1 / 259

KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU

KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU. Wazo -Hill Lutheran Church 23-30 May, 1020 Na Mwl . Mgisa Mtebe 0713 497 654. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU. WAEFESO 3:2O MITHALI 4:23. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU. WAEFESO 3:2O

roman
Download Presentation

KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Wazo-Hill Lutheran Church 23-30 May, 1020 Na Mwl. MgisaMtebe 0713 497 654

  2. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU WAEFESO 3:2O MITHALI 4:23

  3. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU WAEFESO 3:2O 20AtukuzweMunguyeyeawezayekutenda mambo yaajabumno (yasiyopimika) kulikoyotetunayo-yawaza au tunayoyaomba, kwakadiri (kwakiwango au kipimo) cha nguvuzake (au uweza wake) utendaokazindaniyetu.

  4. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU MITHALI 4:23 23Zaidiyayote, lindamoyowako,kulikoyoteuyalindayo, maana hukondikozitokako chemchemi za uzima.

  5. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU YOHANA 4:13-14 13Yesuakamjibu, “Kilamtuanaye- kunywamajiyakisimahiki, ataonakiutena. 14Lakini ye yoteanywayemajinitakayompa, hataonakiukamwe. Majinitakayompayatakuwandaniyakechemchemiyamajiyakibubujikauzimawamilele.’’

  6. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU YOHANA 7: 37-39 37SikuileyamwishoyaSikukuu, sikuilekuu, wakatiYesuakiwaamesimamahuko, akapazasautiYakeakasema, “Kama mtu ye yoteanaonakiunaajeKwanguanywe.

  7. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU YOHANA 7: 37-39 38 Ye yoteaniaminiye Mimi, kamamaandikoyasemavyo, mitoyamajiyauzima, itatiririkandaniyake” au (itatiririkakutokeandanimwake.)

  8. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU YOHANA 7: 37-39 39HabarihizoalizisemakwahabariyaRohoMtakatifu,ambaye wale wamwaminiowatampokea; ambayekwawakatihuo, alikuwahajaja, kwasababu Bwana Yesualikuwabadohajatukuzwa (hajaketishwa).

  9. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kumbe … Mito yauzimainayosemwakatika Mithali 4:23 Yohana 4:14 Yohana 7:38-39 nihabarizaRohoMtakatifu

  10. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kumbe … Na kila mtu amwaminiye Yesu Kristo, kama Bwana na Mwokozi wake, ana Roho Mtakatifu wa Mungu ndani yake.

  11. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwa maana hiyo, Kila mtu amwaminiye Yesu Kristo, kama Bwana na Mwokozi wake, anazo Nguvu za Mungu ndani yake.

  12. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Rum 8:9-11 9 IkiwaRoho wa Mungu anakaa ndani yenu, ninyi hamtawaliwi na mwili, bali na Roho.Mtu ye yote ambaye hana Roho wa Kristo (ndani), yeye si wa Kristo.

  13. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Rum 8:9-11 10 Lakini kama Kristo anakaa ndani yenu, miili yenu imekufa kwa sababu ya dhambi, lakini roho zenu zi hai kwa sababu ya haki.

  14. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Rum 8:9-11 11 Nanyi ikiwa Roho wa Mungu aliyemfufua Yesu kutoka kwa wafu anakaa ndani yenu, yeye ataihuisha pia miili yenu ambayo hufa, kwa njia ya Roho Wake akaaye ndani yenu.

  15. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Hivyo basi, Kumbe Chanzo cha nguvu za Mungu si mbinguni kwa Mungu peke yake, bali pia, nguvu za Mungu zaweza kutokeandani yetu; Kwasababu Roho Mtakatifu wa Mungu anaishi ndani mwetu (katika roho zetu).

