1 / 709

KUUFAHAMU NA KUUTAWALA ULIMWENGU WA ROHO KWA

KUUFAHAMU NA KUUTAWALA ULIMWENGU WA ROHO KWA. NGUVU YA MAOMBI MKESHA WA MAOMBI - MAGOMENI AIC (T) Tarehe 16, Sept. 2011 Mwl. Mgisa Mtebe 0713 497 654. NGUVU YA MAOMBI. Marko 11:12-14 12 Kesho yake walipokuwa wakitoka Bethania , Yesu alikuwa na njaa . . NGUVU YA MAOMBI.

emily
Download Presentation

KUUFAHAMU NA KUUTAWALA ULIMWENGU WA ROHO KWA

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. KUUFAHAMU NA KUUTAWALA ULIMWENGU WA ROHO KWA NGUVU YA MAOMBI MKESHA WA MAOMBI - MAGOMENI AIC (T) Tarehe 16, Sept. 2011 Mwl. Mgisa Mtebe 0713 497 654

  2. NGUVU YA MAOMBI Marko 11:12-14 12KeshoyakewalipokuwawakitokaBethania, Yesualikuwananjaa.

  3. NGUVU YA MAOMBI Marko 11:12-14 13Alipouonamtinikwambali, akaendailiaonekamaulikuwanamatunda. Alipoufikia, akakutaunamajanitu, kwakuwahayakuwamajirayatini.

  4. NGUVU YA MAOMBI Marko 11:12-14 14 Yesuakauambiaulemti, ‘‘Tanguleomtu ye yotenaasilematundakutokakwakotena.’’ Wanafunzi Wake walimsikiaakisemahayo.

  5. NGUVU YA MAOMBI Marko 11:20-24 20 Asubuhiyake, walipokuwawakipita, wakauonaulemtiniumenyaukakutokajuuhadikwenyemiziziyake.

  6. NGUVU YA MAOMBI Marko 11:20-24 21 Petro akakumbukanakumwambiaYesu, “Mwalimu, tazama! Ulemtiniulioulaaniumenyauka!

  7. NGUVU YA MAOMBI Marko 11:20-24 22Yesuakawajibuakawaambia, “MwamininiMungu. 23 Amin, aminnawaambia, mtu ye yoteatakayeuambiamlimahuu ‘Ng’okaukatupwebaharini,’…

  8. NGUVU YA MAOMBI Marko 11:20-24 23 …walaasioneshakamoyonimwake, baliaaminikwambahayoasemayoyametukia, yatakuwayake. 24Kwasababuhiyonawaambia, yoyotemyaombayomkisali, amininiyakwambamnayapokeanayoyatakuwayenu.

  9. NGUVU YA MAOMBI Marko 11:20-24 23 …walaasioneshakamoyonimwake, baliaaminikwambahayoasemayoyametukia, yatakuwayake. SasaBaadaye

  10. NGUVU YA MAOMBI Marko 11:20-24 24yoyotemyaombayomkisali, amininiyakwamba mnayapokeanayoyatakuwayenu. SasaBaadaye

  11. NGUVU YA MAOMBI Utendaji wa mkono wa Mungu maishani mwako, unategemea sana kiwango cha Nguvu za Mungu kinachotenda kazi ndani yako, yaani kiwango cha maombi unachofanya maishani mwako.

  12. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Maombi ni namna mojawapo ya kuzalisha Nguvu za Mungu zinazohitajika ili kutuwezesha kuishi maisha ya ushindi na mafanikio duniani. Waefeso 3:20

  13. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kuna kiwango maalum kinachohitajika ili Mungu aweze kufanya mambo aliyoyakusudia duniani. Waefeso 3:20

  14. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU WAEFESO 3:2O 20 Atukuzwe Mungu, yeye awezaye kutenda mambo ya ajabu mno (yasiyopimika) kuliko yote tunayo-yawaza au tunayoyaomba…

  15. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU WAEFESO 3:2O 20 … Mungu anaweza kutenda mambo ya ajabu mno … lakini ni kwa kadiri ( ni kwa kiwango au ni kwa kipimo) cha nguvu zake kinachotenda kazi ndani yetu.

  16. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Hii ina maana kwamba … Utendaji wa mkono wa Mungu maishani mwako, unategemea sana kiwango cha Nguvu za Mungu kinachotenda kazi ndani yako.

  17. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo … Kuna baadhi ya mambo maishani mwetu, Mungu hawezi kuyafanya, ikiwa hatutengeneza au hatutazalisha Nguvu za Mungu za kutosha, ndani yetu.

  18. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo … ***… ikiwa tutatengeneza au tutazalisha Nguvunyingiza Mungu ndani yetu, tutauwezesha mkono wa Mungu, kufanya mambo mengi na makubwa, aliyokusudia.

  19. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Lakini … ***… ikiwa tutatengeneza au tutazalisha Nguvukidogoza Mungu ndani yetu, basi tutauzuia mkono wa Mungu, kufanya mambo mengi na makubwa aliyokusudia.

  20. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mfano (1); Kifo cha Yakobo na Ukombozi wa Petro gerezani Matendo 12:1-19

  21. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mfano (2); Ushindi wa Joshua vitani Kwa maombi ya Musa Mlimani Kutoka 17:8-15

  22. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo, Maombini njia mojawapo inayofungulia nguvu za Mungu katika maisha ya mtu wa Mungu, ili kumwezesha mtu huyo kuishi maisha ya ushindi na mafanikio katika maisha.

  23. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU ***… ikiwa tutaongeza kiwango cha maombi maishani mwetu, tutatengeneza au tutazalisha Nguvunyingiza Mungu ndani yetu, na kuuwezesha mkono wa Mungu kufanya mambo mengi maishani mwetu.

