1 / 367

KUMPENDA MUNGU ‘ Faida na Nguvu zilizopo katika Kukua na Kuongezeka katika Kumpenda Mungu. ’

KUMPENDA MUNGU ‘ Faida na Nguvu zilizopo katika Kukua na Kuongezeka katika Kumpenda Mungu. ’. Mwl . Mgisa Mtebe +255-713-497-654 www.mgisamtebe.org. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO. Warumi 8:28

monita
Download Presentation

KUMPENDA MUNGU ‘ Faida na Nguvu zilizopo katika Kukua na Kuongezeka katika Kumpenda Mungu. ’

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. KUMPENDA MUNGU‘Faida na Nguvu zilizopo katika Kukua na Kuongezeka katika Kumpenda Mungu.’ Mwl. Mgisa Mtebe +255-713-497-654 www.mgisamtebe.org

  2. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Warumi 8:28 28 Nasi twajua ya kuwa, katika mambo yote, Mungu hufanya kazi pamoja na wale wanaompenda, katika kuwapatia mema.

  3. NGUVU YA UPENDO UpendowaMungu Yohana 3:16 Yohana 14:23,21

  4. AINA ZA UPENDO Yoh 3:16, Rum 1:28-32/5:5-8 Kwa maana jinsi hii, Mungu aliupenda ulimwengu wa watu waovu na wenye ubaya wa kila namna, akamtoa Mwanaye wa pekee Yesu Kristo, kufa kwa ajili yao.

  5. AINA ZA UPENDO Yohana 14:23,21 Bwana Yesuakasema, ‘Mtuakinipenda,atapendwana Baba yangualiyejuu; Namipianitampenda; nasitutakujakufanyamakaokwake, nakujifunuakwake’.

  6. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Tafakari Neno Upendo katika mistari ifuatayo; Yohana Yohana 3:16 14:21,23

  7. AINA ZA UPENDO Yyoh 3:16 ; Yoh 14:23,21UpendowaMunguunaotajwakatikaYoh 3:16nitofautinaUpendowaMunguunaotajwaktkYoh 14:21-23KumbekunaainatofautizaUpendowaMungu.

  8. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO TafakariNenoUpendokatikamistariifuatayo; Yoh 3:16 Yoh 14:21-23 UpendoUpendo UsionaWenye MashartiMasharti

  9. AINA ZA UPENDO Yyoh 3:16 ; Yoh 14:23,21UpendowaMungukwawanadamu, haukokatikangazimoja,haufanani. Munguanatupendakitofauti-tofauti.

  10. AINA ZA UPENDO Yyoh 3:16 ; Yoh 14:23,21 Mungu anatupenda wanadamu kwa aina tofauti-tofauti za Upendo. Hii ina maana kwamba, kuna aina mbalimbali za Upendo.

  11. NGUVU YA UPENDO AinazaUpendo Yohana 3:16 Yohana 14:23,21

  12. NGUVU YA UPENDO AinazaUpendo. • AGAPE(UpendowaMungu) • STORGE(UpendowaNdugu) • PHILEO(UpendowaKirafiki) • EROS(UpendowaMahaba)

  13. NGUVU YA UPENDO AinazaUpendo. • AGAPE (Godly Love) • STORGE (Family Love) • PHILEO (Friendship Love) • EROS (Romantic Love)

  14. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 1. AGAPE (Godly Love) UPENDO WA MUNGU Rum 5:8 Yoh 3:16

  15. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO SifaKuu (4) zaUpendo - Agape. • Hauangaliihali ya mtu ya nje. • Haunamashartiyoyote. • Haunakipimoaukiwango. • Haunamwisho au kikomo.

  16. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 1. AGAPE (Godly Love) UPENDO WA MUNGU Mfano; UpendowaMungukwaWanadamu/Ulimwengu. (Yohana 3:16, Rum 1:28-32)

  17. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 1. AGAPE (Godly Love) UPENDO WA MUNGU Mfano; UpendowaMsamariamwemakwaMhanga. (Luka 10:29-37)

  18. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 2. STORGE (Family Love) UPENDO WA KINDUGU (Upendo wa Damu)

  19. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO SifaKuu (4) zaUpendo - Storge. • Hauangaliihali ya mtu ya nje. • Haunamashartiyoyote. • Haunakipimoaukiwango. • Haunamwisho au kikomo.

  20. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 2. STORGE (Family Love) UPENDO WA KINDUGU Luka 15:11-32 (Upendo wa Baba kwa Mwana Mpotevu)

  21. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 2. Storge (Family Love) UPENDO WA KINDUGU Mfano; Upendowa Musa kwaWaebrania. (Kutoka 2:11-12)

  22. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 3. PHILEO (Friendship) UPENDO WA KIRAFIKI (Upendo wenye Sababu) Mithali 18:24

  23. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO SifaKuu (4) zaUpendo - Phileo. • Huangaliahali ya mtu ya nje. • Una mashartifulani-fulani. • Una kipimoaukiwango. • Unamwisho au kikomo.

  24. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 3. Phileo (Friendship Love) UPENDO WA KIRAFIKI Mfano; Upendowa Jonathan naDaudi. (1Samwel 18:1-5)

  25. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 3. Phileo (Friendship Love) UPENDO WA KIRAFIKI Mfano; Upendo wa Yesu kwa Martha, Mariam na Lazaro. (Yahano 11:1-5)

  26. AINA ZA UPENDO Kama binadamuwanavyowezakupendanakatikaurafikiwakaribusana, vivyohivyo, Munguanawatuwalimpendasanahatakujenganayeuhusianowakaribusanawakirafiki. (Mathayo 22:37-38)

  27. AINA ZA UPENDO Mathayo 22:37-38 “Mpende Bwana Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote.Amri hii ndiyo kuu, tena ndiyo ya kwanza.”

