1.28k likes | 1.77k Views
ZAKA NA SADAKA (IBADA NA SADAKA). Azania Front Cathedral 9-16-23 January, 2011 Na Mwl . Mgisa Mtebe 0713 497 654. KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA. IBADA NA SADAKA Waebrania 7:1-10. KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA. Waebrania 7:1-10
E N D
ZAKA NA SADAKA(IBADA NA SADAKA) Azania Front Cathedral 9-16-23 January, 2011 Na Mwl. MgisaMtebe 0713 497 654
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA IBADA NA SADAKA Waebrania 7:1-10
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Waebrania 7:1-10 1 Kwa kuwa huyu Melkizedeki alikuwa Mfalme waSalemu na Kuhani wa Mungu aliye juu, aliyekutana na Abrahamu akirudi katika kuwapiga na kuwashinda hao wafalme; naye Melkizedeki akambariki,
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Waebrania 7:1-10 2 na Abrahamu akampa Melkizedeki “sehemu moja ya kumi (Zaka)” ya kila kitu. Jina hilo Melkizedeki maana yake, “Mfalme wa haki,” pia “Mfalme wa Salemu” maana yake “Mfalme wa amani (Salama).”
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Waebrania 7:1-10 3 (HuyoMelkizedeki, Mfalmewa Salem; )Hana Baba nawalahana mama; hanaukoo, hanamwanzowalamwishowasikuzake, nikamaMwanawaMungu; nayeyeadumukuhanimilele.
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Waebrania 7:1-10 4Tazamajinsialivyokuwamkuu! HataAbrahamu, babayetumkuu, alimpamojayakumi (Zaka) yanyarazakezotealizozitekakulevitani, alipokuwaakipiganana wale wafalme, kwaajiliyaLutu, mpwa wake.
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Waebrania 7:1-10 5 Basi sheria inawaagiza wana wa Lawi, wale ambao hufanyika makuhani, hupokea sehemu moja ya kumi kutoka watu ambao ni ndugu zao (yaani yale makabila 11 mengine, katika watoto 12 wa Yakobo)
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Waebrania 7:1-10 6 Huyu Melkizedeki, ingawa hakufuatia ukoo wake kutoka kwa Lawi, lakini alipokea moja ya kumi kutoka kwa Abrahamu na kumbariki yeye aliyekuwa na zile ahadi (yaani Abrahamu).
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Waebrania 7:1-10 7 Wala hakuna shaka kwamba mdogo hubarikiwa na aliye mkuu kuliko yeye (Kwamba Melkizedeki, ni Mkuu kuliko Ibrahim).
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Waebrania 7:1-10 8 Kwa upande mmoja, sehemu moja ya kumi (yaani Zaka) hupokelewa na wanadamu ambao hupatikana na kufa (yaani Walawi au Makuhani) …
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Waebrania 7:1-10 8 … lakini kwa upande mwingine (Zaka, yaani sehemu ya kumi), pia hupokelewa na Mungu, Yeye ambaye hushuhudiwa kuwa yu hai (Yaani Mungu).
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Waebrania 7:1-10 9 (Kwahiyo) Mtu anaweza hata kusema kwamba Lawi, ambaye hupokea sehemu moja ya kumi (Zaka), naye pia alitoa hiyo sehemu moja ya kumi, kupitia kwa Abrahamu,
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Waebrania 7:1-10 10kwasababu, MelkizedekialipokutananaAbrahamu, Lawialikuwandani, katikaviunovyababayake (Yakobo, ambayepiaalikuwandaniyaIsaka, ambayepiaalikuwandani, katikaviunovyaAbrahamu).
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Waebrania 7:1-10 10Kwahiyo, IbrahimualipotoaZakayavituvyakevyotekwaMelkizedeki, ndiokusema, naLawipia, alitoaZakakupitiakwaIbrahimu, angalibadoyukatikakiuno cha babuyake (hatakablayakuzaliwakwakeduniani).
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA IBADA NA SADAKA Yohana 4:23-24
SIFA NA IBADA KWA MUNGU KWANINI IBADA ?
SIFA NA IBADA KWA MUNGU Zaburi 22:3 Wewe U Mtakatifu, nawe “UNAKETI”juuyasifaza Israel “Inhabit” “Unaishi”
SIFA NA IBADA KWA MUNGU Zab 22:3 IDABAndiokitu cha kwanza kabisakatikamoyowaMungu, kwasababu MUNGU ANAISHI KATIKA IBADAnaSIFA.
SIFA NA IBADA KWA MUNGU Zaburi 22:3 Wewe U Mtakatifu, nawe “UNAKETI”juuyasifaza Israel “Inhabit” “Unaishi”
KANISA LA MTU BINAFSI ZABURI 150:1-6 6Kila mwenye pumzi amsifu Bwana, kwa sauti kuu, kwa zeze, kwa filimbi, kwa zomari, kwa matari, kwa vinubi na kwa matoazi yavumayo sana.
SIFA NA IBADA KWA MUNGU Mungu Kuhani Ibada Nchi Adam
ZAKA NA SADAKA Walawi 6:8-13 12 Moto ulio juu ya madhabahu (ibada) lazima uwe unaendelea kuwaka juu ya madhabahu, siku zote, na kamwe usizimike. (Masaa 24 bila kukatika)
ZAKA NA SADAKA Walawi 6:8-13 13 Moto (wa ibada) lazima uendelee kuwaka juu ya madhabahu mfululizo(Kwa Masaa 24 bila kukatika), na kamwe usizimike!
