6.95k likes | 7.69k Views
KUUFAHAMU NA KUUTAWALA ULIMWENGU WA ROHO KWA. NGUVU YA MAOMBI Mwalimu, Mgisa Mtebe 0713 497 654. KUUFAHAMU NA KUUTAWALA ULIMWENGU WA ROHO KWA. NGUVU YA MAOMBI 2Petro 1:3-4. 2Petro 1:3-4
E N D
KUUFAHAMU NA KUUTAWALA ULIMWENGU WA ROHO KWA NGUVU YA MAOMBI Mwalimu, Mgisa Mtebe 0713 497 654
KUUFAHAMU NA KUUTAWALA ULIMWENGU WA ROHO KWA NGUVU YA MAOMBI 2Petro 1:3-4
2Petro 1:3-4 3 Kwakuwauweza wake (yaani, nguvuzakeza) uunguumetupatia mambo yotetunayohitajikwaajiliyauzimanauchajiwaMungu, kwakumjuaYeyealiyetuitakwautukufu Wake nawema Wake mwenyewe.
2Petro 1:3-4 4 Kwasababuhiyo, ametukirimiaahadiZakekuunazathamanikupitia mambo haya, ilikwakupitiahayompatekuwawashirikiwatabiazauungu, mkiokolewanauharibifu (au upotovu) uliokodunianikwasababuyatamaambaya.
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Summary KUSUDI LA KANISA KUMILIKI NA KUTAWALA
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Summary KUSUDI LA KANISA KUMILIKI NA KUTAWALA KUSTAWI NA KUONGEZEKA
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Summary KUSUDI LA KANISA KUMILIKI NA KUTAWALA KUSTAWI NA KUONGEZEKA KUMSIFU NA KUMWABUDU
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mwanzo 1:26,28 26 Tufanye mtu kwa sura yetu na kwa mfano wetu wakatawale dunia na vyote tulivyoviumba juu ya uso wa dunia.
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mwanzo 1:26-18 28 Mungu akaumba Mwanaume na Mwanamke, akawaweka katika bustani ya dunia, akawaambia, zaeni mkaongezeke na kuitawala (kuitiisha) dunia.
KUSUDI LA KANISA Ufunuo 5:9-10 9 WeweMungu … unastahiliheshimazote, kwasababuulichinjwana kwa damu yako ukamnunulia Munguwatukutoka katika kila kabila, kila lugha, kila jamaa na kila taifa. (yaani kanisa).
KUSUDI LA KANISA Ufunuo 5:9-10 10Nawe umewafanya hawa wawe Ufalme na Makuhani wa kumtumikia Mungu wetu, nao wanamiliki dunia.’’
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Ufunuo 5:8-10 UfalmeMakuhani KutawalaIbada
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Ndiomaanatunapokumbukakuzaliwakwa Bwana Yesuduniani, (kamaAdam wapili), tunakumbushwakwamba, alizaliwa kwanza kamaMfalmenasioKuhani, ilikurudishamamlakayaMunguduniani.
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo, kusudi la awali la Mungu ni kumwezesha mwanadamu kuitawala dunia(pamoja na Mungu) ili mwanadamu awe na maisha mazuri yatakayomwezesha kuwa chombo kizuri cha ibada.
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Zaburi 8:4-8 Mwanadamuninanihataumemwangaliahivi? UmemfanyamdogokidogotukulikoMungu,
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Zaburi 8:4-8 ukamvikatajiyaUtukufunaheshima, ukamtawazajuuyakazizamikonoyako, ukavitiavituvyotechiniyamiguuyake…
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Zaburi 8:4-8 Hilo neno “juu ya” = (Over All) = Mkuu = Mtawala “Mashal” = Mfalme (Kiebrania) = Mwakilishi = Mungu
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mathayo 16:18-19 18 Na milango ya kuzimu haitaweza kulishinda kanisa langu nitakalolijenga (kwa mfumo huu).
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mathayo 16:18-19 19 Kwa maana nitawapa funguo za Ufalme, na mambo mtakayoyafunga (ninyi) yatakuwa yamefungwa (mbinguni);
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Mathayo 16:18-19 19… na mambo mtakayoyafungua (ninyi) yatakuwa yamefunguliwa (mbinguni)
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Zaburi 115:16 Mbingu ni mbingu za Bwana, bali nchi amewapa wanadamu
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo, kusudi la awali la Mungu ni kumwezesha mwanadamu kuitawala dunia(pamoja na Mungu) ili mwanadamu awe na maisha mazuri yatakayomwezesha kuwa chombo kizuri cha ibada.
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Ili kumwezesha mwanadamu kuitawala dunia pamoja na Mungu, Mungu alimuumbia mfumo wa uungu katika utu wake wa ndani, ili atende kazi duniani kwa kutumia Nguvu za Mungu. (Mwanzo 1:26-28)
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Mwanzo 1:26-18 Kwanini ni lazima Kuitawala Dunia? (kuitiisha)
KwanininilazimakuitawalaDunia? Kuna kunaupinzani waaduishetani (vita namapambano)
VITA VYA ROHONI Ufunuo 12:3-4, 7-12, 17 7 “Kulikuwa na vita mbinguni, Malaika Mkuu wa majeshi ya Mungu, Malaika Mikaeli, akapigana na yule joka …
VITA VYA ROHONI Ufunuo 12:3-4, 7-12, 17 3 “ambaye ni baba wa uongo, na mkiani mwake anakokota theluthi (1/3) ya nyota za mbinguni (malaika wa Mungu) …
VITA VYA ROHONI Ufunuo 12:3-4, 7-12, 17 7 “Kulikuwa na vita mbinguni, katika ya Mikaeli, malaika Mkuu wa majeshi ya Mungu, na yule joka (ibilisi shetani) na malaika zake aliowadanganya …”
VITA VYA ROHONI Ufunuo 12:3-4, 7-12, 17 8 “Nao hawakushinda, wala mahali pao hapakuonekana tena mbinguni. 9 Yule joka aitwaye ibilisi na shetani, akatupwa duniani, na malalika zake wakatupwa pamoja naye.
