981 likes | 4.15k Views
UTANGULIZI WA FASIHI YA KISWAHILI KF 102. Prof. Aldin K. Mutembei (PhD) Ofisi # 317 Jengo la Kiswahili Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, CKD. LENGO KUU na MUHIMU Kuhusu Usomaji katika CKD. Kuwajibika na Kuondoa woga. Mambo ya Jumla kuhusu Maisha ya Chuo Kikuu.
E N D
UTANGULIZI WA FASIHI YA KISWAHILIKF 102 Prof. Aldin K. Mutembei(PhD) Ofisi # 317 Jengo la Kiswahili TaasisiyaTaaluma za Kiswahili, CKD
LENGO KUU na MUHIMUKuhusuUsomajikatika CKD KuwajibikanaKuondoawoga
Mambo yaJumlakuhusuMaishaya Chuo Kikuu • WajibuwakokamaMwanafunzi • KUSOMA: • Usomajiwabinafsi; • NguvuyaMakundi; • KujisomeaMaktaba (Majengo); • Maktaba za Mkondoni.
Maishaya Chuo… • ZINGATIA UMUHIMU HUU: • Andikavizuri, kwauwazi, namojakwamoja • UwenamwonekanotofautikamaMwanachuo • Kuna MtuwaMitaani (lugha, mavazi, ujengajihoja), naMwana CKD • HuwezikusomakwamakinihadiUjisake: WeweniNani?
Maisha…MTU MWENYEWE • Falsafaya Sufi Bayazid • Kujitambua, Kujithamini, Kujipenda(LUGHA, mavazina FIKRA) • Unajitambua? Unawezakumtambuamwingine. • Unajithamini? Unawezakumthaminimwingine. • Unajipenda? Unawezakumpendamwingine
Maisha…TUNAVYOKUTARAJIA UWE • UmekujakusomanaKuelimika. • TunatakahatimayekuonamatundayaElimuYako • Umekujakuhesabikakuwamiongonimwawachachewenyebahati • Tunatakakuionabahatihiyo • Itumiebahatihiyobilakuichezea • UmekujaKusomanaKufaulu
Maisha…CKD Kikujengee UZALENDO: • UzalendonaKupendanchiyako. KuwatayarikuipiganianaKuitetea • UzalendowaKupendayaliyomokatikanchiyako, kuyatangazanakuyasimamia. • Uzalendowakupendalughayako: kuitumianakuieneza. • Ikiwahuwezikujipenda, nakuwapendawengine, nivigumukupendanchiyako.
Mihadharaya Chuo naUsomaji • HujengwakwaKUSIKILIZAnakuandikakilichozungumzwa • Siokunakilituyaliyoandikwa (notes) • Siokutoatunakala (photocopy) • Jenga, uwezowa • kusikiliza, kutambuakilichosemwa • Kuchukuaunachoonakinafaa • Kuandikayaleyatakayokukumbushakilichosemwa • Kamweusikariri. Ni makosamakubwasanakukariri, bilakuelewainachosemwa. Hakikishahutokinjeyadarasabilakuelewakilichosemwa.
UHURU WA MAWAZO • Jengahaliyakujiamini. • Jengauwezowakutoahoja. • Anza taratibu, najizoezekutoahoja. • Usijiteteekamahuna cha kujitetea, ila • Usinyamazeikiwaunalo la kusema. • Kupingakwahojakwaniayakukuzamaarifanitabiainayotarajiwakwamsomi. • Msomimzurihutoamawazoyakebilawoganakuwatayarikukosolewa au kukosoawenzake.
UhuruwaMawazo… • Mwalimusiadui, nirafikianayetakakupitiakwakeupandengazi, ufikejuu. Juusana. • Walimuwazurihuwaruhusuwanafunzikuwapita, nahujivuna pale wanapowaonawanafunziwaowakiwakatikanafasimbalimbali za juu: Kimasomo, Kimapato, Kimaishan.k • Ninawatiamoyonakuwakaribishakatika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. • Mmekujakusoma, kuelewanakufaulu!
