1 / 35

NAMNA YA KUTEGA MTEGO WA NDOROBO AINA YA EPSILON

NAMNA YA KUTEGA MTEGO WA NDOROBO AINA YA EPSILON. 1. 2. Kwanza: Chagua sehemu ya kutega mtego sehemu ilivyo na uwazi ili mtego uonekane kwa urahisi. Safisha eneo la kutega mtego wako kwa kuondoa vichaka na nyasi ili mtego uonekana kwa urahisi. 3. 4. Fungua mtego taratibu,

bond
Download Presentation

NAMNA YA KUTEGA MTEGO WA NDOROBO AINA YA EPSILON

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. NAMNA YA KUTEGA MTEGO WA NDOROBO AINA YA EPSILON 1.

  2. 2 Kwanza: Chagua sehemu ya kutega mtego sehemu ilivyo na uwazi ili mtego uonekane kwa urahisi

  3. Safisha eneo la kutega mtego wako kwa kuondoa vichaka na nyasi ili mtego uonekana kwa urahisi 3

  4. 4 Fungua mtego taratibu, vifaa vyote vinatakiwa viwe ndani....

  5. 5 Hakikisah vifaa vyote vimo - kama inavyoonekana hapa

  6. Vilevile utahitaji makopo ya kufanya ndorobo wasitoke (Kikusanyio). 6

  7. Vile vile unahitaji nyundo ama kitu chochote kinachoweza kutumika kugongea mambo za mtego 7

  8. 8 Kuna aina tatu za fimbo za mtego

  9. Fimbo tatu ndefu huwekwa pembeni kwenye kona za mtego 9

  10. 10 Fimbo yenye ubapa mwishoni iwekwe kwenye kona ya mwisho ya mtego

  11. 11 Kwenye 'Mlango' wa mtego kuna mshono wenye tundu ndogo

  12. Ingiza fimbo fupi kuliko zote kwenye tundu hilo 12

  13. Ingiza ndani mpaka mshono uwe hivi: 13

  14. Jaribu upepo unaelekea upande gani kwa kupeperusha majani makavu 14

  15. 15 Pitisha kamba za mtego kwenye mshono wa ngozi kwenye kila kona za mtego

  16. Weka mtego, kiasi kwamba 'mlango' uerekee upepo unakokwenda 16

  17. Pigilia mambo za mtego chini ili kufanya kamba zivute kila kona ya mtego 17

  18. 18 Kaza kamba ili ziweze kushikilia mtego kwa uimara zaidi

  19. Epuka kuacha nafasi kama hizi chini ya mtego Usibakize majani kama haya unaposafisha eneo lako 19

  20. 20 Sasa weka 'kikusanyio' cha ndorobo watakaovutwa na mtego

  21. Weka kwanza faneli ya kikusanyio kwenye wavu wa mtego Wavu uwe imara kama hivi utakapoweka kikusanyio 21

  22. Pachika sehemu ya juu ya kikusanyio 22

  23. 23 Funga vizuri na kamba nyembamba

  24. 24 Hakikisah hakuna na matunda makubwa kama haya

  25. ..... hata madogo kama haya 25

  26. 26 Usitumie kamba nzito kama hizi zitafanya baadhi ya ndorobo wasiingie kwenye kikusanyio

  27. 27 Funga mfuko wa nailoni kwenye kikusanyio

  28. 28 Weka kivutio kwenye mfuko wa mtego

  29. Mtego ukishategwa uwe namna hii 29

  30. 30 Usitege mtego chini ya miti yenye kivuli

  31. ... na hakikisha mtego haujalegea kama hivi 31

  32. Wakati wa kutoa kunja vizuri mtego wako 32

  33. 33 Hakikisha vifaa vyote umerudisha..

  34. 34 Funga kwa kutumia mojawapo ya kamba za mtego

  35. Mtego uko tayari kutumiwa siku nyingine 35

More Related