaamriza Baba yangu, nakukaakatikaPendo lake (Eros).
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Yohana 15:1-15 Mimi ndaniya Baba, na Baba ndaniyangu; namindaniyenu, nanyindaniyangu. (Erotic/Romantic Love) Yohana 10:38, 30
AINA ZA UPENDO 3. UPENDO WA KIRAFIKI Kwa Mfano; Yesu na Wanafunzi wake. Luka 6:13-16
1 (Math 26:36-41)(Yoh 213(Math 17:1-9) 12(Luka 6:12-15) 70(Luka 10:1,17) 120(Mdo 1:15) 500(1Kor 15:3-8) UmatiwaWanafunzi NGAZI ZA WANAFUNZI WA YESU
IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Yohana 15:1-15 Mimi ndaniya Baba, na Baba ndaniyangu; nanindaniyenu, nanyindaniyangu. (Erotic/Romantic Love) Yohana 10:38, 30