1 / 493

IMANI YA USHINDI ‘ Nguvu ya Mungu Ndani Yetu Kumiliki na Kutawala Dunia. ’

IMANI YA USHINDI ‘ Nguvu ya Mungu Ndani Yetu Kumiliki na Kutawala Dunia. ’. Mwl . Mgisa Mtebe +255-713-497-654 www.mgisamtebe.org. KANUNI ZA KIROHO ZA MAISHA YA USHINDI. IMANI YA USHINDI 1Yohana 5:4. IMANI YA USHINDI. 1Yohana 5:1-4

agrata
Download Presentation

IMANI YA USHINDI ‘ Nguvu ya Mungu Ndani Yetu Kumiliki na Kutawala Dunia. ’

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. IMANI YA USHINDI‘Nguvu ya Mungu Ndani Yetu Kumiliki na Kutawala Dunia.’ Mwl. Mgisa Mtebe +255-713-497-654 www.mgisamtebe.org

  2. KANUNI ZA KIROHO ZA MAISHA YA USHINDI IMANI YA USHINDI 1Yohana 5:4

  3. IMANI YA USHINDI 1Yohana 5:1-4 1‘Kila mtu anayeamini kwamba, Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu, amezaliwa na Mungu…’ (Zab 82:6, Yoh 10:34-36)

  4. IMANI YA USHINDI 1Yohana 5:1-4 4 Kwa maana, kila kitu kilichozaliwa na Mungu, huushinda ulimwengu, na huku ndiko kushinda, kuushindako ulimwengu, ni hiyo Imani yetu.”

  5. IMANI YA USHINDI Ndani ya kila mtoto wa Mungu, kuna Sura na Mfano wa Mungu, (yaani asili ya Mungu) ambayo inakupa asili ya ushindi ndani yako, dhidi ya kila upinzani wa adui shetani maishani mwako.

  6. KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI 2Petro 1:3-4 3 KwakuwaUweza wakewauunguumetupatia(au nguvuzakezauunguzimetupatia) mambo yotetunayohitajikwaajiliyamaishanautakatifu, kwakumjuaYeyealiyetuitakwautukufu Wake nawema Wake mwenyewe.

  7. KUTEMBEA KWA IMANI 2Petro 1:3-4 4 Kwasababuhiyo, Munguametukirimiaahadizakekuunazathamani, ilikwakupitiahizotupatekuwawashirikiwatabiazauungu,tukiokolewanauharibifu (au upotovu) uliokodunianikwasababuyatamaa.

  8. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU 1Yohana 5:4 Ikiwa imani ndiyo siri ya ushindi wetu duniani na ikiwa imani ndio kitu kinachokufanya uwe rafiki wa Mungu ili kutembea naye duniani; …

  9. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU MtuwaMungu, hatawezakuishimaishayaushindianaostahili, kamahatakuwanaufahamunaujuziwanamnaimaniinavyofanyakazi, kuletmabadiliko.

  10. KANUNI ZA KIROHO Warumi 8:37 ‘Na katika mambo yote, tunashinda na zaidi ya kushinda kupitia Kristo Yesu aliyetupenda’ (katika yote, sisi ni washindi na zaidi yawashindi, kupitia Yesu Kristo aliyetupenda)

  11. KANUNI ZA KIROHO Zaburi 1:1-3 ‘Heri mtu yule asiye kwenda katika shauri la wasio haki, bali sheria ya Bwana ndiyo inayompendeza, atakuwa kama mti kando ya mto, na kila jambo alifanyalo, litafanikiwa.

  12. KANUNI ZA KIROHO 1Yoh 5:4, Rum 8:37 Lakini pamoja na kwamba Neno la Mungu linatuahidi Ushindi wa Yesu msalabani, kwamba ndio uwe ushindi wetu sisi tuaminio, lakini bado waumini wengi tunaishi maisha ya kushindwa.

  13. KANUNI ZA KIROHO Zipo sababu nyingi; Lakini moja ya sababu kubwa, ni kutojua namna ya kutishi kwa Imani, kitu ambacho kinasababisha kuzimika kwa nguvu za Mungu maishani mwetu.

  14. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Tulijifunza… Kila mtu aliyempokea Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wa maisha yake, ana (jenereta) chanzo cha nguvu za Mungu, ndani yake,yaaniRoho Mtakatifu.