  16. ROHO MTAKATIFU Na ndio maana Bwana Yesu alisema, yeye akiondoka, atamleta Roho wake ndani yetu, na kwa hiyo, tutaweza kufanya mambo yale yale aliyokuwa anafanya yeye, kwa uweza wa Roho Mtakatifu huyo huyo, aliyekuwa naye Soma Yohana 16:6-7 na Yoh 14:12

  17. ROHO MTAKATIFU Yohana 16:6-7 6Kwasababunimewaambia mambo haya, mioyoyenuimejawanahuzuni. 7 Lakiniaminnawaambia, yafaa Mimi niondoke, kwakuwanisipoondoka, huyoMsaidizihatakujakwenu, lakininikiendanitamtuma

  18. ROHO MTAKATIFU Yohana 14:12 “12 Amin, amin, nawaambia, ye yote aniaminiye Mimi, kazi nizifanyazo yeye atazifanya, naam na kubwa kuliko hizi atazifanya, kwa sababu Mimi ninakwenda kwa Baba.

  19. ROHO MTAKATIFU 1 Yohana 4:13-14,17 Kwasababu Yesu ametushirikisha Roho wake (ametupa), basi kama yeye alivyo (mwenye nguvu na uweza wa ajabu), ndivyo na sisi tulivyo, ulimwenguni humu (kwasababu ya Roho wake)

  20. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Ni muhimusanaujifunzeiliujue, nikwanamnaganinguvuzaMunguzinafanyakazikutokandanimwetu (mechanism). Kutokujua (Kutokuwanaufahamu) kutazuiautendajikaziwanguvuzaMungukutokandaniyako.

  21. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwa huduma mbalimbali za Mitume, Manabii, Wainjilisti, Wachunaji na Waalimu, ambazo Kristo Yesu ameziweka katika kanisa lake, sisi waumini wa kawaida, tunatakiwa kufundishwa na kufundishika ili tukue kiroho mpaka kufika katika cheo au kiwango cha Bwana Yesu.

  22. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Waefeso 4:11-14 11 Yeye ndiye aliyeweka wengine kuwa mitume, wengine kuwa manabii, wengine kuwa wainjilisti, wengine kuwa wachungaji na wengine kuwa walimu,

  23. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Waefeso 4:11-14 12 kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu kwa ajili ya kazi za huduma, ili kwamba mwili wa Kristo upate kujengwa na kuimarika.

  24. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Waefeso 4:11-14 13… mpakasotetutakapoufikiaumojakatikaimaninakatikakumjuasanaMwanawaMungu, nakuwawatuwazimakwakufikiakipimo cha ukamilifuwaKristo.

  25. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Waefeso 4:11-14 14Ili tusiwetenawatotowachanga, tukitupwatupwahukunahukunakuchukuliwanakilaupepowamafundishokwahilazawatu, kwaujanja, kwakufuatanjiazaozaudanganyifu.

  26. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Warumi 8:28-30 29 Ni kusudi la Mungu na ni mpango wa Mungu tangu awali, kwamba, sisi sote tuishi na kutembea katika kiwango kile kile kinachofanana na cha Bwana Yesu; yaani kwa nguvu na uweza ule ule kama wa Yesu.

  27. ROHO MTAKATIFU 1 Yohana 4:13-14,17 Kwasababu Yesu ametushirikisha Roho wake (ametupa), basi kama yeye alivyo (mwenye nguvu na uweza wa ajabu), ndivyo na sisi tulivyo, ulimwenguni humu (kwasababu ya Roho wake)

  28. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Ndiomaanakatika Waefeso 1:18-23 Mtume Paul alituombeakwaMunguakisema, “… Macho yamioyoyenuyatiwenuru, mpatekujua … (1) Tumainitulilonalo, na (2) Utajiritulionao, na (3) Nguvutulizonazo, zinazotendakazindanimwetu”

  29. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Waefeso 1:18-23 … Nguvuhizo,nizilezilezilizotumikakatikakumtoaYesuKristokutokakatikawafunakumuwekakatika, kiti cha enzi, mkonowakuumewaMungu Baba Mwenyezi

  30. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Waefeso 1:18-23 … juu sana kuliko, majina yote, vyeo vyote, mamlaka zote, sultani zote, nguvu zote na falme zote, za ulimwengu huu, na ule ujao pia.

