1 / 28

Reflections

Reflections. JIPIME KIWANGO CHA KUJITAMBUA. Wasiojitambua ni akina nani ?. Wasiojitambua ni wale ambao wamenyang’anywa uwezo wao wa Kuamua This is because their reasoning capacity has been Derailed! Hawana hata uwezo wa kujuwa kama hawa – amui mambo yao . Wao hujiona wanaamua !

varian
Download Presentation

Reflections

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. Reflections JIPIME KIWANGO CHA KUJITAMBUA

  2. Wasiojitambuaniakinanani? • Wasiojitambuani wale ambaowamenyang’anywauwezowaowaKuamua • This is because their reasoning capacity has been Derailed! • Hawanahatauwezowakujuwakamahawa –amui mambo yao. Waohujionawanaamua! • Hilijamboni serious..TazamaNukuuifuatayo

  3. Is very serious! • "Never again will you be capable of ordinary human feeling. Everything will be dead inside you. Never again will you be capable of love, or friendship, or joy of living, or laughter, or curiosity, or courage, or integrity. You will be hollow. We shall squeeze you empty and then we shall fill you with ourselves", George Orwell

  4. Ukishakuwa HOLLOW, unaingiziwa program kichwanikwako • Hapouwezowakibinadamunavipawahuondokanamaamuzihufuata program iliyokokichwanimwako. • Wengikatikawalioathirikawanashindwakufanya mambo yamsingikabisaambayokidesturiwanajuwanimazuri...mfano..

  5. Mlinganowawanyamanabinadamu

  6. Nanihajitambui? Alamazake • Huwezikujikosoaunaonamapungufukwingine • Hutimiziahadi • Unasemauwongo • Huwezikujituma • UnalalamikasanaHuchukuihatua • Hunasubira, • Huwahieneounalohitajika • Huwezikudumishajambojema (mf. Mazoezi, sunank) • Unanasakwenye agenda zawengine (Ushabikiwampira, mziki, kamari, pool nk) • Unakataa/pendajambo/hoja/kitukablayakutathminiNk, nk....

  7. Ukishakuwa “HOLLOW” unaingiakatikaayahii • HakikavinyamaviovumbeleyaMwenyeziMunguni vile viziwinabubu visiotumiaakilizao. (Anfaal 22)

  8. TUNATAKA MAFANIKIO? • KUONDOSHA HALI MBAYA KUWA NZURI. • LAZIMA TUBADILIKE • HakunaMfumomwingineisipokuwauliopokatikaQurani13:11 • LakiniTunaielewavema 13:11?

  9. Kablaya 13:11 “Na hikiKitabu, tumekuteremshiawewe, kimebarikiwa, iliwazizingatieAyazake, nawawaidhikewenyeakili”. (Saad: 29)

  10. Kupotezareasoningndiyokutokujitambuakwenyewe!! • "...In this, behold, there are messages indeed for people who think." [39:42] • "Thus clearly do We spell out these messages unto people who use their reason." [30:28]

  11. Somohiliniutekelezajiwaaya 13:11

  12. Ukionaunapatataabukupatamajibuyamaswalihaya ....KiwangoChako cha kujitambuakikochinisana (...%)

  13. BaadhiyaMaswaliyaKujipimaKiwango cha Reasoning power yako

  14. Jitambue 1:Kuna mtegoganikatikapichahii?!

  15. Jitambue 2 • Muhammad (saw), when given an opportunity to have the Taif people cursed, he prayed that they are forgiven! • What Universal principle did he apply?

  16. Jitambue 3 • Mtunamwanayewamepataajalimbayasana. Baba amefarikinamtotoanawahishwahospitalikatika ICU. Baadayakufika, Doctor wa ICU anamkaguanakusema “huyunamtotowangu” kwamsaadawakalamunakaratasituambie Doctor ninani?

  17. Jitambue 4 • Yusuf (as) was able to recognise his brothers even after many years. His brothersdid not recognise him! What connected him to them that did not connect them to him?

  18. Jitambue 5 • Pyramid kubwalimegeuzwajuu-chininalimesimamishwawima. Katikanchayakeyachinilimelalianotiyashs 10,000. Unawezajekuiondoshanotihiyobilakuliangusha? Elezeavemampangowakonajinsiutakayotekeleza.

  19. Jitambue 6 • Kwaniniduayamzazi, duayamwenyekudhulimiwahumpatamuhusika? • Kanuniganiinahusika?

  20. Jitambue 7 • TunashauriwaMtotoanapozaliwaaadhiniwekatikasikio la kulianakukimiwasikio la kushoto Unafikirinikwanini?

  21. Jitambue8 • Ukimuinamianakumkodolea macho mtualiyelalafofofomtuhuyo....(ipisahihi) • Huanzakukoroma • Huamka • Inategemeanaainayagodoro ....Kwanini?

  22. Jitambue 9Ni viboxvingapivinamaandishi?

  23. Jitambue 10Unafikirimajiyapinimasafi?

  24. Jitambue 11Unawezakusomahapa? • "Aoccdrnig to a rscheearch at CmabrigdeUinervtisy, it deosn'tmttaer in wahtoredr the ltteers in a wrod are, the olnyiprmoetnttihng is taht the frist and lsatltteer be at the rghitpclae. The rset can be a toatlmses and you can sitllraed it wouthitporbelm. Tihs is bcuseae the huamnmniddeos not raed…….. • =======Did you reflect anything==========

  25. Jitambue 12 • Abiria11 walibahatikakushikiliaboyamojakatikameliiliyozamaya MV Spices. Hapoilikuwasaa 8 usiku. Ilipofikasaa 1:30 asubuhihelikoptailipitanakuwaokoa. Waliokutwabadowameshikiliaboyaniwatatutu! • UnafikirinijamboganililichangiawenginekuliachiaboyanakufakablayauokoziikiwaWotewalikuwanahalinzurimwanzoni • Elezakwakifupisayansiinayosimamiajambohili (toamifanoikiwezekana)

  26. Jitambue 13 • Kikawaidamtuanapokataroho, hutokwanahajakubwa. Unafikirinikwanini?

  27. Jitambue 14 • Jafaramerudinyumbanitokaofisiniakiwahanafurahakabisa. Usiku wake Jafaranaotaanafukuzwananyatimkali. Cha ajabunyatihuyualikuwaanafokalakinisautiiliyokuwainatokaniyamzikiambaoJafaranaufahamuvema. Unawezakutoamaelezoyanayowezakusababishandotoyanamnahii?.

More Related