  15. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Huyu Roho Mtakatifu, anachohitaji kwako, niwewekumtengenezea mazingira fulani fulani tu ndani yako, ili yeye ndiye afanye kazi ya kuzalisha nguvu za Mungu kutoka ndani yako.

  16. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kanuni za kiroho, ni mambo ambayo, tukiyaweka kwa pamoja ndani yetu, kwa kiwango kinachotakiwa, zitasababisha Roho wa Mungu aliye ndani yetu, kuzalisha nguvu za Mungu.

  17. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Hii ina maana kwamba … Utendaji wa mkono wa Mungu maishani mwako, unategemea sana kiwango cha Nguvu za Mungu kinachotenda kazi ndani yako.

  18. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU USHIRIKA WA MUNGU NA BINADAMU KATIKA KUITAWALA DUNIA 1Wakorintho 3:9

  19. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU 1Wakorintho 3:9 9 Kwa maana sisi tu watenda kazi pamoja na Mungu. (kwa ushindi na mafanikio)

  20. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Warumi 8:28-30 28 Na kwahiyo basi, katika mambo yote, Mungu hufanya kazi pamojana wale wampendao, katika kuwapatia mema. (ushindi, faida na mafanikio)

  21. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo; Ikiwa tutatengeneza au tutazalisha Nguvu kidogo za Mungundani yetu, tutauzuia mkono wa Mungu kufanya mambo mengi na makubwa anayotaka kufanya maishani mwetu.

  22. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Lakini … Ikiwa tutatengeneza au tutazalisha Nguvu za Mungu kwa wingi (za kutosha) ndani yetu, tutauwezesha mkono wa Mungu kufanya mambo mengi na makubwa anayotaka kufanya.

  23. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Ukweli ni Kwamba … Mungu anaweza kufanya kila kitu pasipo msaada wa binadamu, lakini alichagua tu, kufanya kazi kwa ushirika na binadamu; kwahiyo, kuna ‘partnership’ kati ya Mungu na binadamu katika kutawala dunia.

  24. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mfano (1); Kifo cha Yakobo na Ukombozi wa Petro gerezani Matendo 12:1-19

  25. Matendo 12:1-19 Kifo cha Yakobo na Ukombozi wa Petro Yakobo alipokamatwa, Kanisa hawakufanya maombi, motokea yake akachinjwa. Lakini Petro alipokamatwa, kanisa likaomba kwa bidii, na Mungu akamkomboa Petro kutoka gerezani. Unadhani Kwanini?

  26. Matendo 12:1-19 Kifo cha Yakobo na Ukombozi wa Petro Si kwamba Mungu anampenda Petro kuliko Yakobo. Bali hii inaonyesha wazi kwamba, Utendaji kazi wa mkono wa Mungu maishani mwako, unategemea sana kiwango cha Nguvu za Mungu unachozalisha (kinachotenda kazi) ndani yako.

  27. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mfano (2); Ushindi wa Joshua vitani Kwa maombi ya Musa Mlimani Kutoka 17:8-15

  28. Matendo 12:1-19 Ushindi wa Joshua, Maombi ya Musa Musa alikunyanyua mikono yake kwa maombi, Joshua na jeshi la Israeli walikuwa wakishinda vitani, Lakini Musa alichoshusha mikono (kuacha kuomba) Joshua na jeshi la Israeli walikuwa wakipigwa (wakishindwa). Unadhani Kwanini?

  29. Matendo 12:1-19 Ushindi wa Joshua, Maombi ya Musa Hii haikuwa bahati nzuri au mbaya; Bali hii inaonyesha wazi kwamba, Utendaji kazi wa mkono wa Mungu maishani mwako, unategemea sana kiwango cha Nguvu za Mungu unachozalisha (kinachotenda kazi) ndani yako. Unadhani Kwanini?

  30. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mfano (3); Maombi ya Musa katika kumruhusu Mungu kufungua bahari ya Shamu Kutoka 14:15-28

  31. Kutoka 14:15-28 Fimbo ya Musa na Bahari ya Shamu Mungu hakuifungua bahari akasubiri mpaka Musa aliponyoosha fimbo yake (maombi) baharini (tatizo lake); ndipo Mungu akasaba- bisha upepo mkali uliochana bahari na kufanya ukuta 2 za maji. Israeli wakapita nchi kavu. Unadhani Kwanini?

