970 likes | 1.21k Views
MATOKEO YA UCHAMBUZI WA UWAJIBIKAJI KATIKA JAMII (SAM). HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA NA HALMASHAURI YA MJI WA KIBAHA, 2008. The belief….
E N D
MATOKEO YA UCHAMBUZI WA UWAJIBIKAJI KATIKA JAMII (SAM) HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA NA HALMASHAURI YA MJI WA KIBAHA, 2008
The belief… "Every single human being in Tanzania has the potential to make a positive contribution to public life. The challenge for all of us as citizens is to ensure that we create just, meaningful and relevant ways in which this contribution can be harnessed for the public good. Unless we put people, and particularly those that have been historically excluded, at the centre of public life, our development goals will continue to evade us." Marcossy A.M, (2007). Assessing Good Governance in Local Government Authorities in Tanzania: Sokoine University of Agriculture, Morogoro.
UwajibikajikatikaJamii… Marcossy A.M/Policy Forum 2008 • Uwajibikajinimahusianokatiya ‘Walionamamlaka” na “wanaonufaika au kuathirika” kwamatumiziyamamlakahayo. • Inaswahibisha mambo makuumawili: • 1. „KujibuHoja‟ – yaaniilehaliyakuwatakawenyemamlakakuewekawaziwajibuwanaotakiwakufanyanawasivyofanya.makingpower-holders explain their actions and inactions • 2. „Enforceability‟ – punishing poor or criminal performance in the face of a demanding society. • Haya mambo wawiliyanawezayakachukuliwakwakifupikamauwajibikajimgumunalainicanbe described in shorthand as “soft” and “hard” accountability. Their collective application through the different and synergistic options of Social Auditing, Public Expenditure Tracking Systems (PETS), Participatory Performance Appraisal (PPA) and related follow-ups constitute Social Accountability. 3
UwajibikajiKatikaJamiinikuhusu HAKI Marcossy A.M/Policy Forum 2008 Haki ya kupata na kuhakikishiwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Haki ya kufahamu mamuzi na mambo yanayoamuliwa na mamlaka kwa ajili ya jamii. Haki ya kuelezwa maamuzi na sababu hasa za utendaji wa mamlaka husika. Haki ya kushirikishwa na kupewa/kutoa taarifa na mirejesho. Haki ya kusikilizwa na kuthaminiwa mrejesho wake kwa mamlaka. 4
MfumowaUwajibikajikatika Tanzania … Uchambuzi wa Mipango Uchambuzi wa Sera Kuunda Sera za Maendeleo na Sheria PETS Ufuatiliaji Taarifa za Matumizi ya Umma AZAKI huangaliaHapa Maishaborakwakilamtanzania (hakinawajibu) -Sheria za Kupambana na Rushwa -Mfumo wa Maadili ya Umma, Viongozi na Watendaji -Jukwaa la Mijadala -Majadiliano -Vyombo vya Habari -Kujadilika Sera kwa Jamii, Serikali na Viongozi -Kufanyakazi na AZAKI -MKUKUTA – Kusimamia Utekelezaji malengo Miongozo ya Serikali za Mitaa 5
HALI HALISI YA UWAJIBIKAJI JIJINI MWANZA Marcossy A.M/Policy Forum 2008 Utangulizi: Kazi ya ufuatiliaji uwajibikaji wa Halmashauri ya jiji la Mwanza ilianza Julai 2008 baada ya makubaliano kati ya MPI na PF. Utekelezaji ulianza kwa kuunda timu ya Ufuatiliaji yenye wajumbe 13 wawakilishi wa AZAKI wanachama wa MPI wakazi wa jiji la Mwanza. Kati ya tarehe 01 Augusti na tarehe 18 August 2008 timu hii ilikusanya taarifa toka Jiji. Pamoja na kufuatilia kwa muda mrefu (zaidi ya wiki mbili) na kwa mbinu tofauti, taarifa za utekelezaji zilizopatikana ni chache, nyingi kati yazo ni zile za mipango tu. 6
Utangulizi … Marcossy A.M/Policy Forum 2008 Hivi ndivyo Jiji la Mwanza lilivyojipanga kutekeleza shughuli zake kwa kukusanya fedha toka kwa wadau mbalimbali kwa mwaka 2006/07. Kati ya TZS 12.303 Bilioni Halmashauri ya Jiji la Mwanza ilitarajia kukusanya TZS 502 mil, ikiwa ni zaidi ya 3% ya Bajeti yake toka Soko la Samaki la Mwaloni Kirumba. 7
Hata hivyo, … Pamoja na upatikanaji finyu wa taarifa toka Halmashauri, timu za SAM zilifanikiwa kuona haya:…. Taarifa zilizopo hazikukamilika…. Taarifa muhimu zinazoweza kufafanua mambo hutunzwa kama “SIRI”… Taarifa chache za ‘SIRI’ tulizozipata zimeonesha matumizi mabaya na kutowajibika zaidi ya kutoa ufafanuzi uliodhaniwa.. Kuna maswali mengi zaidi ya majibu katika taarifa zote tulizopata.
