670 likes | 930 Views
Mafunzo ya Microsoft ® Office Word 2007. Kuwa chapu. Yaliyomo ya kozi. Muhtasari: Umesikia neno? Funzo la 1: Pata kujua Utepe Funzo la 2: Pata amri za kila siku Funzo la 3: Orodha rahisi.
E N D
MafunzoyaMicrosoft®OfficeWord2007 Kuwachapu
Yaliyomoyakozi • Muhtasari:Umesikianeno? • Funzola1:PatakujuaUtepe • Funzola2:Pataamrizakilasiku • Funzola3:Orodharahisi Mafunzomawiliyakwanzanipamojanaorodhayakazizilizopendekezwa,nazotezinajumuishajozilamaswaliyajaribio.
Muhtasari:Umesikianeno? Word2007ipo.Koziitakusaidiakuwakasi. Utajifunzajinsiyakuundawarakanzuri,nazakitaalamambazozitafurahishamarafikiwakonawafanyikaziwenzako.
Malengoyakozi • FanyakazizaUtepe—ndunimpyaambayohufanyaWordiwerahisikutumiakulikoawali. • Pataamrizakilasiku,zinazojulikanaunazohitajikufanyakaziyako.
Funzola1 PatakujuaUtepe
PatakujuaUtepe UnapofunguaWord2007,kituchakwanzautaonaniUtepe,eneoambalolinafuturusehemuyajuuyaWord. Maskani Fonti Aya Utepehuletaamrizinazojulikanazaidimbele,kwahivyosiolazimautafutesehemuanuwaizaprogramuzavituunavyofanyakilawakati. Hiiitafanyakaziyakoiwerahisinachapu.
TumiaUtepekwamaagizoyanayojulikana Utepehutoaurahisinausawa,napamojanamaagizoyoteyakawaidayaliyooneshwasehemumoja. Maskani Bandika Fonti Aya Kwamfano,unawezakatanakubandikamatinikutumiaamrikwenyekichupochaMaskani,badiliuumbizajiwamatinikwakutumiaMtindo;nabadilimandharinyumayaukurasakwenyekichupochaWaliowaukurasa.
NinikikokwenyeUtepe? JizoezenasehemutatuzaUtepenamsaadaunaoelewajinsiyakuutumia. Nivichupo,vikundi,naamri. Maskani Fonti Aya Vichupo:Utepeunasabazamsingikotejuu.Kilamojainawakilishaeneolashughuli. Vikundi:Kilakichupokinavikundianuwaiambavyohuoneshavipengeehusikapamoja. Amri:Amrinikichupo,menyu,aukikashaambapounawezaingizahabari.
KizinduaKikashaOngezikatikavikundi Maskani Fonti Aya Fonti KibamboNafasi Fonti BadhiyavikundivinakishalekidogohanamukatikasehemuyachinikonakuliainayoitwaKizinduaKikashaOngezi. Bofyakuonachaguozaidihusikakwakundihilo.ZitaonekanakatikakikashaongezizoefuaukidirishachakaziambachounagunduakutokakwatoleolaawalilaWord.
Vichupovyaziadahuonekana Vichupofulanihuonekanatuwakatiunavihitaji. ZanazaPicha Umbiza UmbolaPicha UkingowaPicha MadoidoyaPicha MitindoyaPicha Ukichopekapichanaunatakakufanyaziaidinayo,kamakupunaaukubadiliusawanyimatini. Amrihizozinapatikanawapi?
Vichupovyaziadahuonekana Vichupofulanihuonekanatuwakatiunavihitaji. ZanazaPicha Maskani Umbiza UmbolaPicha UkingowaPicha MadoidoyaPicha MitindoyaPicha Hauitajikuvitafuta.Badalayake: Teuapicha. ZanazaPichahuonekana.BofyakichupochaUmbiza. Vikundinaamrizaziadahuonekanakwakufanyakazinapicha,kamakundilaMitindoyaPicha.
