1 / 304

Jinsi Mtu wa Mungu anavyoweza Kuutakasa, Kuukomboa na Kuutiisha Mwili

Jinsi Mtu wa Mungu anavyoweza Kuutakasa, Kuukomboa na Kuutiisha Mwili. Keko Lutheran Church 29 July – 05 Agosti, 2012 +255 – 713 – 497 – 654 www.mgisamtebe.org. UKOMBOZI WA MWILI. Kuushughulikia Mwili : Kuutiisha Mwili katika Mauti ya Kristo . 1Wathesalonike 4:1-4-7 Warumi 12:1-2.

zubeda
Download Presentation

Jinsi Mtu wa Mungu anavyoweza Kuutakasa, Kuukomboa na Kuutiisha Mwili

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. Jinsi Mtu wa Mungu anavyowezaKuutakasa, Kuukomboa na Kuutiisha Mwili Keko Lutheran Church 29 July – 05 Agosti, 2012 +255 – 713 – 497 – 654 www.mgisamtebe.org

  2. UKOMBOZI WA MWILI KuushughulikiaMwili: Kuutiisha MwilikatikaMauti ya Kristo. 1Wathesalonike 4:1-4-7 Warumi 12:1-2

  3. UKOMBOZI WA MWILI Tulikotoka … KUFANYIKA MWANA Warumi 8:19-23 Yohana 1:12

  4. KUSUDI LA MUNGU Warumi 8:19-23, 28-30 Viumbevyotevinauguanakulia, vikitakakufunuliwakwaWanawa Mungu,iliviwekwehurukutokakatikauharibifuuliokoduniani.

  5. KUSUDI LA MUNGU Warumi 8:19-23, 28-30 Nasipia, (watotowa Mungu) tunauguakatikanafsizetu, tukitazamiakufanyikaWanawa Mungu, yaaniukomboziwamwiliwetu.

  6. KUSUDI LA MUNGU 2Petro 1:3-4, Efe 4:17-24 Asiliyarohoiliyondaniyamwili, inauwezowaajabuwaKi-Uungu, (NguvuzaMungu/Utukufu)wakutuwezeshakuushindauharibifuwoteuliopoduniani, lakinizinazuiliwanahalimiiliyetu, ambayohaijafikiaUkombozi.

  7. ASILI YA MUNGU NDANI YETU. Mwa 2:7 Mungu Dunia Mwili Nafsi Roho RMt

  8. UKOMBOZI WA MWILI 2 Wakorintho 4:7-16 7.‘Lakini ndani yamiili yetu, ambayo ni vyombo vya udongo, tuna hazina hii (ya Utukufuwa Mungu na Uweza za Mungu). (Mafafanuzi yameongezewa)

  9. UKOMBOZI WA MWILI 2 Wakorintho 4:7-16 10.‘SikuzotetwachukuakuuwawakwaYesu (mautiyaKristo), katikamiiliyetu, iliuzimawaYesunao, udhihirishwekatikamiiliyetu’. (Mafafanuziyameongezewa)

  10. UKOMBOZI WA MWILI 2 Wakorintho 4:7-16 11.‘Kwa maana sisi tulio hai, siku zote, twatolewa tufe kwa ajili ya Kristo Yesu, ili uzima wa Yesu(Nguvu na Utukufu wa Mungu)pia udhihirishwe katika miili yetu ipatikanayo na mauti.

  11. UKOMBOZI WA MWILI 2 Wakorintho 4:7-16 12.‘Kwahiyo, hapo mauti hufanya kazi ndani yetu, bali uzima wa Mungu, hufanya kazi ndani yenu.

  12. UKOMBOZI WA MWILI Warumi 8:23, Efe 4:15 MtuunapokuakatikaImani (Upendo) nakufikiaukomboziwamwili, ndipohufanyikaMwanawaMungu, naileasiliyaMunguiliyondaniyake, hutokezakwanje, kamaUtukufuwaMungu.

  13. KUSUDI LA MUNGU 2Petro 1:3-4, Efe 4:17-24 Asiliyarohoiliyondaniyamwili, inauwezowaajabuwaKi-Uungu, (NguvuzaMungu/Utukufu)wakutuwezeshakuushindauharibifuwoteuliopoduniani, lakinizinazuiliwanahalimiiliyetu, ambayohaijafikiaUkombozi.