KaziyaNyumbani • Kila mtuasomenakutafakariMakalayamwaka 1971: Matumiziya Kiswahili Nchini, ShuleninaVyuoni (J.K. Kiimbila) KatikaKichocheo cha Uchunguziwa Kiswahili, uk. 60 -69. Makavazi. • Linganishamawazohayoyazaidiyamiaka 40 namawazoyasasa. Je kunakipikipya? • Novemba 21, 2018
Mihadhara: UTANGULIZI… • Tunajifunzasomohiliilitugunduenini? • Sanaaninjiayamwanadamukujieleza • Fasihikamakioo cha jamii – kinaioneshajejamii? • Lughakamakioo cha fikra – kinazioneshafikrazipi • Lughakamakichukuzi cha mila – inachukuamilazipi
MIHADHARA • FasihiniNini? • 1. HISI: Siotusuala la hisia, baliniuoneshajiwamahusianobainayawatu; nawatuna dunia yaokatikajamiikwanjiayakisanaa. • 2. KIOO CHA JAMII: Ni zaidiyaKioo. Haituoneshitu, balinimjadalawaharakati za mwanadamukatikakuyaingiamaisha, kuyatengeneza, kuyabadilisha, kuyaishinahatimayekuachananamaisha.
Mihadhara… • FasihiniNini? • 3. MAJADILIANO: Hujadilimaishakwakipindifulani cha historia, historiayenyewe, chimbuko la jambonamustakabali wake. • 4. Zao la historia, huiitikahistoria, nahuchongwanahistoria. • 5. Ni sanaaambayohutengenezwakutokananamchakatowakihistorianakiharakatikatikamaishayajamii.
Chimbuko la Fasihi • HiviFasihiilitokawapi? Na Je kila JamiiinaFasihi au Fasihinikwawachache? • Kuna Nadharia au Mitazamo 4 • 1. Chimbuko lake niMungu/Miungu(dhanifu) • Imekuwapodunianikamazawaditokakwamungukwawateulewachache • MungumwenyewenimsaniiMkuu • Nyimbo mf. Ooh Lulu
Chimbuko …/ • 2. Chimbuko lake ninguvuyamiujiza au sihiri • Kujaribukukabiliananakuyashindamazingira. • Kuchora, Kuchonga, Kujengavijumbanakunuizia • (SIKU HIZI) Kuombeavitambaa au Kifaan.k • 3. ChimbukoniMwigo • Kuigamazingira, sauti, mwonekano, wanyama, ndege, nk • Kubunihaliyaufanano • Ushairiulichimbukakutokaktkkuiga • Mwanadamunikiumbewauigaji, tokea mtoto • Ni mwigoukimaanishauwakilishiwajambokwajingine. Ni taswirainayolengakuoneshajambo
Chimbuko …/b • 4. ChimbukoniMabadilikoyaMwanadamu(Yakinifu) katikakuyadhibitimazingira • Marx na Engels wanaingaliaFasihikamazao la mabadilikokatikamaishayamwanadamuambayohutawaliwana • Mfumowauzalishajimali • Uhusianokatikauzalishajimali • MfumonaUhusianohutokeza MATABAKA • Fasihinizao la MatabakanaUhusianokatikauzalishajimali • Katikauhusianomwanadamualihitajilugha
Dhimayafasihi • Swali la Fasihihufanyakazigani, hutegemeamwulizajianatokakatikatabakalipinakwakefasihininini. • Kuburudisha • KuhimizaKazinaKujengamoyowakazi • Kujengatabia: Kuonya, Kuasa, Kufunza • Kuelimisha • Kuhifadhikurithishaamali za Jamii (mila, desturi, thamanin.k) • KukuzanaKuhifadhilugha
Dhima…/ • Swali la Fasihihufanyakazigani, hutegemeamwulizajianatokakatikatabakalipinakwakeFasihininini. • KuendelezaharakatifulanikatikaJamii • UjenziwaUtaifa • KuletaUkombozi: Hasawakifikra, kisiasa, kiuchumi, kitabaka, kijinsia, n.k • Fasihinizao la Kitabaka. TabakahusaidiwanaitikadikatikaKujiimarisha • Itikadi: Mfumowamawazo, imanikuhusumahusianonamaongoziyawatuktkJamii
Dhima za Fashiktkmaisha • UCHUMI • ITIKADI • SIASA • UTAMADUNI • FALSAFA • UJUMI
Dhanayafasihiya Kiswahili • WaswahiliwenyehiiFasihini kina nani? • FasihihutambulishwakwaLugha: Kiswahili • Wenyejiwazungumzao Kiswahili katika Afrika Masharikina Kati naVisiwavyaBahariya Hindi katikaMwambaowa Afrika mashariki • InayoelezautamaduninamaishayaWaswahili • Rej. Mulokozi, 2017:Sura 3. FasihiyaWaswahili, Fasihiya Kiswahili naFasihikwa Kiswahili (30-33). • JeFasihiya Kiswahili naFasihiyaKitaifani Dhana ileile? (Mutembei, 2004: Mulika No. 26).