Upauzanamdogo Baadhiyaamrizauumbizajizinasaidiasanakwambaunazitakazipatikanehaijalishiunachofanya. WaliowaUkurasa A23B Tusemeunatakakuumbizaharakamatinifaulani,lakiniunafanyakazikwenyekichupochaWaliowaUkurasa. Unawezabofyakichupocha Maskanikuonachaguozauumbizaji,lakinikunanjiayaharaka.
Upauzanamdogo Baadhiyaamrizauumbizajizinasaidiasanakwambaunazitakazipatikanehaijalishiunachofanya. WaliowaUkurasa A23B Teuamatinikwakuburutanakipanyachako,nakishaelekezakwauteuzi. Upauzanamdogoutaonekanakatikahaliiliyoparara.UkielekezakwaUpauzanamdogo,itakuwathabiti,naunawezabofyachaguolauumbizajikwake.
UpauzanaUfikioChapu UnapuzanaUfikioChapunieneondogolasehemuyajuukushotokwaUtepe. Maskani OngezakwaUpauzanaUfikioChapu. TanafsishaUpauzanaUfikioChapu... Inavituambavyounatumiakilasiku:Akibisha,Tendua,naRudia. OneshaUpauzanaUfikioChapuchiniyaUtepe PunguzaUtepe PichainaoneshajinsiunawezaongezaamrizingineunazopendakwaUpauzanaUfikioChapuilizipatikanehaijalishiukokwakichupokipi. UnawezapiaondoavitufekutokakwaUpauzanaUfikioChapu.
Maonikwamazoezi • TumiaUtepe. • Ongezavichupovyaziada,nakishachopekapichanafanyakazinaZanazaPicha. • FanyakazinaupauzanaMdogo. • TumiaUpauzanawaUfikioChapu. • Fichavikundinaamri.
Jaribio1,swali1 • UkibofyakitufehikikatikaWord2007,ninihufanyika?(Chaguajibumoja.) • UnafichaUtepekwamudamfupiiliuwenanafasizaidiyawarakawako. • Unatekelezasaizikubwayafontikwamatiniyako. • Unatumiachaguozaziada. • UnaongezaamrikwaUpauzanaUfikioChapu.
Jaribio1,swali1:Jibu • Unatumiachaguozaziada. Maranyingikikashaongezikitaonekana,nakinawezaonekanakujulikanakutokakwamatoleoyaawaliyaWord.
Jaribio1,swali2 • UpauzanaUfikioChapuukowalinaniliniunapaswakuutumia?(Chaguajibumoja.) • Ukokatikakonayajuukushotokwenyekiwamba,naunapaswakutumiaamrizakounazopenda. • Unaninginiajuuyamatini,naunapaswakuutumiawakatiunahitajikufanyamabadilikoyauumbizaji. • Ukokatikakonayajuukushotokwakiwamba,naunapaswakuutimiawakatiunahitajikufikiawarakachapu. • UkokwenyekichupochaMaskani naunapaswakuutumiawakatiunahitajikuzinduaaukuanzawarakampya.
Jaribio1,swali2:Jibu • Ukokatikakonayajuukushotokwenyekiwamba,naunapaswakutumiaamrizakounazopenda. NiupauzanamdogoulionavitufevyaAkibisha,Tendua,na Rudia.UnawezaongezaamriunazopendakwakubofyakuliaamrinakuteuaUpauzanaUfikioChapu.
Jaribio1,swali3 • Upauzanamdogoutaonekanaikiwautafanyailiyayafuatayo?(Chaguajibumoja.) • BofyamarambilikichupoamilifukwenyeUtepe. • Teuamatini. • Teuamatininaelekezakwake. • Yoyotehapojuu.
Jaribio1,swali3:Jibu • Teuamatininaelekezakwake. Itaonekanapiaikiwautabofyamarambilimatiniuliyoteua.
Funzola2 Pataamrizakilasiku
Pataamrizakilasiku Word2007nimpya,nahiyoinafurahisha.Lakiniunavituvyakufanya. Sasaniwakatiwakujuamaeneohaswayaamrizinazotumikasana. Kwamfano,unaundawarakawapi?Viaridhishi,mitindo,nakihakikishitahajiavikowapi?Najekuchapisha? Funzohililitakuoneshakwambamundompyawaprogramuhuwekaamrisawamahaliunazihitaji.