MakisioyaMapato 2006/07 Marcossy A.M/Policy Forum 2008 14
MakusanyoNdaniyaJiji Mwalo wa Kirumba Ushuru wa Mali/Majumba Mapato mengine 28% 8% 21% Kodi ya Ardhi 3% Ada mbalimbali 17% Produce Cess 0% Kodi za Huduma Leseni Ushuru wa Hoteli 21% 1% 1% Marcossy A.M/Policy Forum 2008 15
Mpangowamatumizi 2006/07 Marcossy A.M/Policy Forum 2008 16
Maendeleo/Matarajio … Marcossy A.M/Policy Forum 2008 Kwa kuwa serikali kuu hugharimia mishahara ya watumishi wa serikali za mitaa, hii ilitegemewa kuzifanya Halmashauri kutumia angalau 50% ya fedha zake kwa shughuli za maendeleo. 17
MpangowamatumizimakusanyoyaNdaniyaJiji, 2006/07 Marcossy A.M/Policy Forum 2008 18
Mpango Marcossy A.M/Policy Forum 2008 Jumla ya TZs 2,675,463,886.00 ambazo ni pato la ndani la Jiji zilipangwa kutumika kama mchango wa Halmashauri kuendesha shughuli zake. Ni 27% tu ya pato hili la Jiji lingetumika kwa shughuli za maendeleo. !! 19
MichangoyaMaendeleo … Marcossy A.M/Policy Forum 2008 20
Mchango … Marcossy A.M/Policy Forum 2008 Mchango wa Halmashauri ya Jiji kwa shughuli za maendeleo ni 14% tu. Hii imefanya Jiji kutokuwa mmiliki wa mchakato wa maendeleo yake na hivyo kushindwa kabisa kuwajibika kwa Wananchi wake. 21
TAARIFA YA MATUMIZI HADI 28 FEB 2007 ??? ??, 633814019, Fedha za Ndani, 1056194311, 13% 8% Mwaloni, 394000000, 5% Ruzuku S/Kuu, 6135099843, 74% Marcossy A.M/Policy Forum 2008 23
Feb 2007 … Marcossy A.M/Policy Forum 2008 Taarifa za utekelezaji kazi kwa Mwaka 2006/07 hadi tarehe 28 Februari 2007 zinaonesha jumla ya TZS 7585294154 zilipokelewa au kukusanywa. Hata hivyo taarifa inaonesha kuwa fedha iliyotumika hadi tarehe hiyo ni jumla ya TZS 8219108173 na hakuna taarifa ya ufafanuzi wa ziada ya matumizi ya zaidi ya TZS 633 mil. Taarifa iliyopo haitoi hata ufafanuzi wa matumizi kwa kila shughuli kulingana na utekelezaji. 24
MakisioyaMapato 2007/08 Marcossy A.M/Policy Forum 2008 25
MAPATO YA NDANI Marcossy A.M/Policy Forum 2008 Angalau 28% ya pato la Jiji la Mwanza limekisiwa kutokana na mapato ya ndani ya Halmashauri yenyewe. Kati ya hizo 13% yake ilitarajiwa kutokana na pato la makusanyo ya ushuru na ada toka Soko la Samaki la Mwaloni Kirumba. 26
MakisioyaPato la Ndani… Produce Cess land rent 0% Service Levy 4% 25% Guest House Levy Property tax 3% 24% Licences 2% Fees, permits and Charges 13% Mwalo wa Kirumba Other Own 13% revenues 16% Marcossy A.M/Policy Forum 2008 27
MPANGO WA MATUMIZI WA 2007/08 Marcossy A.M/Policy Forum 2008 Halmashauri ya Jiji la Mwanza lilipanga kutumia jumla ya TZS 16.72 Bilioni ikiwa ni bajeti yake kwa mwaka 2007/08 Kati ya hizo TZS 6.5 Bilioni ikiwa ni 38.9% zitumike kwa shughuli za maendeleo na TZS 10.25 Bilioni ikiwa ni 61.1% kwa matumizi ya kawaida. Mpango wa matumizi wa Jiji umegawanywa kiidara na vitengo, 28
MpangowaMatumizi 2007/08 Marcossy A.M/Policy Forum 2008 29