MaendeleoyaFasihiKatikaMifumoMbalimbaliyaMaendeleoyaBinadamu • KwakuwatumezungumzakuwaFasihinichombo cha mabadilikoyaMwanadamu, tuyaangaliemabadilikohayo, tukijikitakatikaufafanuziwa Karl Marx naFriedrisch Engels. • Kuna Ujima • Utumwa • UmwinyinaUkabaila • Ubepari • Ujamaa • Uliberali
Sanaa, lughanafasihiWakatiwaUjima • Kuwaunganishawatu • UmojanaUshirikianovilisisitizwa • Lughailikuwasichangamani • Fasihi – hasasimuliziikihusishamaudhuiyasiyochangamani. • WemadhidiyaUbaya • Wahusikawanaowakilishawatuhalisi • Wahusikanauhusikawaokatikajamii: miti, wanyamandegenk
Kipindi cha Utumwa • Mabwanadhidiyawatumwa • Kupumbazawatumwanawaokuonekanakuwahiyonimajaaliwayao • Watumwakudaiukombozi • Udhibitiwakazi za kifasihi • Matokeoyaudhibiti: • Lughayamafumbo • Wahusikachangamani
Kipindi cha UmwinyinaUkabaila • Mamwinyidhidiyawatwana • Kupumbazawatwananawaokuonekanakuwahiyonimajaaliwayao • Kustareheshamamwinyinamakabaila • Udhibitiwakazi za kifasihi • Harakati za ukombozi • Wahusikachangamani
Kipindi cha Ubepari • Ubeparininini • Matabaka • MigogoroyawafanyakazidhidiyaMabepari • Migogoroviwandaninamashambani • Migomo • Ukombozi • Tafutenikazi za Kiswahili zinazoelezamaudhuihayo • Ni niniwajibuwamwandishiwakazikamahizo • Ni niniwajibuwakokamamhakiki
Kipindi cha Ujamaa • UjamaaniNini • UjenziwaTaifaJipya • UjenziwaVijijivyaUjamaa • Ujenziwa Sera Mpya • UsawanaUshirikiano • Vita dhidiyaMakabailanaMamwinyi • Tafutenikazi za Kiswahili zinazoelezamaudhuihayo • Ni niniwajibuwamwandishiwakazikamahizo • Ni niniwajibuwakokamamhakiki
Kipindi cha MfumowaUliberali • Maana • Ni mambo ganimapyayanayojitokezakatikakipindihiki • Sokohurianinininamaudhuiyakeniyepi? • Utandawazi au Utandawizi • Unajitokezajekatikafasihi • Uhuruwauandishinaathari za uhuruhuo • Tafutenikazi za Kiswahili zinazoelezamaudhuihayo • Ni niniwajibuwamwandishiwakazikamahizo • Ni niniwajibuwakokamamhakiki
Tanzu za Fasihi • 3:1. Fasihisimulizi • 3:2. Fasihiandishi • 3:3. Kufanananakutofautianakwafasihisimulizinaandishi • 3:4. FaninaMaudhuikatikafasihisimulizinaandishi
3.1 FasihiSimulizi • Ni Sanaa yalughainayotungwanakubuniwakichwaninakuwasilishwakwahadhirakwanjiayamdomonavitendobilakutumiamaandishi (Mulokozi, 2017:38). • Ni tukiolinalofungamananamuktadha Fulani wakijamii. • Mulokozianatofautishakatiyafasihiganizinafasihisimulizi. • Hakikishaunajuatofautizadhanahizokwausahihi