AnzanaKifufechaMicrosoftOffice Maskani NyarakazaKaribuni Mpya Fungua Chapisha Funga ChaguozaWord TokakwenyeWord KitufechaMicrosoftOffice ndiomahalipapapakuanzakatikaWord. Unapoibofya,menyuhuonekanailiutumiekuunda,kufungua,aukuakibishawaraka.
Namitindoje? Unatakamtazamowanguvunaunaofaawauumbizajikulikozileamrizakozanaitalikitu? UtatakakujuakuhusumitindokatikaWordmpya. ¶Hakuna… Kichwa2 ¶Kawaida Kichwa1 Mitindo UnawezachaguaaithaMtindoChapuuliotengenezwatayariauutekelezamtindompyauliofanyaawali.
Namitindoje? UnafanyakazinamitindokwenyekichupochaMaskani katikakundilaMitindo. ¶Hakuna… Kichwa2 ¶Kawaida Kichwa1 Mitindo Pichainaoneshajinsiyakupatamitindounayotaka. MitindoChapuikotayari,mitindoyakitaalamuambayonichapunarahisikutekeleza.NainasurampyanatoleohililaWord. BofyakitufehikikuonabaadhiyaMitindoChaputayarikutumia. BofyaKizinduaKikashaOngeziilikufunguaKidirishacha Mitindo.
UmbizoMpakajirangi AmrinyinginechapuyauumbizajiniUmbizoMpakajirangi. IkokwenyekushotomwakichupochaMaskanikatikakundilaUbaoklipu. Maskani Ubaoklipu Fonti Aya IkiwahaujazoeaUmbizoMpakajirangi,ninjiayaharakakunakiliuumbizajikutokakwasehemumojayamatinikwanyingine. KutumiaUmbizoMpakajirangi,wekakielekezikatikamatiniambayoumbizounatakakunakiliumbizolakenakishabofyakitufechaUmbizoMpakajirangi.
Fifiza Baadayakuchopekakitu,unawezahitajikutazamatenatondoti. Kwahivyoutatakakujuamahalipakupatauthibitiwakufifiza. Tazamakonayachiniyakulia.Burutaslaidikuliakufifizandani,naburutakushotokufifiza.
Ukotayarikuchapisha? Ukotayarikuchapisha—lakiniukotayari? Kwanzanivyemakukaguajinsikurasazakozimepangwakwakuchapisha. WaliowaUkurasa Jongezo KilakituunachohitajikikokwenyekichupochaWaliowaUkurasa. KundilaMkaowaUkurasaunaSaizi(8.5x11,A4,nakadhalika),Uzoefu(kurasamlalonakurasawima)naPambizo.
Ndio,ukotayarikuchapisha Ukiwatayarikabisakuchapisha,rudikwaKitufechaMicrosoftOffice. Maskani Mwonekonachapawaraka Mpya Chapisha Teuakichapishi,idadiyanakala,nachaguozinginezakuchapishakablayakuchapisha. Fungua ChapaChapu Akibisho Tumawarakamojakwamojakwakichapishikaidabilakufanyamabadiliko. AkibishaKama... MwonekoawaliChapa Onamwonekoawalikubadilikurasakablayakuchapisha. Chapisha... Zingatiakwambasasaunachaguo: UkibofyaamriyaChapishautapatakikashaongezichaChapisha.LakinielekezakwakishalesehemuyakuliayaamriyaChapishabadalayake,utaonaamritatuzingine.
Ndio,ukotayarikuchapisha Ukiwatayarikabisakuchapisha,rudikwaKitufechaMicrosoftOffice. Maskani Mwonekonachapawaraka Mpya Chapisha Teuakichapishi,idadiyanakala,nachaguozinginezakuchapishakablayakuchapisha. Fungua ChapaChapu Akibisho Tumawarakamojakwamojakwakichapishikaidabilakufanyamabadiliko. AkibishaKama... MwonekoawaliChapa Onamwonekoawalikubadilikurasakablayakuchapisha. Chapisha... Zingatiakwambasasaunachaguo: Chapisha ChapaChapu MwonekoawaliChapa
Nyumayamatukio NdunizoteunazotumiakilasikukatikaWordzikokwenyeUtepenanirahisikuzipata. Maskani NyarakazaKaribuni Mpya Fungua Chapisha Funga ChaguozaWord TokakwenyeWord Kwahivyomipangizoyanyumayamatukioambayosiojuuyakutengenezanyaraka,lakiniinathibitijinsiWordhufanyakazi?
