1 / 19

23 rd PPF MEMBERS’ ANNUAL CONFERENCE AT AICC. 2 - 4 OCTOBER 2013

23 rd PPF MEMBERS’ ANNUAL CONFERENCE AT AICC. 2 - 4 OCTOBER 2013. PPF NA WADAU: MIAKA 35 YA KUKUA PAMOJA. MADA. “TAMANI KESHO NJEMA” (Desiring a brighter tomorrow) Chris Mauki UDSM/UP. Utangulizi. Shukrani za dhati kwa uongozi wa mfuko wa pensheni wa PPF

tex
Download Presentation

23 rd PPF MEMBERS’ ANNUAL CONFERENCE AT AICC. 2 - 4 OCTOBER 2013

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. 23rd PPF MEMBERS’ ANNUAL CONFERENCE AT AICC. 2 - 4 OCTOBER 2013 PPF NA WADAU: MIAKA 35 YA KUKUA PAMOJA

  2. MADA “TAMANI KESHO NJEMA” (Desiring a brighter tomorrow) Chris MaukiUDSM/UP

  3. Utangulizi • Shukranizadhatikwauongoziwamfukowapensheniwa PPF • Matarajio: Wanachamakuwezakufahamumbinuzakuboreshamaishayaoyakeshoikiewemojinsiyakufanyamaamuzisahihikuhusiananauwekezajikatikamifukoyahifadhiyajamii

  4. ……… utangulizi • Kesho ya mtu hujengwa leo • Matofali ya kujengea kesho yako hufyatuliwa leo • Chochote kinyume na kanuni hii ni maandalizi mazuri ya majuto ifikapo kesho, kwasababu……!! • Majuto ya kesho huandaliwa leo

  5. 1. Kuwa na ndoto kubwa • Unajiona wapi miaka 5, 10, 20 ijayo? • Tofautisha maono ya mbali na maono ya karibu (eagle vs chicken’s vision) • Maono yako ya kesho yatategemeza utendaji wako wa leo • Nidhamu katika maono (tabia, marafiki, ‘hobbies and interests’)

  6. 2. Kuwa na malengo yakinifu • Malengo ya muda mrefu/mfupi • Malengo ya muda mfupi hutegemeza ya muda mrefu • Malengo + Matendo = Misingi ya maisha (values) • Oanisha malengo yako na muda • Tofautisha ndoto na uhalisia

  7. 3. Kuyafikia malengo • Yaweke moyoni/nafsini, akilini, na uyakiri • Pigana kuyafikia (work hard vs work smart) • Weka vipaumbele (FOCUS-Facing One Cause Until Successful) • Zishinde changamoto (kukata tamaa, kukatishwa tamaa, ‘procrastination’)

  8. 4. Umuhimu wa kuwa na malengo • Hutuweka sawa katika kufikia tuliyolenga • Hutusaidia kuufahamu ufanisi wetu • Hutusaidia kuelekeza macho yetu kwenye matokeo badala ya kuwa bize bure

  9. 5. Katika kuweka malengo, kumbuka yafuatayo • Panua wigo ktk kufahamiana na watu (kusanya vs tapanya, angalia haiba yako) • Panua wigo wa ufahamu wako (kujua vingi, kujua kwa kina) • Kuwa mtu wa familia (walio ndani ya familia hupunguza nafasi za vifo) • Jifunze kuongeza siku za kuishi (zoezi, kula vema, pumzika, jali mwili/nafsi/roho)

  10. …… Kuwa mtumiaji mzuri wa muda • Tofautisha kuokoa na kukomboa muda (‘redeem vs save’) • Uko vile unavyotumia muda wako • Fahamu na epuka vitu/mazingira yanayo kupotezea muda • Umri wa kuishi “L.E” unapungua kwa kasi (inagusa umri wa kustahafu, kufa)

  11. 6. Ukweli kuhusu kustahafu • Maandalizi huanza siku ya kuajiriwa (kesho hujengwa na leo) • Kustahafu kunatisha wengi (kuongeza umri wa kustahafu/kushusha umri) • Kustahafu ni mojawapo ya “stressors” • Kustahafu kwa wengi kumejaa majuto (integrity vs despair) • Tofauti ya kimtazamo (hatari vs fursa) • Magonjwa, ‘depression’ na vifo mwaka wa 1, 2, na 3

  12. 7. Maswali yanayowatatiza wastahafu • Je ni nini atafanya kujaza muda aliokuwa anafanya kazi za kuajiriwa. • Jinsi gani ataishi mbali na marafiki na aliowazoea kule kazini. • Je ataendelea kuonekana kuwa wa muhimu na wakuhitajika tena kama wakati alipokuwa kazini? • Je kipato na marupurupu aliyokuwa akiyapata kwa mwezi yatakapoondoka maisha yataendeleaje?

  13. ……maswali • Je mke wangu na wanangu watakuwa tayari kukabiliana na hali ya mimi kutokuwa na kazi? • Je wageni na ndugu waliozoea kuja kututembelea toka kijijini wataendelea kutukumbuka au ndio utakuwa mwisho?

  14. 8. Jifunze kanuni za utawala binafsi wa fedha zako • Jitahidikuongezakipato (patazaidi, hifadhizaidi, furahiazaidi) • Ishindaniyauwezowako (kutakavskuhitaji. Kutumiavskutapanya) • Wezakuzitawalafedhazako (mfukowadharura, punguzamadeni, pangakustahafu (10% yakipato), elimuyawatoto, wekeza (‘EM,SE,I’)

  15. ….. inaendelea 4.Thibiti mustakabali wako • furahia mafao yako • Rudisha kwa jamii • Gusa/badilisha maisha ya wengine

  16. 9. Unapowaza kuwekeza katika mifuko ya jamii • Waza kwenda kwenye sehemu sahihi • Waza kwenda kwenye faida zaidi • Waza kwenda kwenye faida endelevu zaidi

  17. Kumbuka!!! Kati ya majanga; janga lililo kubwa kuliko yote duniani sio kifo, bali ni maisha yaliyokosa malengo Ukitia aibu katika maisha yako leo kunauwezekano mkubwa hata msiba wako ukatia aibu (Hadithi ya mwanafalsafa na kijana mdogo)

  18. Mwisho Mfuko wa PPF Ni kwa ajili yako

  19. Asante sana chrismauki57@gmail.com

More Related