ChangamotokatikaMaanayaFasihiSimulizi • Jina: Simulizi (kusimulia: Oral) • Ganizi (inayoganiwa- narrative) • Ufafanuzi: • Kutungwakichwani • Kuwasilishwakwanjiayamdomonamatendo • Hakunamaandishi • Ufafanuzihuukatikaulimwenguwasasa • Usimulizikatika Radio na TV
3.2 FasihiAndishi • Ni Sanaa yalughainayotungwanakuwasilishwakwahadhirakwanjiayamaandishi (Mulokozi, 2017:40). • Hutegemeavipengelevitatu: mtunzi, msomajinamdhamini. • Suala la udhaminihutofautianakutegemeautanzuwafasihiandishiunaohusika • Katikamaandishikunajitokezachangamotoyaudhibiti • Ni muhimujamiiijihakikishiekushikiliwakwamaadiiambayoyameijengajamiihiyo.
3.3 KufanananaKutofautiana • Jefasihiandishihufananajenafasihisimulizi? • Matumiziyambinuzausimulizikatikauandishi • Matumiziyawahusikanalughazausimulizi • Ni wapizinakutananawapizinaachana? • Zotenisanaazalugha • Zotehujadilimigogoro, matatizonachangamotozamwanadamukatikakuyakabilimazingirayake • Hujadilimaanayakuwako, namahusianobainayamwandamu • Huoneshamasualayahusuyohisina Imani • Uchangamani wake hutofautiana
3.3 KufanananaKutofautiana/… • Mabadilikomakuukutokakatikakusikia • Macho naMasikioniviungovikuu • Kuingiakatikakuona • Macho yakawakiungokikuu • Mabadilikokutoka “neno” sauti, kuwa “kitu”- alamayamaandishi. Alfabetiikasimamakuwakiwakilishi cha sauti • Nenolilisikikatu, alamasasainaonekananakuwezakushikika (karatasi/Kitabu)
FasihiSimulizi • Chimbuko la fasihisimulizi • Tuliangaliachimbuko la Fasihikwaujumla. • Jeunadhaninininichimbuko la fasihisimulizi? • Jefasihihiiilianzaje? • Jeilikuwapolini?
4:2. Maudhuinadhimayafasihisimulizi • Tofautikatiyamaudhuinadhimaninini? • TuliangaliadhimayaFasihikwaujumla. • Jeunadhaninininidhimayafasihisimulizi? • Ufafanuziwakouendanenavipindikatikamabadilikoyamaendeleoyamwandamu • Jedhimahubakiileile au hubadilika? Kwa vipi? Kwanini?
4:3. Faninamuktadhawautendajikatikafasihisimulizi • Ifafanuedhanayautendajikatikafasihisimulizi. • Uainishajiwafasihisimulizibadonichangamoto. • Je, igawanywekwakufuata: • UainishajiwaBalisidya, • UainishajiwaTaasisiyaElimu, • UainishajiwaawaliwaMulokozi, 1996. • UainishajiwaKobia, • UainishajimpyawaMulokozi, 2017:51- 62)
4:4. Uchambuziwatanzunachangamotozake • KutokananaUainishaji, nidhahirikuwauchambuziwatanzuzafasihisimuliziunachangamotokadha. • Ni muhimukuzifahamuchangamotohizo. • Ni muhimuzaidikuwanamsimamounaowezakuuteteanikwaniniunapendeleauchambuzimmojawatanzudhidiyamwingine.