  24. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU ***… tukipunguza kiwango cha maombi maishani mwetu, tutashindwa kutengeneza au kuzalisha Nguvunyingiza Mungu ndani yetu, na kuuzuia mkono wa Mungu kufanya mambo mengi maishani mwetu.

  25. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Ni Kwasababu … Kwahiyo Utendaji wa mkono wa Mungu maishani mwako, unategemea sana kiwango cha Nguvu za Mungu kinachotenda kazi ndani yako.

  26. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo … Kuna baadhi ya mambo maishani mwetu, Mungu hawezi kuyafanya, ikiwa hatutengeneza au hatutazalisha Nguvu za Mungu za kutosha, ndani yetu.

  27. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kuna mambo mengi sana maishani mwetu, tumeyabatiza kwamba ni mapenzi ya Mungu, kumbe hayakuwa mapenzi ya Mungu, lakini ukweli ni kwamba, sisi binadamundio tunaohusika katika kusababisha mambo hayo kufanyika au kutofanyika.

  28. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo … Kuna mambo mengi sana maishani mwetu, tumemsingizia Mungu, wakati kumbe sisi binadamu, ndio tunaohusika katika kusababisha mambo hayo kufanyika au kutofanyika.

  29. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mfano (3); Maombi ya Musa katika kumruhusu Mungu kufungua bahari ya Shamu Kutoka 14:15-28

  30. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU ‘Musa usinililie mimi; si kazi yangu kufungua bahari, bali ni yako; mimi nipo tu kukuwezesha; nyoosha fimbo yako baharini, ndipo nguvu zangu zitaingia kazini kukusaidia na kukuwezesha’. Kutoka 14:15-28

  31. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mathayo 16:18-19 19 Kwa maana nitawapa funguo za Ufalme, na mambo mtakayoyafunga (ninyi) yatakuwa yamefungwa (mbinguni), na mambo mtakayoyafungua (ninyi) yatakuwa yamefunguliwa (mbinguni)

  32. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Ukweli ni Kwamba … Mungu anaweza kufanya kila kitu pasipo msaada wa binadamu, lakini alichagua tu, kufanya kazi kwa ushirika na binadamu; kwahiyo, kuna ‘partnership’ kati ya Mungu na binadamu katika kutawala dunia.

  33. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU 1Wakorintho 3:9 9 Kwa maana sisi tu watenda kazi pamoja na Mungu. (kwa ushindi na mafanikio)

  34. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Warumi 8:28-30 28 Na kwahiyo basi, katika mambo yote, Mungu hufanya kazi pamojana wale wampendao, katika kuwapatia mema. (ushindi, faida na mafanikio)

  35. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mwanzo 1:26,18 26 Tufanye mtu kwa sura yetu na kwa mfano wetu wakatawale dunia na vyote tulivyoviumba juu ya uso wa dunia.

  36. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mwanzo 1:26-18 28 Mungu akaumba Mwanaume na Mwanamke, akawaweka katika bustani ya dunia, akawaambia, zaeni mkaongezeke na kuitawala (kuitiisha) dunia.

  37. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Zaburi 115:16 Mbingu ni mbingu za Bwana, bali nchi amewapa wanadamu Isaya 45:11 … kwa habari ya kazi za mikono yangu, haya niagizeni (niamuruni)

  38. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mathayo 16:18-19 19 Kwa maana nitawapa funguo za Ufalme, na mambo mtakayoyafunga (ninyi) yatakuwa yamefungwa (mbinguni), na mambo mtakayoyafungua (ninyi) yatakuwa yamefunguliwa (mbinguni)

  39. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mathayo 16:18-19 18 Na milango ya kuzimu haitaweza kulishinda kanisa langu nitakalolijenga (kwa mfumo huu).

  40. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Maombi Ni njia mojawapo inayofungulia nguvu za Mungu katika maisha ya mtu wa Mungu, ili kumwezesha mtu huyo kuishi maisha ya ushindi na mafanikio katika mambo yake yote.

  41. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo … ***… ikiwa tutaongeza kiwango cha maombi maishani mwetu, tutatengeneza au tutazalisha Nguvunyingiza Mungu ndani yetu, na kuuwezesha mkono wa Mungu kufanya mambo mengi.

  42. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Lakini pia … ***… tukipunguza kiwango cha maombi maishani mwetu, tutashindwa kutengeneza au kuzalisha Nguvunyingiza Mungu ndani yetu, na kuuzuia mkono wa Mungu kufanya mambo mengi.

  43. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo … Utendaji wa mkono wa Mungu maishani mwako, unategemea sana kiwango cha Nguvu za Mungu kinachotenda kazi ndani yako, yaani kiwango cha maombi unachofanya maishani mwako.

  44. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo … Kiwango cha = Kiwango cha Maombi Nguvu

  45. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo … Kiwango cha = Kiwango cha Maombi Nguvu

  46. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo … Kiwango cha = Kiwango cha Maombi Nguvu

  47. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo … Kiwango cha = Kiwango cha Maombi Nguvu

  48. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo … Kiwango cha = Kiwango cha Maombi Nguvu

  49. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo … Utendaji wa mkono wa Mungu maishani mwako, unategemea sana kiwango cha Nguvu za Mungu kinachotenda kazi ndani yako, yaani kiwango cha maombi unachofanya maishani mwako.

  50. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Yakobo 5:16-18 17 Eliya likuwa mwanadamu kama sisi, lakini aliombakwa bidii, mvua isinyeshe juu ya nchi, na mvua haikunyesha juu ya nchi kwa muda wa miaka mitatu (3) na miezi sita (6).

More Related