  32. Kutoka 14:15-28 Fimbo ya Musa na Bahari ya Shamu Mungu hakuifunga bahari, akasubiri mpaka Musa aliponyoosha tena fimbo yake (maombi) baharini (tatizo lake); ndipo Mungu akasababisha upepo kukatika na maji ya bahari yakarudi na kuwaangamiza jeshi lote la Misri. Unadhani Kwanini?

  33. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU USHIRIKA WA MUNGU NA BINADAMU KATIKA KUITAWALA DUNIA 1Wakorintho 3:9

  34. IMANI YA USHINDI Nahumu 1:9 Kuna wakati, katika baadhi ya mambo, Utendaji kazi wa Nguvu za Mungu katika kuzuia mateso ya shetani unategemea sana namna unavyowaza (imani).

  35. IMANI YA USHINDI Nahumu 1:9 Ukiwa na mawazo hasi (negative) yasio na Imani unaweza kuzuia msaada wa Mungu katika maisha yako ya kila siku, pale anapotaka kukomesha mateso ya adui.

  36. IMANI YA USHINDI Nahumu 1:9 Ukiwa na mawazo chanya (positive) yenye Imani unaweza kuruhusu msaada wa Mungu katika maisha yako ya kila siku, pale anapotaka kukomesha mateso ya adui.

  37. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Ukweli ni Kwamba … Mungu anaweza kufanya kila kitu pasipo msaada wa binadamu, lakini alichagua tu, kufanya kazi kwa ushirika na binadamu; kwahiyo, kuna ‘partnership’ kati ya Mungu na binadamu katika kutawala dunia.

  38. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mwanzo 1:26,18 26 Tufanye mtu kwa sura yetu na kwa mfano wetu wakatawale dunia na vyote tulivyoviumba juu ya uso wa dunia.

  39. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mwanzo 1:26-18 28 Mungu akaumba Mwanaume na Mwanamke, akawaweka katika bustani ya dunia, akawaambia, zaeni mkaongezeke na kuitawala (kuitiisha) dunia.

  40. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Zaburi 115:16 Mbingu ni mbingu za Bwana, bali nchi amewapa wanadamu Isaya 45:11 … kwa habari ya kazi za mikono yangu, haya niagizeni (niamuruni)

  41. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mathayo 16:18-19 19 Kwa maana nitawapa funguo za Ufalme, na mambo mtakayoyafunga (ninyi) yatakuwa yamefungwa (mbinguni), na mambo mtakayoyafungua (ninyi) yatakuwa yamefunguliwa (mbinguni)

  42. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mathayo 16:18-19 18 Na milango ya kuzimu haitaweza kulishinda kanisa langu nitakalolijenga (kwa mfumo huu).

  43. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU WAEFESO 3:2O 20 … Mungu anaweza kutenda mambo yote, kwa kadiri (kwa kiwango au kwa kipimo) cha Nguvu zake kinachotenda kazi ndani yetu.

  44. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo … Kanuni = Imani = Nguvu

  45. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo … Kuna baadhi ya mambo maishani mwetu, Mungu hawezi kuyafanya, ikiwa hatutengeneza au hatutazalisha Nguvu za Mungu za kutosha, ndani yetu.

  46. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Ni Kwasababu … Kwahiyo Utendaji wa mkono wa Mungu maishani mwako, unategemea sana kiwango cha Nguvu za Mungu kinachotenda kazi ndani yako.

  47. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU USHIRIKA WA MUNGU NA BINADAMU KATIKA KUITAWALA DUNIA 1Wakorintho 3:9

  48. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Utangulizi; Yesu na Pepo Sugu Mathayo 17:9-20.

  49. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mathayo 17:9-20 Yesu aliposhuka kutoka mlimani, alikuta umati mkubwa wa watu ukimsubiri. Baba mmoja akamwangukia Yesu miguuni na kumsihi akisema …

  50. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mathayo 17:9-20 Bwana, ninaomba umponye mwanangu, ana pepo la kifafa; mara nyingi limemwangusha katika maji na katika moto, ili kumdhuru, lakini amesalimika …

More Related