PichaKuu… Marcossy A.M/Policy Forum 2008 Picha ya jumla hapa ni kuwa Halmashauri ya Jiji la Mwanza limepanga kutumia nyingi ya rasilimali zake kwa ajili ya kuendeleza viongozi na watendaji wa halmashauri baadala ya wananchi na kujali maslahi yao. 30
MgawanyowaFedha… Marcossy A.M/Policy Forum 2008 • Idara na Vitengo tegemewa vya kutoa huduma za maendeleo ndizo zilizopewa fedha kidogo zaidi; • miradi ya Afya 1%, • Elimu 7%, • Miundombinu 9%, • Kilimo/Mifugo 3% • na Mipango miji 4%. • Bajeti ya maendeleo kuwa chini ya 40%. • Zaidi ya 25% ya bajeti yote kugharimia uendeshaji wa ofisi ya Mweka Hazina wa Jiji. 31
MichangokwaMaendeleo 2007/08 Marcossy A.M/Policy Forum 2008 32
GHARAMA ZA MAENDELEO NA UWAJIBIKAJI WAKE Marcossy A.M/Policy Forum 2008 • Halmashauri ya Jiji, mwaka huu limeonesha njia ya kuanza kuelekea kwenye kujitegemea: • kwa kuongeza mchango wake kwenye mchakato wa shughuli za maendeleo toka 17% 2006/07 hadi 39% mwaka huu, • kuongezeka kiasi cha fedha zinazotengwa kwa shughuli za maendeleo hadi 33% ya bajeti ya Jiji. • Kama Jiji litaendelea kutambua jukumu lake itakuwa ni njia nzuri sana ya kujiandaa kupunguza utegemezi kwa serikali kuu haswa likishirikisha ipasavyo wadau wake wa ndani. 33
Vipaumbele Marcossy A.M/Policy Forum 2008 34
WadaudhidiyaViongozi Marcossy A.M/Policy Forum 2008 Vipaumbele vya Bajeti kwa mwaka 2006/07 vilibadirishwa wakati wa utekelezaji ili kukidhi matakwa ya agizo la Waziri mkuu (2006) aliyeagiza kujengwa kwa shule za Upili katika kila kata na vyumba vya madarasa kukidhi angalau 75% ya wanafunzi wote wa shule za msingi wataofaulu. Jumla ya TZS 169,359,100.00 za LGCDG, TZS 206,640,900.00 za Miradi ya Kata, TZS 15,425,600.00 za Afya na TZS73,933,500.00 za idara ya Ujenzi na zimamoto zilihamishiwa katika ujenzi wa madarasa ya shule za Upili. 35
UwajibikajikwaWadau Marcossy A.M/Policy Forum 2008 36
MpangowamatumiziPato la Ndani, Marcossy A.M/Policy Forum 2008 Zaidi ya 53% ya pato la ndani la Halmashauri imepangwa kutumika katika ofisi za Utawala na Mweka hazina wa Jiji, wakati ambapo fedha pia zimetengwa kwa ajili ya ofisi za ukusanyaji mapato na usimamizi wa miradi ya maendeleo. 37
Pato la Ndani… Marcossy A.M/Policy Forum 2008 38
MPANGO WA MATUMIZI YA KAWAIDA KWA SEKTA MWAKA 2007/08 AFYA MATUMIZI 2,231,521,521, MENGINEYO 30% 2,017,520,590, 28% KILIMO , 244,023,144, UTAWALA., 3% 2,802,203,398, 39% BARABARA 24,018,578, 0% MAJI, 10,000,000, 0% Marcossy A.M/Policy Forum 2008 39
SOKO LA SAMAKI LA MWALONI KIRUMBA Marcossy A.M/Policy Forum 2008 Kati ya wachangiaji wa bajeti ya Jiji la Mwanza – ukiachia mchango wa serikali kuu, mchango wa soko kuu la samaki la mwaloni kirumba ndio mkubwa kuliko wadau wote. Fedha toka Mwaloni zinatoa mchango, 3%,sawa na zile za TASAF, MMEM na ni zaidi ya Mfuko wa Afya wa Pamoja. Wadau wa maendeleo wa Mwaloni wangestahili kupewa kipaumbele sana kama wadau muhimu katika makundi ya jamii ya Jiji la Mwanza. 40
