1 / 344

Mwl . Mgisa Mtebe +255-713-497-654 mgisamtebe

IMANI YA USHINDI USHINDI JUU YA DHAMBI NA UASI. ‘ Hatua za Kumwezesha Mtu wa Mungu Kuishi Maisha Matakatifu. ’. Mwl . Mgisa Mtebe +255-713-497-654 www.mgisamtebe.org. HATUA ZA IMANI YA USHINDI. Malengo ;

uttara
Download Presentation

Mwl . Mgisa Mtebe +255-713-497-654 mgisamtebe

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. IMANI YA USHINDIUSHINDI JUU YA DHAMBI NA UASI.‘Hatua za Kumwezesha Mtu wa Mungu Kuishi Maisha Matakatifu.’ Mwl. Mgisa Mtebe +255-713-497-654 www.mgisamtebe.org

  2. HATUA ZA IMANI YA USHINDI Malengo; KumfundishamtuwaMungukutokakatikaudhaifunautumwawakushindwanadhambikatikamaishayakeyaWokovu (Kuokoka).

  3. IMANI YA USHINDI USHINDI DHIDI YA DHAMBI Warumi 8:5-11

  4. KANUNI ZA KIROHO Warumi 8:5-11 5 Kwa maana wale wanaoishi kwa kuufuatamwilihuziwekaniazaokatikavituvyamwili, lakini wale wanaoishi kwa kufuataRoho, huziwekaniazaokatika mambo yaRoho.

  5. KANUNI ZA KIROHO Warumi 8:5-11 6 Kwa maanakuwa na niayamwili ni mauti, bali kuwa na niainayoongozwa na Roho ni uzima na amani. 7 Kwa kuwa ile niayamwili ni uadui na Mungu, kwa maanahaiitiisheriayaMungu, wala haiwezikuitii.

  6. KANUNI ZA KIROHO Warumi 8:5-11 8 Wale wanaotawaliwa na mwili, hawawezikumpendezaMungu. 9Lakinininyi, hamtawaliwi na mwili, bali na Roho, ikiwaRohowaMunguanakaandaniyenu. MtuyeyoteambayehanaRohowaKristo, yeye si waKristo.

  7. KANUNI ZA KIROHO Warumi 8:5-11 10Lakini kama Kristoanakaandaniyenu, miiliyenuimekufa kwa sababuyadhambi, lakiniroho zenu zihai kwa sababuya haki.

  8. KANUNI ZA KIROHO Warumi 8:5-11 11NanyiikiwaRohowaMungualiyemfufuaYesukutoka kwa wafuanakaandaniyenu, YeyealiyemfufuaKristoYesukutoka kwa wafuataihuishapiamiiliyenuambayohufa, kwa njiayaRoho Wake akaayendaniyenu.

  9. HATUA ZA IMANI YA USHINDI 1Yohana 5:1-4 1‘Kila mtu anayeamini kwamba, Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu, amezaliwa na Mungu…’ (Zab 82:6, Yoh 10:34-36)

  10. HATUA ZA IMANI YA USHINDI 1Yohana 5:1-4 4“Kwa maana, kila kitu kilichozaliwa na Mungu, huushinda ulimwengu, na huku ndiko kushinda, kuushindako ulimwengu, ni hiyoImani yetu.”

  11. KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI 2Petro 1:3-4 3 KwakuwaUweza wakewauunguumetupatia(au nguvuzakezauunguzimetupatia) mambo yotetunayohitajikwaajiliyamaishanautakatifu, kwakumjuaYeyealiyetuitakwautukufu Wake nawema Wake mwenyewe.

  12. KUTEMBEA KWA IMANI 2Petro 1:3-4 4 Kwasababuhiyo, Munguametukirimiaahadizakekuunazathamani, ilikwakupitiahizotupatekuwawashirikiwatabiazauungu,tukiokolewanauharibifu (au upotovu) uliokodunianikwasababuyatamaa.

  13. IMANI YA USHINDI Ndani ya kila mtoto wa Mungu, kuna Sura na Mfano wa Mungu, (yaani asili ya Mungu) ambayo inakupa asili ya ushindi ndani yako, dhidi ya kila upinzani wa adui shetani maishani mwako.

  14. UTU MPYA WA KRISTO Roho zetu zina uwezo wa Ki-Mungu wa kutawala miili yetu katika maisha ya Utakatifu, ni ile hali ya kukosea kujiona, ndicho kitu kinachozima utendaji kazi wa Nguvu za Mungu unaowezesha ushindi huo.

