5.2k likes | 5.94k Views
VITA VYA KIROHO Mapambano na Nguvu za giza Kuteka Baraka zetu kwa Vita. Mwl . Mgisa Mtebe +255 713 497 654, +255 783 497 654 mgisamtebe@yahoo.com www.mgisamtebe.org. VITA VYA KIROHO. ILI KUTEKA BARAKA ZETU KWA VITA NA KUTUWEZESHA KUISHI KWA USHINDI DUNIANI Mathayo 16:18-19 Waefeso 6:10-13.
E N D
VITA VYA KIROHOMapambano na Nguvu za gizaKuteka Baraka zetu kwa Vita Mwl. Mgisa Mtebe +255 713 497 654, +255 783 497 654 mgisamtebe@yahoo.com www.mgisamtebe.org
VITA VYA KIROHO ILI KUTEKA BARAKA ZETU KWA VITA NA KUTUWEZESHA KUISHI KWA USHINDI DUNIANI Mathayo 16:18-19 Waefeso 6:10-13
KANUNI ZA KIROHO Mathayo 16:18-19 18 Nami Nitalijenga Kanisa langu, wala milango ya kuzimu, haitaweza kulishinda. 19 Nami nitawapa funguo za Ufalme wa mbinguni …
KANUNI ZA KIROHO Mathayo 16:18-19 19 … jambo lolote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni (rohoni) …
KANUNI ZA KIROHO Mathayo 16:18-19 19 … na jambo lolote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni (rohoni).
KANUNI ZA KIROHO Waefeso 6:10-13-18 ‘Iweni hodari katika Bwana, na katika Uweza wa Nguvu zake. Vaeni silaha zote za Mungu ili muweze pupambana na hila za mwovu shetani.
Waefeso 6:10-13-18 ‘Kwa maana kushindana kwetu sisi, si juu ya damu na nyama (si vita vya kimwili) bali vita yetu ni ya kupambana na falme za giza, mamlaka za giza, wakuu wa giza na majeshi ya pepo wabaya, katika ulimwengu wa roho.
VITA VYA ROHONI Mathayo 16:18 “Kwahiyo, kuna mashindano (kuna vita), kati ya milango ya kuzimu (nguvu za giza) na kanisa la Bwana Yesu Kristo duniani.” Ufunuo 12:17
VITA VYA ROHONI Chanzo cha vita Vita hii ilitokea Wapi? Ufunuo 12:3-4, 7-12, 17 Ezekieli 28:11-19 Isaya 14:10-15
VITA VYA ROHONI Ufunuo 12:3-4, 7-12, 17 3 “Kisha nikaona ishara nyingine mbinguni; niliona, Joka mkubwa mwekundu, na alikuwa na vichwa saba na pembe kumi …
VITA VYA ROHONI Ufunuo 12:3-4, 7-12, 17 4 “… na huyu joka, katika mkia wake, alikuwa anakokota theluhthi ya nyota za mbinguni (malaika wa Mungu) na kuziangusha katika nchi.
VITA VYA ROHONI Ufunuo 12:3-4, 7-12, 17 7 “Kulikuwa na vita mbinguni, Malaika Mkuu wa majeshi ya Mungu, Malaika Mikaeli, akapigana na yule joka na malaika zake …”
VITA VYA ROHONI Ufunuo 12:3-4, 7-12, 17 8 “Nao hawakushinda, wala mahali pao hapakuonekana tena mbinguni. 9 Yule joka aitwaye ibilisi na shetani, akatupwa duniani, na malalika zake wakatupwa pamoja naye.
VITA VYA ROHONI Ufunuo 12:3-4, 7-12, 17 10 “Nikasikia sauti kuu mbinguni, ikisema, sas kumekuwa wokovu na nguvu na ufalme wa Mungu wetu na mamlaka ya Kristo wake, kwa maana ametupwa chini mshitaki wa ndugu zetu”.
VITA VYA ROHONI Ufunuo 12:3-4, 7-12, 17 11 “Nao wakamshinda yule joka na malaika zake, kwa damu ya mwana kondoo na kwa neno la ushuhuda wao, ambao hawakupenda maisha yao hata kufa”.