MakisioyaMapato … Marcossy A.M/Policy Forum 2008 41
MchangowaMwalowaKirumba… Marcossy A.M/Policy Forum 2008 42
Wadauwakuu … Marcossy A.M/Policy Forum 2008 Pato kuu la Halmashauri ya Jiji linatoka nje ya Jiji (haswa serikali kuu) 67% Mwaloni huchangia zaidi ya 13% ya pato la ndani hakuna mlipa kodi mwingine yeyote anayechangia kwa pamoja au mmoja-mmoja kiasi karibu na hicho. 43
IDARA YA ELIMU Marcossy A.M/Policy Forum 2008 Kwa ujumla idara ya Elimu ilipangiwa kiasi cha Shilingi 10,437,797,101.00 ikiwa ni jumla ya 65% ya bajeti yote ya jiji la Mwanza kwa mwaka 2007/08. Hata hivyo Elimu ni kipaumbele namba tano (5) kati ya vipaumbele vya wananchi wa Jiji la Mwanza. Wadau wa Elimu na Maendeleo ya jamii pia wanadai maendeleo kuelekezwa kwa kasi katika idara moja kunapotosha na kudhoofisha ukweli wa kuwa msigano wake na sekta nyingine unakuwa mgumu sana. Hivyo wadau wakaamua kuchambua ufanisi na tija ya mpango huu wa bajeti kwa Uwajibikaji na maendeleo ya Elimu. 44
MpangonaVipaumbele … UJENZI MAENDELEO Natural MIPANGO MIJI 6% Resources & YA KATA 3% 0% Informal Sector Community Development MIRADI YA AFYA Forestry Fisheries Cooperatives Agriculture 2% 19% 0% Livestock Devpt 1% 0% 0% Devpt 2% 1% Planning, M&E 1% ELIMU 65% Marcossy A.M/Policy Forum 2008 45
Mpangowamatumizi:IdarayaElimu MIRADI YA MAENDELEO 3,604,237,020, 35% UENDESHAJI Na UTAWALA, 6,833,560,081, 65% Marcossy A.M/Policy Forum 2008 46
MpangowaMatumizi; Elimu Marcossy A.M/Policy Forum 2008 • Ikaonekana kwanza kuwa zaidi ya 65% ya fedha zilizoelekezwa idara ya Elimu zimepangwa kutumika kwa shughuli za kawaida : • Mishahara, • Posho kwa watendaji, • Uendeshaji wa Ofisi na Magari, • Malipo ya gharama za ofisi, • usafiri na usimamizi wa shughuli za kielimu • na utawala wa idara. • Ni 35% tu ya bajeti ilipangwa kutekeleza shughuli za maendeleo ya sekta ya elimu, ikiwa ni jumla ya TZS 3,604,237,020.00. 47
MiradiyaMaendeleo; Mlinganyo ELIMU, 3,604,237,020, 49% AFYA 2028515842, 28% CITY PLANNING, MAENDELEO YA JAMII 1% MAJI, MIUNDOMBINU 641,205,644 6% Marcossy A.M/Policy Forum 2008 48
Mgawanyo … Marcossy A.M/Policy Forum 2008 • Hata hivyo, mchango wa idara ya Elimu katika miradi ya maendeleo umebaki kuwa mkubwa ikilinganishwa na idara zingine. • Tathmini zaidi ya mpango imeonesha kuwa Idara ya Elimu hutenga fedha zake kwa matumizi katika vitengo vitano: • Elimu ya Msingi • Elimu ya Sekondari (Upili) • Elimu ya Watu wazima • Utamaduni na Michezo • Utawala na uendeshaji 49
MgawanyowaFedhakwaVitengo Shule za Msingi 6,446,066,955, 94% Michezo&Utamaduni, Usimamizi, Na Ufuatiliaji 27,900,000, 0% Utawala E/Watu Wazima 174999177, 3% 54,040,000, 1% 130,553,949, 2% Marcossy A.M/Policy Forum 2008 50