  15. KANUNI ZA KIROHO 1Yoh 5:4, Rum 8:37 Pamoja na kwamba Neno la Mungu linatuahidi Ushindi wa Yesu msalabani, kuwa ushindi wetu sisi tuaminio; lakini bado waumini wengi tunaishi maisha yautumwa juu ya dhambi.

  16. UTU MPYA WA KRISTO Warumi 8:5-12 Ikiwa roho zetu zina uwezo wa Ki-Mungu wa kutawala miili yetu katika maisha ya Utakatifu, ni kitu gani basi kinazima utendaji kazi wa Nguvu za Mungu unaowezesha ushindi huo?

  17. USHINDI JUU YA DHAMBI 1Yohana 5:4, Mathayo 17:19-21 Imani ni uhakikawakazi ya Yesumsalabani. Ukikoseakujiona,utakoseakujiwaza; nautakoseakuongea. Makosa hayo,yatazimautendajikaziwanguvuzaMunguunaohusikanakukusaidiakushinda.

  18. KANUNI ZA KIROHO KUSTAHILISHWA PASIPO KUSTAHILI Warumi 5:17-19 Warumi 6:5-6, 11-14

  19. KANUNI ZA KIROHO Warumi 5:17-19 18… kama vile kosa la mtu mmoja lilivyoleta hukumu kwa watu wote, vivyo hivyo pia kwa tendo la mtu mmojala haki watu wote wamehesabiwa haki.

  20. KANUNI ZA KIROHO Warumi 5:17-19 19 Kwa maana kama vile kwa kutokutiiyulemtummoja,watuwotewalifanywawenyedhambi, vivyohivyo kwa kutii kwa mtummojawengiwamefanywawenye haki.

  21. KANUNI ZA KIROHO Warumi 5:17-19 17 Kwa maana ikiwa kwa kosa la mtu mmoja, mauti ilitawala kupitia huyo mtu mmoja, zaidi sana wale wanaopokea wingi wa neema ya Mungu na kuhesabiwa haki [wokovu], …

  22. KANUNI ZA KIROHO Warumi 5:17-19 17 … wale wanaopokea wingi wa neema ya Mungu na kuhesabiwa haki [wokovu], watatawala katika uzima kwa njia ya huyo mtu mmoja, yaani, Yesu Kristo.

  23. USHINDI JUU YA DHAMBI Warumi 5:17-19 Torati Neema Kosa la Mtu 1, Tendo la Mtu 1, Wote ni Wote ni ‘Wakosaji’‘Wenye-Haki’ (Wenye Dhambi)(Watakatifu)

  24. USHINDI JUU YA DHAMBI Waefeso 2:8-10 9Si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu. 10 Kwa maana sisi ni kazi ya mikono ya Mungu, tulioumbwa katika Kristo Yesu (utakatifu) …

  25. USHINDI JUU YA DHAMBI Waefeso 2:8-10 10… tulioumbwa katika Kristo Yesu, ili tupate kutenda matendo mema, ambayo Mungu alitangulia kuyaandaa tupate kuishi katika hayo.

  26. USHINDI JUU YA DHAMBI Waefeso 2:8-10 Matendomemayaliumbwakwaajiliyawatakatifu (wenye-haki); ndo kusema, kutendamemawakatiukoupandewaWakosaji, haikufanyiMwenye hakimbelezaMungu.

  27. USHINDI JUU YA DHAMBI Waefeso 2:8-10 Matendomemayaliumbwakwaajiliyawatakatifu (wenye-haki); ndo kusema, kutendamemawakatiukoupandewaWakosaji, haikufanyiMwenye hakimbelezaMungu.

  28. USHINDI JUU YA DHAMBI Waefeso 2:8-10 Ndio kusema; Kufanya Makosawakati uko upande waWenye-Haki, haikufanyi ‘Mwenye Dhambi’ mbele za Mungu.

  29. USHINDI JUU YA DHAMBI Warumi 5:17-19 Torati Neema Upande wa Upande wa ‘Wakosaji’‘Wenye-Haki’ Matendo mema‘Makosa’ Hayakuingizi Hayakuondoi Ktk Stahili/Haki. ktk Stahili/Haki.

  30. USHINDI JUU YA DHAMBI Warumi 5:17-19 Torati Neema Upande wa Upande wa ‘Wakosaji’‘Wenye-Haki’ Matendo mema‘Makosa’ Hayakuingizi Hayakuondoi ktk Utakatifu. ktk Utakatifu.

