1 / 15

JUKWAA LA FURSA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA MKOA WA TABORA

JUKWAA LA FURSA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA MKOA WA TABORA. HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA. Dr John Marco Pima (PhD). 1.0 UTANGULIZI. Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua ni moja kati ya Halmashaui nane za Mkoa wa Tabora.

doherty
Download Presentation

JUKWAA LA FURSA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA MKOA WA TABORA

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. JUKWAA LA FURSA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA MKOA WA TABORA HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA Dr John Marco Pima (PhD)

  2. 1.0 UTANGULIZI • HalmashauriyaWilayaya Kaliua nimojakatiyaHalmashauinanezaMkoawa Tabora. • Kijiografia, Kaliua ninjiapandakuelekeaMpandanaKigomakwanjiazaRelinaBarabara. PiainaunganishwanaKahamakupitiaUshetu. • Kwafupi, biasharayototeinayowezakufanyika Kaliua inauhakikawasokokwenyenchiza Rwanda, Burundu, DRC Congo, Uganda na Kenya. • Bustani, misitunamabondemadogomadogondiomandhariinayokukaribishaunapoingiakatikaHalmashauriyaWilayaya Kaliua mkoaniTabora.

  3. 1.0 UTANGULIZI…. • Kaliua inaeneolenyeukubwawakilometazamraba 14,050 ambalonisawanaasilimia 18.8 yaeneo la Mkoawa Tabora • Eneola Wilayaya Kaliua linalotumikakwamakazinakilimo/ufugajiniasilimia 11 tuyaanikilometazamraba1,545.50. • Kwamwaka 2017 Wilayaya Kaliua inakadiriwakuwanajumlayawatu 497,272. Kati yahaowanaumeni 248,244 nawanawakeni 249,098. Ongezeko la idadiyawatuni 4.8% nakaya75,460.

  4. 2.0 FURSA ZA UWEKEZAJI • Wilayaya Kaliua ipo kwenye mwinuko wa meta 1100m kutoka usawa wa bahari na joto ni la wastani wa 21.30C –33.00C, na hupokea kiasi cha mvua kati ya mm 900 – 1200 kwa mwaka, ardhi yenye rutuba, uoto wa asili uliorindimwa na miti aina ya miombo, mninga, mkurungu na mtundu. • Kuna mtandao wa barabara 843 km, reli, kiwanja cha ndege, huduma za kibenki na taasisi za huduma za kifedha, maji na umeme unaowezesha kuendesha mitambo inaifanya wilaya hii kuwa ni kivutio kwa uwakezaji katika sekta za mifugo, asali, kilimo, viwanda, utalii, elimu, afya na biashara.

  5. 2.1 RANCHI ZA MIFUGO • Wilayaya Kaliua inaidadikubwayamifugoyaainambalimbaliambapong’ombeni 552,536, mbuzi 91,777, kondoo 17,441, nguruwe 5,250, sungura 196, punda 764, kuku 304,918, bata 17,968 na kanga 2,823. • Eneo la malisholililopimwanakutengwahekta 36,355.99 kwaajiliyamalishokatikavijiji13. • Yapomaeneomenginemengikatikaeneo la Ulyankulu, Mwongozo, Silambo, naIgwisinaUyowa. • Tunakaribishauwekezajiwa RANCHI katikamaeneohaya.

  6. 2.2 ASALI • UwepowamisitumikubwayaMpandaline, North Ugala, ISAWIMA, Luganzo Controlled area, HifadhiyaUlyankulu, nangitirizavijijihuvutiasanaufugajiwanyuki. • Kwamwaka Kaliua huzalishatani 550 kutokakwenyevikundivyawafuganyuki 33 nawafugajibinafsi. • Hivyozaolinaibuafursazauanzishwajiwaviwandavyauchakatajiwaasalinabidhaazitokanazonaasalikama vile nta, gundi, mvinyo, polishinamishumaa.

  7. 2.3 TUMBAKU • Kaliua nimkoawaTumbakukwanihuzalishakwawingizaohili. Mathalan, wastaniwa kilo milioni 9 hadimilioni12 kwamwaka. • Yapomaeneomengiyakuwekezakatikakilimohiki. • Tunakaribishauwekezajikatikasektahii, piawakulimawadogonawakubwaambapoHalmashauriitawawezeshakupatamashamba, miondombinunamawasiliano.