Moduli ya 5: FasihiAndishi • 5:1. Fasilimbalimbali za fasihiandishi • 5:2. Chimbukonamaendeleoyafasihiandishiya Kiswahili • 5:3. Tanzunakumbo za fasihiandishiya Kiswahili • 5:4. Faninamaudhuikatikafasihiandishi
5.1. Fasilimbalimbali za fasihiandishi • Litteratura: Kitukilichonukuliwakwamaandishi. • Kazizakiubunifuzinazotumialughailikuwasilishawazo Fulani. • Kuwakilishadesturi, mila, utamaduniwajamiikwanjiayakisanaa
5:2. Chimbukonamaendeleoyafasihiandishiya Kiswahili • Kutokeakatikafasihisimulizi • Kazizamwanzozaushairikatikahatizakiarabu • Riwayaya Uhuru waWatumwa • Kazizatafsiri
5:3. Tanzunakumbo za fasihiandishiya Kiswahili • 5.3.1 Tamthilia • 5.3.2 Riwaya • 5.3.3 Ushairi
5.3.2 FasihiAndishi - Tamthilia • Msingiwasanaayoyoteileniuigaji. • Msaniihuangaliakituhalisi, kishahukiiganakukitoakwanjiafulani. Akifanyahivyo, usanii wake huwanikiwakilishitu. • Maishahuwanimwigo: Mf. Ktkdinitwaambiwamaishahalisiyatakuwambinguni. Unavyoishisasandivyoutakavyokuwahukojuu (yaanihapasisisiohalisi). “Tunapitatu” mahalikwetunipenginen.k • Matendoyamila, utanink, huwaniuigazi • Miviganashereheniuigaji
Tamthiliamsingi wake niUigaji • Tamth.-andiko la kiuigizajilenyekuoneshamatendonamaneno. Ni igizo la kifasihilililokusudiwakutendwa (kuigizwa) jukwaanikwaajiliyahadhirafulani. • Istilahiyatamthiliainatokanananenomithali, (mithili) yaanimfano, au isharaambalomsingi wake niuigaji. Si kituhalisi. • Katikatamthilia, wahusika, matendoyaonanafasizaohumathilishawatu, matendo au nafasihalisikatikajamii. Wamathili
Tamthilia/Onesho/Mchezo • Tamth.-andiko la kiuigizajilenyekuoneshamatendonamaneno • Mlama, 1983: Tamthilianisanaayamaonesho, ambayohuwasilishaanakwaanatukiofulanikwahadhirakwakutumiausaniiwautendaji (vitendo, uchezaji, ngoma, uimbajin.k) • Sanaa za MaoneshoniNini?
MaanayaSanaa za Maonesho • AINA 3 za SANAA • Za Uonesho-:- Uzuriumokatikakuona= uchoraji, uchongaji, nk. • Za Ghibu-: uzuri wake umokatikakusikia. ushairi, upigajimuziki, • Za vitendo:-Uzuri wake umokatikakuonanakusikiavitendo. • Ainazinajadiliwakupitiakatika UZURI. Je kazi/dhima?
S.M niSanaa za Vitendo • Kitendo cha sifa 4 • Mchezo • Mchezaji • Uwanjawakuchezea • Watazamaji
Udhaifuwamtazamohuo • Mchezo • Sifa 4 tu • Tamth. Ni ya Kigeni. Je S.M za asili?
MaanakwakuzingatiaUafrika: Ni tukio la kijamiilenyesifa: • DhanaInayotendeka • UwanjawaKutendea • Watendaji • Hadhira • Kusudio la Kisanaa • MuktadhawaKisanaa • Ubunifu (umathilishaji)
SanaazaMaonesho za Kiafrika • Sherehe • Unyago/Jando, Kutoajina, kuotameno (hatuakwendanyingine) • Ngoma: (chombo,kitendo,sherehe) • Kusaliamizimu • Kupatikanamapachan.k