  31. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwa Kutokujua (Kutokuwa na ufahamu huu) watu wa Mungu wengi kutazuia utendaji kazi wa nguvu za Mungu kutoka ndani yao. Nguvu kubwa sana za Mungu zinabaki ndani yao zimelala (hazijatumika).

  32. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Na matokeoyakenikwamba, watuwaMunguwengiwanahangaikanakutumiamudamwinginagharamakubwa, kukimbia-kimbiakushotonakuliakutafutamsaadanamaombi, wakatindaniyaowameachanguvukubwasanazaMunguzimelala (hazijatumika).

  33. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Hosea 4:6 Watuwanguwanaangamiakwakukosamaarifa. Kwasababunimekupamaarifa, naweumeyakataa, basinamiminimekukataawewe; kwakuwaumenisahaumimi, basinamiminitawasahauwatotowako.

  34. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kumbe … Kila mtu amwaminiye Yesu Kristo, kama Bwana na Mwokozi wake, ana Roho Mtakatifu wa Mungu ndani yake; kwahiyo, anazo Nguvu za Mungundani yake.

  35. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Waefeso 4:11-14 inasema Tunatakiwakutuwekiroho, tutokekwenyekutokujua, ilitusiwetenawatotowachanga, tukitupwatupwahukunahukunakuchukuliwanakilaupepowamafundishokwahilazawatu, kwaujanja, kwakufuatanjiazaozaudanganyifu.

  36. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Waefeso 4:11-14 11 Yeye ndiye aliyeweka wengine kuwa mitume, wengine kuwa manabii, wengine kuwa wainjilisti, wengine kuwa wachungaji na wengine kuwa walimu,

  37. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Waefeso 4:11-14 12 kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu kwa ajili ya kazi za huduma, ili kwamba mwili wa Kristo upate kujengwa na kuimarika.

  38. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Waefeso 4:11-14 13… mpakasotetutakapoufikiaumojakatikaimaninakatikakumjuasanaMwanawaMungu, nakuwawatuwazimakwakufikiakipimo cha ukamilifuwaKristo.

  39. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Waefeso 4:11-14 14Ili tusiwetenawatotowachanga, tukitupwatupwahukunahukunakuchukuliwanakilaupepowamafundishokwahilazawatu, kwaujanja, kwakufuatanjiazaozaudanganyifu.

  40. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo … Kila mtu amwaminiye Yesu Kristo, kama Bwana na Mwokozi wa maisha yake, ana Nguvu za Mungundani yake;Kwasababu Roho Mtakatifu ndiye mwenye Nguvu za Mungu.

  41. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Hivyo basi, Kumbe Chanzo cha nguvu za Mungu si mbinguni kwa Mungu peke yake, bali pia, nguvu za Mungu zaweza kutokeandani yetu; Kwasababu Roho Mtakatifu wa Mungu anaishi ndani mwetu (katika roho zetu).

  42. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU “Ndani yetu” maana yake nini?

  43. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mwanzo 2:7, inasema ‘Bwana Mungu akafanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akapuliza puani pumzi iliyo hai, mtu akawa nafsi hai’.

  44. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mavumbi, Nafsi, Pumzi Mwili Nafsi Roho

  45. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo, from Mwanzo 2:7 Mwanadamuni 1. Mwili 2. Nafsi 3. Roho

  46. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwa uhalisi kabisa, iko hivi; Roho Nafsi Mwili

  47. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mavumbi, Nafsi, Pumzi Mwili Nafsi Roho

  48. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Biblia inatuonyesha wazi kwamba, Wewe na mimi si mwili Bali; Wewe na mimi ni roho

  49. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU 2Petro 1:13-15 13 Naona ni vema kuwaamsha kwa kuwakumbusha mambo haya wakati wote niwapo katika maskani hii (hema hili) ambalo ni mwili wangu.

  50. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU 2Petro 1:13-15 14 Kwa sababu najua ya kwamba karibuni niweka kando maskani hii, kama Bwana wetu Yesu Kristo alivyokwisha nionyesha.

More Related