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU Nafasi ya SadakakatikaIbada
ZAKA NA SADAKA Kumbukumbu 18:1-5 1 Makuhani na kabila lote la Lawi hawatakuwa na mgao wala urithi pamoja na Israeli. Wataishi kwa sadaka zitolewazo kwa ajili ya BWANA; na huo ndio urithi wao.
ZAKA NA SADAKA Kumbukumbu 18:1-5 2 Hawatakuwa na urithi miongoni mwa ndugu zao, BWANA ndiye urithi wao, kama alivyowaahidi.
ZAKA NA SADAKA Kumbukumbu 18:1-5 3Hilindilofungu la makuhanikutokakwawatuwatakaotoadhabihuyang’ombe au kondoo: mguuwambele, mashavumawilinamatumbo.
ZAKA NA SADAKA Kumbukumbu 18:1-5 4Mtawapamalimbukoyanafakazenu, divaimpya, mafutanasufuya kwanza kutokamanyoyayakondoozenu;
ZAKA NA SADAKA Kumbukumbu 18:1-5 5kwakuwa BWANA Munguwenuamewachaguapamojanawazaowaokutokamakabilayenukusimamanakuhudumukatikajina la BWANA sikuzote.
MZUNGUKO WA BARAKA 2Kor 9:6-8, 11 Mungu Kuhani Nchi Adam Kumb 18:1-5 Kumb 8:6-18 Lawi 6:12-13 Lawi 26:3-7 Malaki 3:7-12 Hagai 1:5-11
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU Kazi yoyote inayofanywa na kanisa (makuhani) ili Mungu apewe ibada na utukufu anaostahili, kazi hiyo ikichechemea, kwa namna yoyote, basi mimi na wewe hatuwezi kubarikiwa katika maisha yetu wala katika kazi zetu.
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU Na utaratibu ambao Mungu aliuweka kwa ajili ya kuitunza ofisi yake duniani (kanisa) ni Watu wake kutuoa sehemu za mali zetu kwake (Zaka na Sadaka) katika namna ya kuonyesha heshima na upendo wetu kwake
ZAKA NA SADAKA Malaki 3:7-12 7Tangusikuzababazenu, mmegeukiambalinaamrizangu, nanyihamkuzishika. 8 ‘‘Mnaniibiazakanadhabihu. 9Hivyommkochiniyalaana, ninyitaifalote, kwasababumnaniibiamimi.
ZAKA NA SADAKA Malaki 3:7-12 10 Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, asema BWANA Mwenye Nguvu;
ZAKA NA SADAKA Malaki 3:7-12 10 Nijaribuni katika hili,’’ asema BWANA Mwenye Nguvu, ‘‘nanyi mwone kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni na kuwamwagieni baraka nyingi mpaka mkose nafasi ya kutosha au la.
ZAKA NA SADAKA Malaki 3:7-12 11Namikwaajiliyenunitamkemeayeyealaye, walahataharibumazaoyaardhiyenu, walamzabibuwenuhautapukutishamatundayakekablayawakati wake,’’ asema BWANA MwenyeNguvu.
ZAKA NA SADAKA 12 ‘‘Ndipo mataifa yote watawaita ninyi, mliobarikiwa, kwa maana nchi yenu itakuwa ya kupendeza sana,’’ asema BWANA Mwenye Nguvu.
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU Kwahiyo, Utaratibu ambao Mungu aliuweka kwa ajili ya kuitunza ofisi yake duniani (kanisa) ni Watu wake kutuoa sehemu za mali zetu kwake (Zaka na Sadaka) katika namna ya kuonyesha heshima na upendo wetu kwake
ZAKA NA SADAKA Malaki 3:7-12 Tunamwibia?
ZAKA NA SADAKA Malaki 3:7-12 7Tangusikuzababazenu, mmegeukiambalinaamrizangu, nanyihamkuzishika. 8 ‘‘Mnaniibiazakanadhabihu. 9Hivyommkochiniyalaana, ninyitaifalote, kwasababumnaniibiamimi.
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU Kuiba; ni kuchukua mali au kitu kisicho chako (kutokuachilia, mali ya mtu). Kunyima; ni kuzuia mali au kitu kiilicho chako (kuto-kuachilia, mali yako kwa mtu mwingine)
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU Uwe mwanagalifu sana na mwaminifu katika mali hii, kwasababu, ZAKA sio yako! ZAKA ni ya Mungu! Zaka ni takatifu!
ZAKA NA SADAKA 10 = 1 + 9 ZAKA + MATUMIZI (Dhabihu)
ZAKA NA SADAKA ZAKA Ya Mungu. Dhabihu Ya Kwako.
ZAKA NA SADAKA ZAKADhabihu Ya Mungu.Ya Kwako. 1 9 ‘Unarudisha’ ‘Unatoa’
ZAKA NA SADAKA Kwanini vitu 10?
ZAKA NA SADAKA Kwanini vitu 10? Katika maisha mahesabu ya vitu vyote yapo katika tarakimu 10 tu.
ZAKA NA SADAKA 0 9 1 8 2 7 3 4 6 5
ZAKA NA SADAKA Kwanini vitu 10? Katika mduara, namba kumi (10) ndiyo inayokamilisha mzunguko kamili.
ZAKA NA SADAKA 10 9 1 8 2 7 3 4 6 5