  14. ASILI YA MUNGU NDANI YETU. Mwa 2:7 Mungu Dunia Mwili Nafsi Roho RMt

  15. ASILI YA MUNGU KUFUNULIWA KUTOKA NDANI YETU. 1Kor 3:18 (Utukufu) Mwili Nafsi Roho RMt

  16. UTUKUFU WA MUNGU KUCHIPUSHA KARAMA NDANI YETU. 1Kor 3:18 (Utukufu) Karama na Vipawa RMt

  17. UKOMBOZI WA MWILI 1Wakorintho 13:1-13 Mtu akishafika katika ngazi ya Mwana wa Mungu, na kutumika kwa karama na Nguvu za Mungu, lazima awe na ‘nidhamu’ ya kutunza uhusiano wake na Mungu.

  18. UKOMBOZI WA MWILI 1Wakorintho 13:1-13 Karama na vipawa, vina nguvu ya ajabu ya kumfanya mtu kulewa utukufuhata kumsahau Mungu aliyempa hizo karama. (Mathayo 7:21-23)

  19. UKOMBOZI WA MWILI 1Wathesalonike 4:1-4-7 Mtumwenyekaramanavipawa, asipotunzautakatifuwake, anawezakubakinakaramanavipawa, lakini akapotezaheshimayakenakuharibuuhusianowakenaMungu.

  20. UTUKUFU WA MUNGU KUCHIPUSHA KARAMA NDANI YETU. 1Kor 3:18 (Ikabod) KaramanaVipawa ?

  21. UKOMBOZI WA MWILI Rumi 8:23, Math 7:21-23 Tusiposhughulikianafsinamiiliyetuipasavyo, miiliyetuitakuwakizuizichasisikufikakatikacheochaUanawaMungunakutembeanaNguvuzaMungunayamkinihatakutuzuiakuingiambinguni.

  22. UKOMBOZI WA MWILI 1Wathesalonike 4:1-4-7 • ‘Ndugu zangu, tuenende katika mwenendo msafi na mtakatifu wa Bwana Yesu … 4. Kila mtu ajue kuuweza (kuuthibiti) mwili wake …

  23. UKOMBOZI WA MWILI 1Wathesalonike 4:1-4-7 3. … kwa maana haya ndiyo mapenzi ya Mungu, kwamba mtakaswe (siku zote) mwepukane na uasherati…’ 7. Kwamaana Mungu hakutuitia uchafu, bali utakatifu.

  24. UKOMBOZI WA MWILI Warumi 12:1-2 ‘Basi, ndugu zangu nawasihi, itoeni miili yenu, iwe dhabihu iliyo hai na takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenye maana.

  25. UKOMBOZI WA MWILI Tafakari tofauti hizi; Rum 8:5-8 1Kor 6:15-20 Mwili kama Mwili kama Adui wa Hekalu la Mungu Mungu

  26. UKOMBOZI WA MWILI Warumi 8:5-8, 1Kor 6:15-20, Lazima kuna mchakato wa kufanyika, ili kubadili asili ya uadui na Mungu iliyo ndani ya mwili, ili mwili huo huo uweze kutumika kama rafiki wa Mungu.

  27. UKOMBOZI WA MWILI Tafakari tofauti hizi; Rum 8:5-8 1Kor 6:15-20 Mwili kama Mwili kama Adui wa Hekalu la Mungu Mungu

  28. UKOMBOZI WA MWILI 1 Wathesalonike 5:23 ‘Mungu awatakase kabisa roho zenu, nafsi zenu na miili yenu, ili muwe safi na kamili mpaka siku ya kuja kwake Bwana wetu na Mwokozi wetu Yesu Kristo.’

  29. ASILI YA MUNGU NDANI YETU. Mwa 2:7, Rum 8:5-8 Mungu Dunia Mwili Nafsi Roho

  30. BAADA YA ANGUKO (DHAMBI) Utukufu/Msaada(Ikabod) Mungu MwiliRoho Dunia Nafsi Shetani(Rum 8:9-11)

  31. UKOMBOZI WA MWILI Warumi 7:15-25 15-24 Jambo zurininalotakakulifanya, siwezikulifanya; na lile baya nisilotakakulifanya, ndilonajikutanimeshalifanya. (Wagalatia 5:16-19)