  31. USHINDI JUU YA DHAMBI Hatua ya kwanza; Warumi 6:5-6, 11-14 11kujihesabuni mfu katika dhambi lakini mlio hai kwa Mungu katika Kristo Yesu; Yaani“Mtakatifu”

  32. KANUNI ZA KIROHO Warumi 6:5-6, 11-14 4. MATOKEO; 14Kwa maana dhambihaitakuwanamamlaka juu yenu, kwasababuhampochiniyasheria, balichiniyaneema.

  33. KANUNI ZA KIROHO Warumi 6:5-6, 11-14 Hii ndio kusema; Dhambi itakuwa na mamlaka juu yenu, endapo mtajihesabu mpochini ya sheria (torati), na si chini ya neema. … (ajionavyo mtu nafsini mwake)

  34. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mawazo ya Ushindi Mithali 23:7 ‘ajionavyo mtu nafsini mwake (kwenye mawazo yake) ndivyo alivyo (atakavyokuwa)’

  35. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Macho ya Rohoni Mithali 24:14 ‘Basi utaijua hekima kuwa tamu kwa nafsi yako, ikiwa umekwisha kuiona (kuipata) ndipo itakapokuja thawabu yako, wala hutalikosa tarajio lako’

  36. KANUNI ZA KIROHO Waebrania 11:1, 6 1Imaninikuwanahakikawa mambo yasiyoonekana (kablayakuonakatikaulimwenguwamwili).

  37. USHINDI JUU YA DHAMBI Warumi 5:17-19 Torati Neema Upande wa Upande wa Wote ni Wote ni ‘Wakosaji’‘Wenye-Haki’ (Wenye Dhambi)(Watakatifu)

  38. USHINDI JUU YA DHAMBI 1Yohana 5:4, Mathayo 17:19-21 Imani ni uhakikawakazi ya Yesumsalabani. Ukikoseakujiona,utakoseakujiwaza; nautakoseakuongea. Makosa hayo,yatazimautendajikaziwanguvuzaMunguunaohusikanakukusaidiakushinda.

  39. KANUNI ZA KIROHO Warumi 6:5-6, 11-14 Hii ndio kusema; Njia ya kuvunja ‘sheria ya dhambi’ (kimwili) ni kutembea kwa Imani kwamba wewe ni Kiumbe Kipya. (tayari umeshakuwa)

  40. KANUNI ZA KIROHO Waebrania 11:1, 6 6 “Kwa maana pasipo Imani haiwezekani kumpendeza Mungu”.

  41. KANUNI ZA KIROHO Waebrania 10:38 38 “Mwenye haki wangu ataishi kwaImani, naye akisisita-sita, Roho yangu haina furaha naye”.

  42. UTU MPYA WA KRISTO Roho zetu zina uwezo wa Ki-Mungu wa kutawala miili yetu katika maisha ya Utakatifu, ni ile hali ya kukosea kujiona, ndicho kitu kinachozima utendaji kazi wa Nguvu za Mungu unaowezesha ushindi huo.

  43. USHINDI JUU YA DHAMBI Warumi 6:5-6, 11-14 Hatuaya kwanza; Kuelekeaushindi juuDhambi.

  44. KANUNI ZA KIROHO Kustahilishwa Warumi 5:17-19

  45. USHINDI JUU YA DHAMBI Warumi 5:17-19 Torati Neema Upande wa Upande wa ‘Wakosaji’‘Wenye-Haki’ Matendo mema‘Makosa’ Hayakuingizi Hayakuondoi Ktk Stahili/Haki. ktk Stahili/Haki.

  46. USHINDI JUU YA DHAMBI Warumi 5:17-19 Torati Neema Upande wa Upande wa ‘Wakosaji’‘Wenye-Haki’ Matendo mema‘Makosa’ Hayakuingizi Hayakuondoi ktk Utakatifu. ktk Utakatifu.

  47. IMANI YA USHINDI MAISHA BAADA YA WOKOVU - SwaliMuhimu -

  48. KUSTAHILISHWA PASIPO KUSTAHILI Warumi 5:17-19, Warumi 6:15 Eti kwasababukatikaNeemayaWokovu, tunahesabiwa hakihata kama tumekosea, Je, hiiina maana kwamba, tunawezakuendeleatunamaishayadhambinaanasa?

  49. KUSTAHILISHWA PASIPO KUSTAHILI Warumi 5:17-19 JibuniHapana!

  50. KUSTAHILISHWA PASIPO KUSTAHILI Warumi 5:17-19 Na Munguakijuakwamba, dhanahiiyakustahilishwa, itazaamaswaliyanamnahiindaniyawatu, akaandikayafuatayo, kupitiamkonowaMtume Paulo, ilitusipotoke.

More Related