  28. AINA ZA UPENDO Yohana 14:23,21 Bwana Yesuakasema, ‘Mtuakinipenda,atapendwana Baba yangualiyejuu; Namipianitampenda; nasitutakujakufanyamakaokwake, nakujifunuakwake’.

  29. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Warumi 8:28-30 Kiwango cha utendajikaziwaNguvuzaMungumaishanimwako, kitategemeasanakiwango cha UpendowakokwaMungu.

  30. AINA ZA UPENDO Math 22:37-38, Yoh 14:23,21 Kuna watu wamempenda Mungu sana kuliko wengine, nao wamepewa kiwango cha juu cha Upendo wa Mungu, wamekuwa Marafiki wa Mungu Mwenyezi.

  31. AINA ZA UPENDO Mithali 8:17 ‘Ninawapendawanipendao, na walewanitafutao kwa bidii, wataniona. (nitajifunua kwao kwa njia ya kipekee).’

  32. AINA ZA UPENDO 3. Phileo (Friendship Love) UPENDO WA KIRAFIKI Mfano; Upendo wa Kirafiki kati ya Mungu na Henoko (Enock). (Mwanzo 5:21-24)

  33. AINA ZA UPENDO 3. Phileo (Friendship Love) UPENDO WA KIRAFIKI Mfano; Upendo wa Kirafiki kati ya Mungu na Ibrahimu. (Yakobo 2:23)

  34. AINA ZA UPENDO 3. Phileo (Friendship Love) UPENDO WA KIRAFIKI Mfano; Upendo wa Kirafiki kati ya Mungu na Musa. (Hes 12:5-10; Kut 33:9-23; )

  35. UPENDO WA KIRAFIKI 3. Phileo (Friendship Love) UPENDO WA KIRAFIKI Mfano; Upendo wa Kirafiki kati ya Mungu na Mfalme Daudi. (Mathayo 12:1-8)

  36. HEKALU la Mungu Patakatifu pa Patakatifu Patakatifu Uwanda wa Nje

  37. UPENDO WA KIRAFIKI 3. Phileo (Friendship Love) UPENDO WA KIRAFIKI Mfano; Upendo wa Kirafiki kati ya Mungu na Mfalme Daudi. (1Sam 13:13-14, Mdo 13:21-22)

  38. UPENDO WA KIRAFIKI 3. Phileo (Friendship Love) UPENDO WA KIRAFIKI Mfano; Upendo wa Kirafiki kati ya Yesu na Yohana. (Yohana 21:15-24)

  39. 1 (Yoh 21:15-24)(Yoh 213(Math 17:1-9) 12(Luka 6:12-15) 70(Luka 10:1,17) 120(Mdo 1:15) 500(1Kor 15:3-8) UmatiwaWanafunzi. NGAZI ZA WANAFUNZI WA YESU

  40. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 4. EROS (Romantic) UPENDO WA MAHABA Efe 5:25; Mhu 9:8-9; Wimbo 7:1-10 / 4:1-7

  41. Sifa Kuu (4) za Upendo - Eros. • Huangaliahali ya mtu ya nje. • Una mashartifulani-fulani. • Una kipimoaukiwango. • Unamwisho au kikomo. • Unaelekeakwamtu 1 tu. • Ni Mtu wajinsiatofautitu. • UnakuwanaAgano.

  42. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 4. Eros (Romantic Love) UPENDO WA MAHABA Mfano; Upendo wa Mahaba kati ya Isaka na Rebeca. (Mwanzo 26:11)

  43. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 4. Eros (Romantic Love) UPENDO WA MAHABA Mfano; Upendo wa Mahaba kati ya Yakobo na Raheli. (Mwanzo 29:16-20 (10-30)

  44. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 4. Eros (Romantic Love) Mfano; Upendo wa Bwana Yesu na Mungu Baba. Yoh 15:9-10, Yoh 10:38,30 Yoh 14:10-11, 20

  45. 1 (Math 26:36-41)(Yoh 213(Math 17:1-9) 12(Luka 6:12-15) 70(Luka 10:1,17) 120(Mdo 1:15) 500(1Kor 15:3-8) UmatiwaWanafunzi NGAZI ZA WANAFUNZI WA YESU

  46. MEASURE OF LOVE Kiwango cha Upendo Je UnampendaMunguKiasiGani? Yohana 21:15-17

  47. NGUVU YA UPENDO Kiwango cha Upendo (Yesuna Petro) Yohana 21:15-17

  48. NGUVU YA UPENDO Kiwango cha Upendo (Yesu na Petro) Yohana 21:15-17 ‘Simoni Mwana wa Yona, Je wanipendakulikohawa?’

  49. NGUVU YA UPENDO Kiwango cha Upendo Mfano; (Yesu, Simoni, Kahaba) Luka 7:36-50

  50. NGUVU YA UPENDO Kiwango cha Upendo Luka 7:36-50 ‘Wewe, umesamehewadhambikidogo, ndiomaanaumependakidogo; lakinimwanamkehuyu, amesamehewadhambinyingi, nandiomaanaamependasana.’

More Related