  32. UKOMBOZI WA MWILI Warumi 7:15-25 24. Ole wangu maskini mimi, nani ataniokoa na mwili huu wa mauti?

  33. UKOMBOZI WA MWILI Warumi 7:15-25 25.NamshukuruMungu, kwaajili ya YesuKristoaliyeBwananaMwokoziwetu.

  34. BAADA YA WOKOVU (KALVARI) (Utukufu) Mungu MwiliRoho Dunia Nafsi Shetani(Rum 8:9-11)

  35. UkomboziwaMwilinaNafsi Awamu ya Kwanza Utakaso wa Roho; 2Wakorintho 5:17

  36. UTAKASO WA MWILI HatuaTatuzaUshindi • KupokeaWokovuwaYesu • UjazowaRohonaNguvu • UshirikanaRohoMtakatifu

  37. HATUA ZA UKOMBOZI WA MWILI Kuukomboa Mwili Kuna baadhi ya watu, wana kiu na mambo ya Mungu, lakini hawawezi kufanya wanavyotamani. Ni kwasababu, miili yao haiwezi kuwaruhusu (haiko upande wao, sio hekalu, ni adui)

  38. UKOMBOZI WA MWILI Swali; Kwanini mtu awe na bidii sana katika Mungu na hata kukaa sana katika uwepo wa Mungu, lakini bado hawawezi kuitawala miili yao? (miili yao haitawaliki).

  39. UKOMBOZI WA MWILI Warumi 8:5-8, 1Kor 6:15-20, Ni kwasababu ule mchakato wa kuubadilisha Mwili kutoka katika Adui wa Mungu kuwa Hekalu la Mungu haujafanyika kabisa, au haujafanyika sawasawa.

  40. UKOMBOZI WA MWILI Utakaso zaidi Baada ya Wokovu 1 Wathesalonike 5:23

  41. UKOMBOZI WA MWILI 2 Wakorintho 5:17 ‘Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo, amekuwa kiumbe kipya, ya kale yamepita, tazama yote yameuwa mapya’.

  42. UKOMBOZI WA MWILI Waefeso 1:3-4, 7 ‘Mungu ametuchangua tuwe Watakatifu wake, watu wasi na hatia mbele zake… Katika Yeye huyo(Kristo Yesu), kwa damu yake tunao ukombozi wetu, msamaha wa dhambi.’

  43. UKOMBOZI WA MWILI Waefeso 4:17-24 ‘Tangu sasa, tangu mmempokea Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wenu, msienende tena kama mataifa wanaovyoenenda.

  44. UKOMBOZI WA MWILI Waefeso 4:17-24 ‘Bali ninyi, mvuekwahabari ya mwenendowakwanza, (matendoya uovu), mkavaeutumpya, unaofanywakwanamnaya (kwamfanowa) Mungu; namfanywewapyakatikaroho ya niazenu (nafsizenu) …’

  45. UKOMBOZI WA MWILI Waefeso 4:17-24, 1Thes 5:23 Ikiwatayariwameshafanyikaviumbewapyandaniya KristoYesu, Watakatifu wa Mungu, kwanini tena wanaambiwa, wanatakiwakufanywawapya (kutakaswa) katikanafsizaonakatikamwenendowao?

  46. UKOMBOZI WA MWILI Waefeso 4:17-24, 1Thes 5:23 Wokovu(mabadiliko) katikaroho ya mtu, ni waghafla (wapapo kwahapo); lakini wokovu (mabadiliko) katikanafsinamwiliwamtu, ni ya hatuakwahatua (ni process).

  47. UKOMBOZI WA MWILI 1Wathesalonike 5:23 Toba na Utakaso kamili (wa kweli), ni ule unaoshughulikia si roho peke yake, bali pia na nafsi zetu na miili yetu.

  48. UKOMBOZI WA MWILI Wokovu ni hatua za awali za utakaso na ukombozi wa mtu. Baada ya hatua za awali za wokovu, mtu wa Mungu, anatakiwa kupita katika awamu ya pili ya kufunguliwa (ikiwa yuko katika vifungo na vizuizi)

  49. UKOMBOZI WA MWILI Mfanowa 1: Huduma ya Ukombozi (Toba naUtakaso) Ya Kanisa la Kwanza. Matendo19:18-20

  50. UKOMBOZI WA MWILI Matendo 19:18-20 Walewalioamini (waliookoka) kwakufundishwa, walitoanakuletahadharani, vitabunavituvyotewalivyotumiazamanikatikamaisha ya giza, nakuvunjamikatabayoteya uovu, kwakuvichomanakuviteketeza…

More Related