VITA VYA ROHONI Ufunuo 12:3-4, 7-12, 17 12 “Kwahiyo shangilieni enyi enyi wote mkaao mbinguni; lakini ole wa ninyi mkaao duniani! Kwa maana yule joka ibilisi, ameshuka kwenu, ana hasira nyingi akijua ana wakati mchache!
VITA VYA ROHONI Ufunuo 12:3-4, 7-12, 17 17 “Joka akamkasirikia yule mwanamke (kanisa), akaenda afanye vita juu wa wazao wake wazishikao amri za Mungu na kuwa na ushuhuda wa Yesu …”
VITA VYA ROHONI Mathayo 16:18 “Nitalijenga kanisa langu, litapambana na milango ya kuzimu (nguvu za giza), na milango ya kuzimu, haitaweza kulishindakanisa langu …”
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Ufunuo 12:27 Shetani anachotafuta ni kumpigabinadamu na mazingira yake, ili kumvurugia Mungu ibada, anayoitamani sana kutoka kwa binadamu, duniani.
SIFA NA IBADA KWA MUNGU Kwanini Ibada? Zaburi 22:3
SIFA NA IBADA KWA MUNGU Zab 22:3 IDABAndiokitu cha kwanza kabisakatikamoyowaMungu, kwasababu MUNGU ANAISHI KATIKA IBADAnaSIFA.
SIFA NA IBADA KWA MUNGU Zaburi 22:3 Wewe U Mtakatifu, nawe “UNAKETI” juu ya sifa za Israel “Inhabit”“Unaishi”
SIFA NA IBADA KWA MUNGU Zab 22:3 IDABAndiokitu cha kwanza kabisakatikamoyowaMungu, kwasababu MUNGU ANAISHI KATIKA IBADAnaSIFA.
SIFA NA IBADA KWA MUNGU KumnyimaMunguibada Ni kamakumnyima • Samakimaji • Mimeaudongo • Binadamuhewa
SIFA NA IBADA KWA MUNGU “Kwa maana, Baba anawatafuta watu wa aina hiyo ili wamwabudu.” (Yohana 4: 23)
SIFA NA IBADA KWA MUNGU Mungu IbadaNchi Adam Zab22:3 Yoh 4:23-24 Kumb 8:6-18 Zab 150:6
KANUNI ZA KIROHO Kusudi la Mungu la awali, ni kumwezesha mwanadamu kuitawala dunia pamoja na Mungu, ili binadamu tuishi maisha mazuri(ya ushindi na mafanikio)na kuwa vyombo vizuri vyakumwabudu Mungu.
SIFA NA IBADA KWA MUNGU Munguanatamani sana kukaanasisiwatotowakehapaduniani, ndiomaanaanatakaduniayoteijazwehaliyaibada (atmosphere) kamailivyombinguni (masaa 24), ilidunianipia, kuwenamazingira ya maishaau ya makazi ya Mungukamailivyombinguni.
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU Mungu anataka watoto wake, tuwe na maisha mazuri, ili tunapopeleka ibada kwa Mungu, ibada hiyo ifike kwa Mungu ikiwa safi (fresh), yaani ibada isiyo na kelele za moyoni (masumbufu).
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU Kutokana na umuhimu na unyeti wa ibada, Mungu hakutaka na hataki watoto wake, tuwe na maisha ya taabu, maisha ya dhiki na maisha ya shida; ili ibada yake isiingiliwe na vurugu zozote.
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Ili Mungu apate ibada nzuri kutoka kwetu, inamlazimu kutubariki na kututengenezea mazingira mazuri, ili tuweze kuwa na maisha mazuri ya kumtumikia yeye kama vyombo vizuri vya ibada.
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU NdiomaanaMungualitumiamudamrefuzaidikuumbaDuniakulikomudaaliotumiakumuumbabinadamumwenyewe. Dunia = siku 5 Adam = siku 1
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU Hii inaonyesha wazi kwamba, Mungu anajali sana mazingira ya maisha yako; kwasababu, ibada nzuri inategemea aina ya maisha ya mtu, na aina ya maisha yanategemea aina ya mazingira anayoishi mtu huyo.