  8. 2.4 KOROSHO • Koroshoinastawivizurisana Kaliua. • Kwasasakoroshonimojayazao la kimkakatikatikaWilayaya Kaliua ambaposhulezote (MsinginaSekondari), watubinafsinawakulimawadogonawakubwawanaendeleakupangazaohili. • Zaidiyaekari 5,258 zinatarajiwakuwazimepandwahadiFebruari 2019. • Hivyo, kunafursakubwakatikasektahiikwawakulima, wafanyabiasharanawawekezaji.

  9. 2.5 MAZAOMENGINEYO • Kaliua nimzalishajimkubwawaKaranga, Mahindi, Mpunga, Pamba, ViaziVitamu, Maharage, Mtama, Mihogo, naAlizeti. • Uzalishajihuumkubwa, huvutiawafanyabiasharawengi. • Ili kuongezathamaniyamazaohaya, Halmashauriinakaribishauwekezajikatikaviwandavyauchakatajimazao, maghalayakuhifadhianafaka, nausafirinausafirishaji.

  10. 2.6 KILIMO CHA UMWAGILIAJI • HalmashauriyaWilayayaKaliuainamabondemakubwayanayofaakwakuwekezakwaajiliyakilimo cha umwagiliajiyenyejumlayahekta 9,200. Kati yaeneohilohekta 1,950 hutumikakwaumwagiliajiwaasili, sawanaasilimia 10.1 ambapomazaoyambogamboganamatundahuzalishwa • Katazinazofaakwakilimo cha umwagiliajiniKazaroho, Mwongozo, Ushokola (kijiji cha Usimba), Igwisi (kijiji cha Usangi), Igombemkulu, Ichemba, Uyowa, Sasu, Selelina Usinge.

  11. 2.7 UFUGAJIWA SAMAKI • Kuna mitoyakudumuyaUgalanaIgombenahivyokuchocheaufugajIwasamakikwanjiayamabawa au vizimba • MaeneoyanayofaakwakaziyametengwakatikakatazaIgagala, Zugimlole, Ushokola, IlegenaUsinge • Kwasasaufugajiunaofanyikaniwaasilinakatikakipindi cha mwaka 2017/2018 wavuviwalivuasamakiwapatao 200,789.

  12. 2.8 BIASHARA • Kaliuainafursanyingizakiuwekezajinabiasharakama vile kuwekezakwenyevisimavyamafutakatikamanenoyaUlyankulu, Kaliua, IgagalanaUsinge • AidhawatuwenyemitajiwanakaribishwakuchangamkiafursazautoajiwahudumamfanousafirishajiwaabiriakatikamaeneoyaKaliuamjinikuelekeaofisiyamkurugenzimtendaji, minadayaMkuyuninaPozamoyonamaeneomenginemengi • Usafiriambaounaopendekezwakatikauwekezajinibajaji, minibus, costernateksi.

  13. 2.9 UTALII • Kutokananasababumbalimbalizakihistoria, kiutamaduninakijeografiazinaiwekaWilayayaKaliuakatikafursayauwepowashughulizautaliiambazohutegemeavivutiovilivyoponamajirayamwaka • Vivutiohivyonikamavifuatavyo; Luganzo Game Controlled Area, Kaburila mtemiMilambo, maajabuyamilimayaIgwisinanjiayautumwaIselamagazi- Ulyankulu.

  14. 3. UWEZESHAJI NA MAWASILIANO Halmashauriimeundatimuyakuratibushughulizote zawawekezajinauwekezaji. Tafadhali, kwamaswali, maoni, ushauri, au hudumazakujuafursazilizopo HalmashauriyaWilayaya Kaliua tufikiekupitia:  • Email: ded@kaliuadc.go.tz • Website: www.kaliuadc.go.tz • Simu:+255 622 225 618 / +255 732 988 451 • Mratibu: +255 627 022 034 • Secretariat: +255 712 222 599

  15. 4. HITIMISHO ASANTENIKWAKUNISIKILIZA NA KARIBUNI SANA WILAYA YA KALIUA

More Related