VITA VYA ROHONI Ufunuo 12:3-4, 7-12, 17 10 “Nikasikia sauti kuu mbinguni, ikisema, sasa kumekuwa wokovu na nguvu na ufalme wa Mungu wetu na mamlaka ya Kristo wake, kwa maana ametupwa chini mshitaki wa ndugu zetu”.
VITA VYA ROHONI Ufunuo 12:3-4, 7-12, 17 11 “Nao wakamshinda yule joka na malaika zake, kwa damu ya mwana kondoo na kwa neno la ushuhuda wao, ambao hawakupenda maisha yao hata kufa”.
VITA VYA ROHONI Ufunuo 12:3-4, 7-12, 17 12 “Kwahiyo shangilieni enyi enyi wote mkaao mbinguni; lakini ole wa ninyi mkaao duniani! Kwa maana yule joka ibilisi, ameshuka kwenu, ana hasira nyingi akijua ana wakati mchache!
VITA VYA ROHONI Ufunuo 12:3-4, 7-12, 17 17 “Joka akamkasirikia yule mwanamke (kanisa), akaenda afanye vita juu wa wazao wake wazishikao amri za Mungu na kuwa na ushuhuda wa Yesu …”
KwanininilazimakuitawalaDunia? Kwasababukuna vita Mathayo 16:18-19 Ndiomaana Bwana Yesualisema ‘NitalijengaKanisalangu, walamilangoyakuzimu (nguvuzagiza) haitawezakulishindakanisalangunitakalolijenga’
VITA VYA ROHONI Kwahiyo, ni lazima tutumie mamlaka ya Mungu duniani, kwasababu, kuna vita na upinzani(mashindano), kati ya shetani na watoto wa Mungu (kanisa la Bwana Yesu).” (Mathayo 16:18)
KwanininilazimakuitawalaDunia? Kutawala Ni Mfanona Asiliya Baba yetu ‘Mfalmewawafalme’
KwanininilazimakuitawalaDunia? Ni Mfano/Asiliya Baba yetu Mwanzo 1:26,28 ‘Tufanyemtukwasurayetunakwamfanowetu, wakatawaledunianavyotetulivyoviumbajuuyausowadunia’.
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Mwanzo 1:26-18 Kwanini ni lazima Kuitawala Dunia? (kuitiisha)
KwanininilazimakuitawalaDunia? Kuna kunaupinzani waaduishetani (vita namapambano)
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Shetani ametangaza vita na wototo wote wa Mungu, kwasababu Mungu amempiga na kumfukuzwa kutoka katika mbingu takatifu na kutoka katika cheo chake cha kuongoza ibada za malaika wa mbinguni.
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Hivyo, Shetani anachowinda, ni kumlipizia Mungu kisasi; lakini kwakuwa hawezi kurudi juu kumlipizia Baba kisasi, ndio maana anaamua kumalizia hasira zake zote kwa watoto wa Mungu, yaani mimi na wewe (kanisa).
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo, Shetani anachokifanya, ni kutafuta namna ya kumpigabinadamu na mazingira yake, ili kumvurugia Mungu ibada, anayoitamani sana kutoka duniani (kwa watoto wa Mungu).
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA KUSUDI LA KANISA Ni Kanisa liweze kulimiliki na Kutawala dunia na mazingira yake, ili binadamu aweze kuishi maisha mazuri na kuwa chombo kizuri cha kumsifu na kumwabudu Mungu aliye juu.
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Hivyo, Nguvu za Mungu ni za lazima katika maisha, ili kumwezesha mwanadamu, kumshinda adui shetani na vizuizi vyake na kumwezesha kutawala maisha yake na mazingira yake. (Mwanzo 1:26-28; Zaburi 8:4-8)
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo, Nguvu za Mungu ni za lazima, ili kumwezesha mwanadamu kuitawala dunia pamoja na Mungu, na kumwezesha mwanadamu awe chombo kizuri cha ibada, (Mwanzo 1:26-28)
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Hivyo, Mungu anapokupa Nguvu zake, kwa ajili ya maisha yako duniani, anatafuta kukulinda wewe, ili pia kuilinda na ibada yake inayotoka katika maisha yako (inayotoka duniani). (Yohana 4:23)
VITA VYA ROHONI Ni kwamba, kuna mapambano, kuna vita na upinzani(mashindano), kati ya shetani na watoto wa Mungu (kanisa la Bwana Yesu Kristo).” (Mathayo 16:18-19)
KUUFAHAMU NA KUUTAWALA ULIMWENGU WA ROHO KWA NGUVU YA MAOMBI Yakobo 5:16-18
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Yakobo 5:16-18 17 Eliya likuwa mwanadamu kama sisi, lakini aliombakwa bidii, mvua isinyeshe juu ya nchi, na mvua haikunyesha juu ya nchi kwa muda wa miaka mitatu (3) na miezi sita (6).
KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Yakobo 5:16-18 18 (baada ya miaka mitatu na nusu) Eliya akaomba tena kwa bidii, ili mvua inyeshe, na mvua ikanyesha, na nchi ikazaa matunda yake.