NGUVU YA SADAKA NA IBADA Wakolosai 1:16 16 … vitu vinavyoonekana na vile visivyoonekana, vitu vyote viliumbwa na Yeye na kwa ajili Yake. (rasilimali zote zilimewekwa na Mungu na kwa ajili yake)
SIFA NA IBADA KWA MUNGU Mungu IbadaNchi Adam Zab22:3 Yoh 4:23-24 Kumb 8:6-18 Zab 150:6
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Ibadanzuri hutoka katika moyo uliotulia na pia maisha mazuri; na maisha mazuri huchangiwa sana na mazingira mazuri. Kumbukumbu 8:6-18
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Mazingira yakitibuka, maisha yanatibuka, na maisha yakitibuka, ibadakwa Mungu pia, inatibuka. Kumbukumbu 8:6-18
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Ufunuo 12:27 Shetani anachotafuta ni kumpigabinadamu na mazingira yake, ili kumvurugia Mungu ibada, anayoitamani sana kutoka kwa binadamu, duniani.
VITA VYA ROHONI Mathayo 16:18 “Nitalijenga kanisa langu, litapambana na milango ya kuzimu (nguvu za giza), na milango ya kuzimu, haitaweza kulishindakanisa langu …”
KANUNI ZA KIROHO Waefeso 6:10-13-18 ‘Iweni hodari katika Bwana, na katika Uweza wa Nguvu zake. Vaeni silaha zote za Mungu ili muweze pupambana na hila za mwovu shetani.
Waefeso 6:10-13-18 ‘Kwa maana kushindana kwetu sisi, si juu ya damu na nyama (si vita vya kimwili) bali vita yetu ni ya kupambana na falme za giza, mamlaka za giza, wakuu wa giza na majeshi ya pepo wabaya, katika ulimwengu wa roho.
2Wakorintho 10:3-5 ‘Ingawa tunaenenda kimwili, hatufanyi vita kwa jinsi ya mwili, silaha zetu zina nguvu katika Mungu (roho), tukiteka nyara mawazo na fikra na kila kitu kinachojiinua kinyume na elimu ya Bwana wetu Yesu Kristo.
KANUNI ZA KIROHO Kusudi la Mungu la awali, ni kumwezesha mwanadamu kuitawala dunia pamoja na Mungu, ili binadamu tuishi maisha mazuri(ya ushindi na mafanikio)na kuwa vyombo vizuri vyakumwabudu Mungu.
KANUNI ZA KIROHO Ni mapenzi ya Mungu tuishi maisha ya ushindina mafanikio ili kutimiza kusudi la Mungu na kuishi maisha mazuri kama chombo maalum cha kumsifu na kumwabudu Mungu.
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Ili Mungu apate ibada nzuri kutoka kwetu, inamlazimu kutubariki na kututengenezea mazingira mazuri, ili tuweze kuwa na maisha mazuri ya kumtumikia yeye kama vyombo vizuri vya ibada.
KANUNI ZA KIROHO Kusudi la Mungu la awali, ni kumwezesha mwanadamu kuitawala dunia pamoja na Mungu, ili binadamu tuishi maisha mazuri(ya ushindi na mafanikio)na kuwa vyombo vizuri vyakumwabudu Mungu.
SIFA NA IBADA KWA MUNGU Mungu IbadaNchi Adam Zab22:3 Yoh 4:23-24 Kumb 8:6-18 Zab 150:6
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Ili Mwanadamu aweze kulitimiza Kusudi la Mungu vizuri, Mungu alimpa Mwanadamu Mamlaka ya Kiroho ili Kutawala mazingira yake, ili awe na maisha mazuri ya kumtumikia Mungu kama vyombo vizuri vya ibada.
KANUNI ZA KIROHO Ebrn 11:3, Efes 6:12 Mamlaka ya Kiroho.
MAMLAKA YA KIROHO Mwanzo 1:26-28/Zaburi 8:4-8 Mungu aliitengeneza dunia katika namna kwamba, ulimwengu wa mwili, utatawaliwa kwa mamlaka ya Mungu kutoka katika Ulimwengu waroho.