Nyumayamatukio UnathibitivipijinsiWordinafanyakazi? Maskani NyarakazaKaribuni Mpya Fungua Chapisha Funga ChaguozaWord TokakwenyeWord MipangizohiiyotenisehemuyaChaguozaWord,ambayounaonaukibofyakitufechaChaguozaWord. NikwenyemenyuambayohufungukawakatiunabofyaKitufechaMicrosoftOffice.
Maonikwamazoezi • Ongezaorodhaaridhishe. • TekelezaMitindoChapu,nafifizanjekuonamabadilikoyote. • BadilimuundowaMtindoChapu. • TumiaUmbizoMpakajirangi. • FanyamabadilikoyajumlanakichupochaWaliowaUkurasa.Kishajaribuvichupozaidi. • Chapishaainazotezanjia.
Jaribio2,swali1 • Unawezatekelezaorodhaaridhishekutumiaamrimatikakundilipikichupokipi?(Chaguajibumoja.) • KatikakundilaAya kwenyekichupochaWaliowaUkurasa. • KatikakundilaAya kwenyekichupochaMaskani. • KatikakundilaIshara kwenyekichupochaChopeka. • KatikakundilaMatinikwenyekichupochaChopeka.
Jaribio2,swali1:Jibu • KatikakundilaAyakwenyekichupochaMaskani. Hapandipounawezatekelezaorodhazozotearidhishe.Kidokezo:UnawezapiatekelezaorodhaaridhishekwakutumiaUpauzanamdogo. Kuwachapu
Jaribio2,swali2 • UnachaguavipichaguozachapishakatikatoleojipyalaWord?(Chaguajibumoja.) • BofyakitufeauUtepewaChapisha. • BofyakitufechaChapishakwenyeUpauzanaUfikioChapu. • TumiaKitufechaMicrosoftOffice. • Aithachaguolakwanzaaupilihapojuu.
Jaribio2,swali2:Jibu • TumiaKitufechaMicrosoftOffice. HapandipounafunguaMwonekoawaliChapavilevile.
Jaribio2,swali3 • Nikonaipiinathibitiffifiza?(Chaguajibumoja.) • Juu-kulia. • Juu-kushoto. • Chini-kushoto. • Chini-kulia. Jiwekechapu
Jaribio2,swali3:Jibu • Chini-kulia. Katikakonayachini-kuliakunauthibitiunaotumiakufifizandaninanje.UnawezapiatumiamenyuyaMwonekokuonavithibitikufifiza.
Funzola3 Orodharahisi
Orodharahisi Orodhanimuhimukwawarakawowote,ikiwaunafupishahabariaukufanyaiwerahusikuelewa. Zebaki Zuhura Dunia Mirihi • Zebaki • Zuhura • Dunia • Mirihi • Zebaki • Zuhura • Dunia • Mwezi • Mirihi • Fobosi • Deimosi Orodhanambanimuhimukwakuoneshahabariyamfulizo.Ikiwahunawasiwasikuhusumfulizo,orodhaaridhisheinawezakuwabora. Orodhazinawezakuwakiwangokimoja,ikiwanavipengeevyenyeurithinamgao;auviwangoanuwai,kumaanishakunaorodhandaniyaorodha.
Undaorodhaunapocharaza Kunazaidiyanjiamojayakuanzaorodha,lakiniinayojulikanazaidinikuundaorodhakiotounapocharaza. Nafasi Kipindi Kipindi A • Zebaki • Zuhura • Dunia • Mirihi Zebaki Zuhura Dunia Mirihi Zebaki Zuhura Dunia Mirihi Ikiwaunahitajiorodhaaridhishe,charazatukinyota(*)ikifuatiwananafasi.Kinyotahuwakiaridhishe,naorodhayakohuanizishwa. Ukishamalizakucharazakipengeechakwanzakatikaorodhayako,bonyezaINGIZA,nakiaridhishekipyakitaonekanakatikamstariufuatao.
Undaorodhaunapocharaza Kunazaidiyanjiamojayakuanzaorodha,lakiniinayojulikanazaidinikuundaorodhakiotounapocharaza. Nafasi Kipindi Kipindi A • Zebaki • Zuhura • Dunia • Mirihi Zebaki Zuhura Dunia Mirihi Zebaki Zuhura Dunia Mirihi Kuundaorodhanambakioto,charazanambamojananukta(1.),ikifuatiwananafasi. HiinimpyakwaWord2007;katikamatoleoyaawali,ilibidiubonyezeINGIZA kablayaorodhakuanza.
Undaorodhaunapocharaza Kunazaidiyanjiamojayakuanzaorodha,lakiniinayojulikanazaidinikuundaorodhakiotounapocharaza. Nafasi Kipindi Kipindi A • Zebaki • Zuhura • Dunia • Mirihi Zebaki Zuhura Dunia Mirihi Zebaki Zuhura Dunia Mirihi Kwasababuorodhayenyeherufinimmojayaorodhanambaanuwai,charazaherufiananukta(a.),ikifuatiwananafasi,kuanzishaorodhayenyeherufi.
Orodhazakuacha Umeingizakipengeechamwishokatikaorodhayako.Umakamilishajeorodhanakukomeshaviaridhisheaunambakuonekana? Pichainaoneshanjiabora. • Zebaki • Zuhura • Dunia • Mirihi • Sumbula • Satanalia • Uranusi • Neptuni • Zebaki • Zuhura • Dunia • Mirihi • Sumbula • Satanalia • Uranusi • Neptuni Ingiza Kibonyenyuma NjiarahisikabisayakukomakuundaorodhanikubonyezaINGIZA marambili,kamailivyooneshwasehemuyakushoto. Ikiwaunahitajikitutofauti,kwamfano,matiniambayoimegawakatikakiwangosawakamamatiniaukiaridhishejuuyake,tumiakitufechaKIBONYENYUMA.
Kufanyakazinaayakatikaorodha;kubandikaorodha Ikiwaunaundaorodhanambaauaridhishenaunahitajibaadhiyavipengeevyaorodhakujumuishandaniyaayandogo,kamailivyooneshwakatikapicha. Ayaambazohazijaorodheshwa Kunanjiaanuwaizakushughulilanatukiohili;unayotumiainategemeahaliyawarakawakonaupendeleowakibinafsi.
Kufanyakazinaayakatikaorodha;kubandikaorodha Ikiwaunaundaorodhanambaauaridhishenaunahitajibaadhiyavipengeevyaorodhakujumuishandaniyaayandogo,kamailivyooneshwakatikapicha. Ayaambazohazijaorodheshwa • UnawezaundaayandogokatikaorodhakwakubonyezaTEUA JUU+INGIZA,kulikotuINGIZA,kukamilishakilafungulamatini. • Kuendelezaorodhabaadayaorodhandogo,charazanambaifuatayokwakipindi;orodhaitaendeleakioto.
Viaridhishenanamba? Umepataainambayayaorodha?Ulianzanaviaridhishelakinisasaunafikirianambarizinge-kuwabora,auvingine? Usijali,nirahisikubadilishakutokakwamojakwendakwanyingine. Maskani Aya Fonti • Zebaki • Zuhura | Bofyatumahalikwaorodhayako,nakishabofyakitufechaViaridhishe auKuwekanamba kwenyeUtepe.
Viaridhishenanamba? Unawezapiatumiavitufehivikuanzaorodhampya. Maskani Aya Fonti • Zebaki • Zuhura AithabofyakitufenaanzakucharazakuundaorodhayakoyakwanzayavipengeeauteuamatiniambayoumecharazanabofyakitufechaViaridhisheauKuwekanambakubadilikilaayakuwakipengeechaorodha.